Kichekesho cha karne: Ibada ya kumuingiza Mr. Nice kwenye U Freemason

Vyuma vikikaza sana watu huerevuka zaidi na kutafuta kila namna ya kutoka kimaisha ama la walau watoto waende chooni
Kuna werevu m'baya usio na baraka za mamlaka, huu huitwa utapeli nknk na kuna werevu m'baya lakini wenye baraka za mamlaka, huu nao ni utapeli kama utapeli mwingine tuu lakini umepakwa rangi za kuvutia sana.. Mfano wake ni haya makanisa ya mitume na manabii
Kuna walalahoi wamejionea namna mitume na manabii wanavyotajirika kupitia waumini wajinga sana.. Sasa nao wameamua kuja kivingine

Kuna dini iliyopewa jina la mpinga Kristo (Freemason/ wajenzi huru).. Kwa ujinga uleule wa waumini wa mitune na manabii huku nako kuna upotoshaji mkubwa sana kuhusu hii imani ya The Masons/ Freemason!

Mwanzoni walikuwa wanabandika matangazo yao mitaani na kujitangaza mitandaoni .. Lakini sasa wamepanda Viwango.. Wanaonesha na ibada zao kwa kuwatumia watu waliowahi kuwa maarufu na baadae kufilisika kabisa ili kuwavuta majinga wengine

Hapa kwenye ibada wanaonekana watu wawili
Kasisi wa Freemason na muumini mpya (Lucas Mkenda) aka Mr. Nice
Hawa wako mbele ya sanamu la kishetani (satanism statue) na kasisi anaigiza kumuingiza Mr nice kwenye hiyo imani mpya

Kichekesho cha karne
.Freemason ibada zao hutawaliwa na usiri mkubwa na hawarekodiwi.. Na ukitokea wakirekodiwa ni kwa matumizi yao binafsi hawawezi kamwe kurusha mitandaoni
.Freemason hawavai kichovu kana hawa waigizaji hapa.. Kasisi kavua viatu hana socks Muumini naye kavua viatu ila yeye kavaa socks
Mimbari ya Freemason ni kubwa na ya gharama kubwa na nadhifu sana.. Wanaoisogelea hawavui viatu
. Ibada zao sio za watu wawili na za dakika tano, huwa ni ibada maalum yenye watu maalum waliovalia suti kali nadhifu na za gharama
. kuna vitambaa maalum vyenye nembo yao huvaliwa kuzunguka kiunoni

Wana formalities nyingi zilizopangiliwa vizuri na kwa utaratibu maalum na wa kipekee mno

Hiki kituko cha Mr Nice na huyo tapeli wake juha kilichorekodiwa kwa simu na kurushwa tiktok huku kukiwa na nambari za simu ni udhalilishaji mkubwa wa imani zinazoheshimiwa na za kaliba za juu mno
Kama ugumu wa maisha ndio umemfanya Mr. Nice ashiriki huu upuuzi ina maana anaweza kufanyishwa kitu kingine kibaya zaidi na cha aibu kubwa mradi tu apate chochote!

Ni lazima atambue wakati ni ukuta huwezi kushindana nao! Aliinuliwa akaishi maisha yake bila haya maujinga yake! Ana nafasi ya kusimama tena kama kipaji chake kilikuwa halisi lakini sio kwa kutumia shortcuts kama hizi..!
Na kama alitaka kutengeneza kiki aliyemshauri kamuingiza cha jiji View attachment 2906476
Hata hivyo kuna kitu serious kinachoendelea katika hayo “maigizo”!
 
Guts za Mr.Nice kuamua kufanya hilo igizo tu tayari ni mtego...
 
Niliisoma free mason (club) kwenye kitabu cha kijitabu cha Sir chande shujaa katika africa niliisoma ni jamii nzuri kiasi kwamba unaweza shawishika kujiunga nayo. Nawaona mason kuwa ni watu watulivu sana kama Lowasa wasio jibu kuchafuliwa kwao na mijitu ilivyojaa ujinga wanatumia nafasi hii kuiframe mason wanavyoweza.
 
