demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Kichekesho baada ya kichekesho:
Idara ya Fedha imeshindwa kabisa kuja na hesabu ya kutuambia mchanganuo wa msimu ulio pita kuonyesha faida/hasara.
Wanachama wako mitandaoni hawafahamu chochote kuhusu klabu yao. Hata haki yao ya msingi kikatiba ya kufahamu mapato namatumizi hawajatimiziwa.
Wana haha mitandaoni ovyo ovyo kama kuku asiye na kichwa.
Wenzenu Yanga wanavyosema Bajeti yao ni B20 wana uhalisia kwa sababu wana vyanzo vingi sana vya mapato na sponsors kuzidi nyinyi, pia GSM hana mkono wa birika kama MO kweye kutoa pesa.
Una Bajeti ya Bilioni 24 unashindwaje kulipa fasta USD 150,000 wanazotaka Cotton Sport kwa ajili ya Beki?
Una Bajeti ya Bilioni 24 lakini mpaka sasa unashindwaje kutoa USD 163,000 wanazotaka Berkane kwa ajili ya Adebayor?
Una Bajeti ya Bilioni 24 unaenda kufuata Striker Rwanda? Una akili kweli?
Una Bajeti ya Bilioni 24 wakati huohuo unashindwaje kuvunja mkataba wa SAWADOGO wenye thamani ya USD 300K mpaka mna negotiate kumpeleka on loan?
Una Bajeti ya Bilioni 24 unashindwa kumalizana na Nelson Okwa asepee zake?
Watani wanachekesha mno, cha kushangaza wao serious kabisa kwenye vikao vyao wakionyesha wanaweza kushindana na Yanga SC.
Hakuna sababu ya kutengeneza uongo ili uonyeshe mashabiki kuwana misuli ya kushindana na mpinzai wenu. Jambo jema ni kujifunza kutoka kwao.