Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Nawaza tu hapa.
Kama Rais Samia angesema hataki kashikashi tarehe 29 angekaa pembeni na kusema nawaachia hicho kiti aiseee ngumi zingepigwa sana miongoni mwa wapinzani.
Yaani mpaka Mange Kimambi naye angesema Urais apewe yeye, huku Zitto Kabwe naye angejitangaza, kule Lissu angejiapisha.
Yaani ni vurugu, Lema naye angejipa u PM.
Ni ngumi mpaka asubuhi 🤣🤣🤣🤣