Kichekesho cha hizi 2 mbeleko fc za kariakoo kushangilia droo wakati hazijawahi vuka robo fainal upuuzi mtupu

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Mjadala ni tangu jana kutoka kwa droo ya Caf ,
washabiki maandazi wa hizo timu mbili mbeleko fc za kariakoo wacha nizitaje utopolo na makolo.

Wanashangilia eti kwa kuwatizama wapinzani wao tayari wameshapita nasema shenzi tena hawana akili hizo timu zao kupita makundi si kawaida je mmeshawahi kufika nusu fainal?

Jibu hapana sasa wanashangilia nini kama si undezi,
Watakuja na hoja ya kifala washawahi cheza fainali ya shirikisho bado ni upuuzi chezeni nusu fainali ya klabu bingwa,
Kwa kuwa washabiki maandazi na wachambuzi wa supu wanaongea sana hizi timu mbili zote zitaishia makundi tuone hiyo midomo mirefu kama panya buku wa dar es salaam nyambafu!
 
IMG-20241008-WA0004.jpg
 
Mbona mashabiki wa Simba mna hasira kama Tembo aliyepoteza mtoto

Kwani nani kawatuma mshiriki mashindano ya akina mama
 
FIkicha macho yako rudia kusoma kilichoandikwa wapi nimetambulisha shabiki wa simba!
 
Mbona unanena kwa uhakika namna hii mkuu...

Kuna namna utawafanyia wasifike nusu?

Emu tueleze kitaalamu kwanini hawatofika nusu?
Timu zao bado uwezo ni mdogo uwezo wao ni makundi na robo ila safari hata makundi hawatoboi!
 
FIkicha macho yako rudia kusoma kilichoandikwa wapi nimetambulisha shabiki wa simba!
Wewe tunakujua hapa jukwaani
Acha hasira yatakwisha
Kwa Sasa Simba nenda kashiriki mashindano ya akina mama
 
Timu zao bado uwezo ni mdogo uwezo wao ni makundi na robo ila safari hata makundi hawatoboi!
Tufafanulie kitaalamu mkuu...

Maana uwezo wa team hubadilika na kinachobaki hua ni historia...

Mfano, uwezo wa Yanga ya sasa unahofiwa na team zenye history kubwa kwenye mashindano kama Tp Mazembe...

Na imewahi kusumbua team zingine kubwa tu kama al ahly na sundowns, hivyo uwezekano wa kizifunga upo...

Unaposema zina uwezo mdogo una maanisha nini mkuu?

Maana ameshakutana na wakubwa na kuwafunga, bado anabaki na uwezo mdogo Mkuu
 
Tatizo ushapotea hutaki kurudi soma huo uzi vizuri!
Haya Yanga msimu huu ataleta kombe la CAFCL
Naamini kitu yako itaisha
Kombe utaliona na kulishika likiingia TANZANIA na likiletwa na timu kubwa Young Africans

Simba atashiriki mashindano ya akina mama atafika robo na kutolewa maana ana timu dhaifu
 
Ni vyema na ndoto yako imeishia hapa!
 
Mjadala ni tangu jana kutoka kwa droo ya Caf ,
washabiki maandazi wa hizo timu mbili mbeleko fc za kariakoo wacha nizitaje utopolo na makolo.

Wanashangilia eti kwa kuwatizama wapinzani wao tayari wameshapita nasema shenzi tena hawana akili hizo timu zao kupita makundi si kawaida je mmeshawahi kufika nusu fainal?

Jibu hapana sasa wanashangilia nini kama si undezi,
Watakuja na hoja ya kifala washawahi cheza fainali ya shirikisho bado ni upuuzi chezeni nusu fainali ya klabu bingwa,
Kwa kuwa washabiki maandazi na wachambuzi wa supu wanaongea sana hizi timu mbili zote zitaishia makundi tuone hiyo midomo mirefu kama panya buku wa dar es salaam nyambafu!
Timu mojawapo ikienda nusu utaaibika sana ndugu hapo ndipo up takapomuona mfufua nyuzi akikujia kw kasi.
 
Nijambo zuri sanaa kushangailia kwani Tunashinda kwa Imani, Tukiamini tumepigwa nimbaya sanaa… mimi ni mwananchi nafrahi sanaa kuona wachezaji wetu wanajipa moyo washavuka hatua ya makundi
 
Mjadala ni tangu jana kutoka kwa droo ya Caf ,
washabiki maandazi wa hizo timu mbili mbeleko fc za kariakoo wacha nizitaje utopolo na makolo.

Wanashangilia eti kwa kuwatizama wapinzani wao tayari wameshapita nasema shenzi tena hawana akili hizo timu zao kupita makundi si kawaida je mmeshawahi kufika nusu fainal?

Jibu hapana sasa wanashangilia nini kama si undezi,
Watakuja na hoja ya kifala washawahi cheza fainali ya shirikisho bado ni upuuzi chezeni nusu fainali ya klabu bingwa,
Kwa kuwa washabiki maandazi na wachambuzi wa supu wanaongea sana hizi timu mbili zote zitaishia makundi tuone hiyo midomo mirefu kama panya buku wa dar es salaam nyambafu!
Kwahiyo, tuseme Yanga haikuingia FAINALI kwenye kombe la shirikisho?
 
Back
Top Bottom