Hata hivyo kuna kitu serious kinachoendelea katika hayo “maigizo”!
Nothing serious zaidi ya maigizo na kujiandaa kutapeli watu wajinga na wapumbavu.. Hata ramli haiwi fupi kiasi hicho[emoji3]
 
Hakuna mikosi. Mikosi ni huo ujinga wako wa kunyang’anywa pesa zako ili uondolewe mikosi. Wajinga ndio waliwao! Hizo pesa nunulia watoto vitabu wasome waondoe ujinga.
 
Vyuma vikikaza sana watu huerevuka zaidi na kutafuta kila namna ya kutoka kimaisha ama la walau watoto waende chooni
Kuna werevu m'baya usio na baraka za mamlaka, huu huitwa utapeli nknk na kuna werevu m'baya lakini wenye baraka za mamlaka, huu nao ni utapeli kama utapeli mwingine tuu lakini umepakwa rangi za kuvutia sana.. Mfano wake ni haya makanisa ya mitume na manabii
Kuna walalahoi wamejionea namna mitume na manabii wanavyotajirika kupitia waumini wajinga sana.. Sasa nao wameamua kuja kivingine

Kuna dini iliyopewa jina la mpinga Kristo (Freemason/ wajenzi huru).. Kwa ujinga uleule wa waumini wa mitune na manabii huku nako kuna upotoshaji mkubwa sana kuhusu hii imani ya The Masons/ Freemason!

Mwanzoni walikuwa wanabandika matangazo yao mitaani na kujitangaza mitandaoni .. Lakini sasa wamepanda Viwango.. Wanaonesha na ibada zao kwa kuwatumia watu waliowahi kuwa maarufu na baadae kufilisika kabisa ili kuwavuta majinga wengine

Hapa kwenye ibada wanaonekana watu wawili
Kasisi wa Freemason na muumini mpya (Lucas Mkenda) aka Mr. Nice
Hawa wako mbele ya sanamu la kishetani (satanism statue) na kasisi anaigiza kumuingiza Mr nice kwenye hiyo imani mpya

Kichekesho cha karne
.Freemason ibada zao hutawaliwa na usiri mkubwa na hawarekodiwi.. Na ukitokea wakirekodiwa ni kwa matumizi yao binafsi hawawezi kamwe kurusha mitandaoni
.Freemason hawavai kichovu kana hawa waigizaji hapa.. Kasisi kavua viatu hana socks Muumini naye kavua viatu ila yeye kavaa socks
Mimbari ya Freemason ni kubwa na ya gharama kubwa na nadhifu sana.. Wanaoisogelea hawavui viatu
. Ibada zao sio za watu wawili na za dakika tano, huwa ni ibada maalum yenye watu maalum waliovalia suti kali nadhifu na za gharama
. kuna vitambaa maalum vyenye nembo yao huvaliwa kuzunguka kiunoni

Wana formalities nyingi zilizopangiliwa vizuri na kwa utaratibu maalum na wa kipekee mno

Hiki kituko cha Mr Nice na huyo tapeli wake juha kilichorekodiwa kwa simu na kurushwa tiktok huku kukiwa na nambari za simu ni udhalilishaji mkubwa wa imani zinazoheshimiwa na za kaliba za juu mno
Kama ugumu wa maisha ndio umemfanya Mr. Nice ashiriki huu upuuzi ina maana anaweza kufanyishwa kitu kingine kibaya zaidi na cha aibu kubwa mradi tu apate chochote!

Ni lazima atambue wakati ni ukuta huwezi kushindana nao! Aliinuliwa akaishi maisha yake bila haya maujinga yake! Ana nafasi ya kusimama tena kama kipaji chake kilikuwa halisi lakini sio kwa kutumia shortcuts kama hizi..!
Na kama alitaka kutengeneza kiki aliyemshauri kamuingiza cha jiji View attachment 2906476
Wote hao wajinga sana..
 
du!!!!!!,,,,,,,,,,,,,noma sana!!
 
Mr nice hapo kafanya kama litangazo
Kapewa laki kadhaa zake kala kona
[emoji1]

Ova
 
Wacha wajinga wapigwe tena sana tu.
Hakuna huruma kwa majitu majinga.
Mjini hakuna mashamba ya kulima.
 
Back
Top Bottom