Kichekesho cha karne: Ibada ya kumuingiza Mr. Nice kwenye U Freemason

Wajinga waliwao
Wajinga ni wengi nchi hii
Wanajuwa watawanasa tu

Ova
 
Kwahiyo unataka kusema
Umasikini ni matokeo ya UJINGA

yaan UJUAJI + UJINGA = UMASIKINI

Je ni kweli bora ukose MARI upate AKILI
Yaan utumie AKILI upate MARI kuliko upewe MARI halafu ukose AKILI kama LUCAS MKENDA
Mkuu pata akili hutakuja juta
 
Huyo jamaa sjui ndy mkuu wa freemason yuko peku [emoji1]
Nchi ina vituko sana hii

Ova
freemason wa ukweli wa bongo waliwahi kulalamika kuwa matapeli yanatapeli watu kuwa wanawaingiza kwenye ufreemason wakati wao wana utaratibu wao wa kupata wanachama wao. Huu upuuzi upo bongo tu, huko nje kwenye nchi za kimasoni hakuna ujinga huu
 
Mi nilifikiri wanatengeneza filamu
 
10 Requirements To Become A Freemason



Table of Contents
Must Believe in a Supreme Being
Must-Have Attained Required Legal Age
Must Be Recommended by Two Freemasons
Must Join Out of Your Own Freewill and Accord
Must Be Able To Support Yourself and Family
Not Restricted To Any Gender
Must Concede To Moral Standards
Must Not Have Any Mercenary Motives
Must Be a Rule Follower
Must-Have a Favorable Opinion

[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Must Be Able To Support Yourself and Family
Quite frankly, Freemasons aren’t concerned with someone’s wealth and social status. The brotherhood openly welcomes everyone.

However, an applicant should prove that he is financially stable to cater to his needs and those of his family.

This requirement extends to existing members. If you lack financial independence, the craft considers you a liability.
 
freemason wa ukweli wa bongo waliwahi kulalamika kuwa matapeli yanatapeli watu kuwa wanawaingiza kwenye ufreemason wakati wao wana utaratibu wao wa kupata wanachama wao. Huu upuuzi upo bongo tu, huko nje kwenye nchi za kimasoni hakuna ujinga huu
Katumia sanamu ya baphomet badala ya Freemason
 
Atulie amepitwa na wakati, huu sio ule wakati wa kuku kavaa raizoni. Atafute namna nyingine ya kuishi maisha ya uzee wake. Freemason hawavutiwi naye na hawamuhitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…