Acha kushangaa ya Kenya huo ni ukuda shangaa wala rambirambi wanapokaa kujadili makanikiaSo far mahakama ya juu nchini Kenya imeshasema kuwa Uchaguzi haukufuata taratibu...na uchaguzi huo ulisimamiwa na IEBC.
sasa tunasikia kuwa IEBC ile ile iliyovurunda ndio inapewa mamlaka yaleyale ya kusimamia uchaguzi.
Je kuna uhakika gani wa Tume hiyo hiyo iliyovurunda kuwa haitavurunda tena?
Kweli kabisa, mwambie huyo kilaza [B]jingalao[/B] ya Kenya awaachie Wakenya...sisi tunataka marejeo ya majadiliano kuhusu makanikia. Kwa ufahamisho tu wapo watu tayari wamefanikiwa kupata leseni zao za udereva wakisubiri NOAH zao kama walivyoahidiwa na dikteta uchwara.Acha kushangaa ya Kenya huo ni ukuda shangaa wala rambirambi wanapokaa kujadili makanikia
Itabidi apewe jukumu la kuteua tume yeye maana hawa waliopo waliteuliwa baada ya kuandamana,sasa naona anataka wengine tena !Kwa taarifa nilizonazo NASA wamesema kuwa
1.Maafisa kibao wa tume ya uchaguzi watolewe na kuletwa wapya.
2.Vyama vyote vilishiriki mwanzo na sasa vishiriki.
3.Lazima kuwe na ukaguzi wa mfumo wa kuhesabu na kuwasilisha kura toka majimboni.
Bila kutimiza hayo wao hawashiriki uchaguzi
Kwa hiyo wamesha haribu waachwe tu?Itabidi apewe jukumu la kuteua tume yeye maana hawa waliopo waliteuliwa baada ya kuandamana,sasa naona anataka wengine tena !
Yeye kila akishindwa watu wameharibu?Kwa hiyo wamesha haribu waachwe tu?
Hakuna uchaguzi ambao utakua 100% perfect kwahivyo hiyo mahakama ilitoa amri ambayo wanajua haiwezi tekelezwa hata turudie uchaguzi mara ngapi.Vituo 4100 vya kupiga kura lazima hitilafu zingine na kasoro zitokee tena.Kwa hiyo wamesha haribu waachwe tu?
Hata USA kwenyewe huwa kuna mapungufu ije kuwa Kenya!Hakuna uchaguzi ambao utakua 100% perfect kwahivyo hiyo mahakama ilitoa amri ambayo wanajua haiwezi tekelezwa hata turudie uchaguzi mara ngapi.Vituo 4100 vya kupiga kura lazima hitilafu zingine na kasoro zitokee tena.
Kwa hiyo hakuna haja basi ya uchaguzi,Kenyatta atawale tu.Kama unaingia kwenye uchaguzi sheria za uchaguzi ziheshimiwe,usipozifuata lazima kuwe na remedy.Hakuna mchezo usokuwa na kanuni za kumpata mshindi na mshindwa.usipofuata kanuni basi hakuna maana ya huo mchezo,kaa nyumbani uletewe kombe.Yeye kila akishindwa watu wameharibu?
Wale wa mwanzo waliokuwepo akaandamana watolewe bila sababu wakirudishwa atakubali ?Kwa hiyo hakuna haja basi ya uchaguzi,Kenyatta atawale tu.Kama unaingia kwenye uchaguzi sheria za uchaguzi ziheshimiwe,usipozifuata lazima kuwe na remedy.Hakuna mchezo usokuwa na kanuni za kumpata mshindi na mshindwa.usipofuata kanuni basi hakuna maana ya huo mchezo,kaa nyumbani uletewe kombe.
KabisaSo far mahakama ya juu nchini Kenya imeshasema kuwa Uchaguzi haukufuata taratibu...na uchaguzi huo ulisimamiwa na IEBC.
sasa tunasikia kuwa IEBC ile ile iliyovurunda ndio inapewa mamlaka yaleyale ya kusimamia uchaguzi.
Je kuna uhakika gani wa Tume hiyo hiyo iliyovurunda kuwa haitavurunda tena?
So far mahakama ya juu nchini Kenya imeshasema kuwa Uchaguzi haukufuata taratibu...na uchaguzi huo ulisimamiwa na IEBC.
sasa tunasikia kuwa IEBC ile ile iliyovurunda ndio inapewa mamlaka yaleyale ya kusimamia uchaguzi.
Je kuna uhakika gani wa Tume hiyo hiyo iliyovurunda kuwa haitavurunda tena?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kushangaa ya Kenya huo ni ukuda shangaa wala rambirambi wanapokaa kujadili makanikia
Babu yenu fisadi anajadili kuhusu kenya nyinyi mna ubavu gani wa kutokujadili ya Kenya?Kweli kabisa, mwambie huyo kilaza [B]jingalao[/B] ya Kenya awaachie Wakenya...sisi tunataka marejeo ya majadiliano kuhusu makanikia. Kwa ufahamisho tu wapo watu tayari wamefanikiwa kupata leseni zao za udereva wakisubiri NOAH zao kama walivyoahidiwa na dikteta uchwara.
Wanasema mkoa upo katika tatu za mwisho kiumaskini na bado hata pesa yao wamewapiga. Hii ndo kula na kipofu na bado ukamshika na mikono.Acha kushangaa ya Kenya huo ni ukuda shangaa wala rambirambi wanapokaa kujadili makanikia
Lumumba muwe na kumbukumbu, mbona haya maswali hamukuuliza Zanzibar?So far mahakama ya juu nchini Kenya imeshasema kuwa Uchaguzi haukufuata taratibu...na uchaguzi huo ulisimamiwa na IEBC.
sasa tunasikia kuwa IEBC ile ile iliyovurunda ndio inapewa mamlaka yaleyale ya kusimamia uchaguzi.
Je kuna uhakika gani wa Tume hiyo hiyo iliyovurunda kuwa haitavurunda tena?