kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Na zitaishia hapo kwenye msingi nusu hawaendi!Ndio stori za msingi hizo kwa sasa
Mbona unanena kwa uhakika namna hii mkuu...Na zitaishia hapo kwenye msingi nusu hawaendi!
FIkicha macho yako rudia kusoma kilichoandikwa wapi nimetambulisha shabiki wa simba!Mbona mashabiki wa Simba mna hasira kama Tembo aliyepoteza mtoto
Kwani nani kawatuma mshiriki mashindano ya akina mama
Timu zao bado uwezo ni mdogo uwezo wao ni makundi na robo ila safari hata makundi hawatoboi!Mbona unanena kwa uhakika namna hii mkuu...
Kuna namna utawafanyia wasifike nusu?
Emu tueleze kitaalamu kwanini hawatofika nusu?
Wewe tunakujua hapa jukwaaniFIkicha macho yako rudia kusoma kilichoandikwa wapi nimetambulisha shabiki wa simba!
Wapi nimejitambulisha kama shabiki wa simba!Wewe tunakujua hapa jukwaani
Acha hasira yatakwisha
Kwa Sasa Simba nenda kashiriki mashindano ya akina mama
Tunawatambua hamjifichiWapi nimejitambulisha kama shabiki wa simba!
Tatizo ushapotea hutaki kurudi soma huo uzi vizuri!Tunawatambua hamjifichi
Mashindano ya akina mama yanawangonja
Tufafanulie kitaalamu mkuu...Timu zao bado uwezo ni mdogo uwezo wao ni makundi na robo ila safari hata makundi hawatoboi!
Haya Yanga msimu huu ataleta kombe la CAFCLTatizo ushapotea hutaki kurudi soma huo uzi vizuri!
Ni vyema na ndoto yako imeishia hapa!Haya Yanga msimu huu ataleta kombe la CAFCL
Naamini kitu yako itaisha
Kombe utaliona na kulishika likiingia TANZANIA na likiletwa na timu kubwa Young Africans
Simba atashiriki mashindano ya akina mama atafika robo na kutolewa maana ana timu dhaifu
AmenNi vyema na ndoto yako imeishia hapa!
Timu mojawapo ikienda nusu utaaibika sana ndugu hapo ndipo up takapomuona mfufua nyuzi akikujia kw kasi.Mjadala ni tangu jana kutoka kwa droo ya Caf ,
washabiki maandazi wa hizo timu mbili mbeleko fc za kariakoo wacha nizitaje utopolo na makolo.
Wanashangilia eti kwa kuwatizama wapinzani wao tayari wameshapita nasema shenzi tena hawana akili hizo timu zao kupita makundi si kawaida je mmeshawahi kufika nusu fainal?
Jibu hapana sasa wanashangilia nini kama si undezi,
Watakuja na hoja ya kifala washawahi cheza fainali ya shirikisho bado ni upuuzi chezeni nusu fainali ya klabu bingwa,
Kwa kuwa washabiki maandazi na wachambuzi wa supu wanaongea sana hizi timu mbili zote zitaishia makundi tuone hiyo midomo mirefu kama panya buku wa dar es salaam nyambafu!
Dua la kuku!Timu mojawapo ikienda nusu utaaibika sana ndugu hapo ndipo up takapomuona mfufua nyuzi akikujia kw kasi.
Kwahiyo, tuseme Yanga haikuingia FAINALI kwenye kombe la shirikisho?Mjadala ni tangu jana kutoka kwa droo ya Caf ,