KICHEKESHO: Simba Wamekuja Na Bajeti Hewa ya Bilioni 24

KICHEKESHO: Simba Wamekuja Na Bajeti Hewa ya Bilioni 24

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Kichekesho baada ya kichekesho:

Idara ya Fedha imeshindwa kabisa kuja na hesabu ya kutuambia mchanganuo wa msimu ulio pita kuonyesha faida/hasara.

Wanachama wako mitandaoni hawafahamu chochote kuhusu klabu yao. Hata haki yao ya msingi kikatiba ya kufahamu mapato namatumizi hawajatimiziwa.

Wana haha mitandaoni ovyo ovyo kama kuku asiye na kichwa.

Wenzenu Yanga wanavyosema Bajeti yao ni B20 wana uhalisia kwa sababu wana vyanzo vingi sana vya mapato na sponsors kuzidi nyinyi, pia GSM hana mkono wa birika kama MO kweye kutoa pesa.

Una Bajeti ya Bilioni 24 unashindwaje kulipa fasta USD 150,000 wanazotaka Cotton Sport kwa ajili ya Beki?

Una Bajeti ya Bilioni 24 lakini mpaka sasa unashindwaje kutoa USD 163,000 wanazotaka Berkane kwa ajili ya Adebayor?

Una Bajeti ya Bilioni 24 unaenda kufuata Striker Rwanda? Una akili kweli?

Una Bajeti ya Bilioni 24 wakati huohuo unashindwaje kuvunja mkataba wa SAWADOGO wenye thamani ya USD 300K mpaka mna negotiate kumpeleka on loan?

Una Bajeti ya Bilioni 24 unashindwa kumalizana na Nelson Okwa asepee zake?

Watani wanachekesha mno, cha kushangaza wao serious kabisa kwenye vikao vyao wakionyesha wanaweza kushindana na Yanga SC.

Hakuna sababu ya kutengeneza uongo ili uonyeshe mashabiki kuwana misuli ya kushindana na mpinzai wenu. Jambo jema ni kujifunza kutoka kwao.
 
20230626_224854.jpg
 
Na pia GSM hana mkono wa birika kama MO kweye kutoa pesa.
Mkuu utakufa na presha kwa hela za wenzio. Kwani kwenye bajeti ya Yanga, kuna kipengere kwenye mapato kimeonyesha hela kutoka kwa GSM? Hata deni tu la Luc Eymael halikuonyeshwa ili ionekane kuna faida. Kila mtu atoke kivyake. Simba inasubiri 5.8B za Super League kabla hata haijaanza kushiriki, Yanga inasubiri ipate ubingwa ndio ipewe 1B, sasa utalinganisha timu hizo?
 
Haya sasa wale mabingwa mnao chambua bajeti ya Yanga,chambueni na hii Mo kanunua hisa kwa bil 20,ila bajeti ya msimu mmoja ni 23 bil,haya kaka mike2k hii kihasibu unaichambuaje?
Hapo ndipo elimu ya darasani inapoonekana ni muhimu. Wewe kwako hata huelewi uwekezaji ni nini, udhamini ni nini, na bajeti ni nini. Si uliona Yanga iliwekeza mabilioni halafu ikapata faida milioni 500 tu? Hiyo ndiyo hela inayoweza kujivunia Yanga kama thamani yake, yaani sh. 500M tu, zilizobaki ni za akina Morrison na Aziz Ki
 
Nyie wote mafaller Yanga na simba, mnaishia kubishania biashara za wanaume wenzenu...bure kabisa
 
Haya sasa wale mabingwa mnao chambua bajeti ya Yanga,chambueni na hii Mo kanunua hisa kwa bil 20,ila bajeti ya msimu mmoja ni 23 bil,haya kaka mike2k hii kihasibu unaichambuaje?
Mo alinunua hisa mwaka gani na Leo ni mwaka gani?
 
Ukiangalia kwa Yanga NI uongo na ukija Kwa Simba NI uongo Yani hizi
 
Hapo ndipo elimu ya darasani inapoonekana ni muhimu. Wewe kwako hata huelewi uwekezaji ni nini, udhamini ni nini, na bajeti ni nini. Si uliona Yanga iliwekeza mabilioni halafu ikapata faida milioni 500 tu? Hiyo ndiyo hela inayoweza kujivunia Yanga kama thamani yake, yaani sh. 500M tu, zilizobaki ni za akina Morrison na Aziz Ki
Babati nzuri kwenye hizi hesabu tu hama differential equation, Differentiation, Intergration,Trig au Complex numbers.Okay kuhusu swala la elimu ya darasani JF hatuweki vyeti.

Yaani ww ndiye kiazi, yaani hisa Mo kanunua kwa 20 bil,bajeti ya timu ni 23bil,hata hujasoma ila mathematical bado haijakaa, ila inawezekana kwako imekaa sawa.Maana sijawahi kuona, let's say Man Utd thamani ni 4bil Pounds, halafu then bajeti yake iwe 2bil per season, sizani kama wangemwitaji huyo mwekezaji.

Sasa iliyobaki inakuwaje ya Morrison na Aziz wakati hiyo ni hela baada ya kutoa mapato na matumizi. Halafu ushasema faida mana yake mtaji upo.
 
MIMI NI SIMBA DAMU LAKINI MAUONGO KAMA HAYA HUWA SIYAPENDI KABISA.

YANANIFANYA NIVIOGOPE HIVI VILABU KAMA UKOMA.
 
Back
Top Bottom