Best Creation
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 222
- 204
Limit ni mara ngapi ??hawa wasipindishe ukweli, katika views za alikiba kuna nyengine ni za robots (Fake Views) na nyingine mtu anarudia rudia ku view kwa device moja kitu ambacho youtube wamelimit ukirudia zaid view yako haiwi counted! waendelee kujidanganya tena eti wanavunja record? labda record ya maroboti.
Naona wameamua wahamie kwenye kufanya comedy ....Kama tunavyojua wengi kwamba wimbo wa Ali Kiba kwa siku mbili views za Youtube zinaenda kwa mwendo wa kobe. Nimesikia utetezi kupitia Clouds Fm kuwa hii yote imesababishwa na watu wengi kuutizama wimbo huo kwa wakati mmoja hivyo tools za Youtube kuzidiwa na kusizi hivyo views kutoongezeka.
Hivi kweli kwa akili ya kawaida huu utetezi una mashiko? Kuna video ikiwekwa youtube ndani ya masaa 5 inagonga views 20+ lakini hakuna malalamiko ya kidwanzi kama haya.
Mimi si mtaalamu wa haya, je wajuvi wa mambo huu utetezi una ukweli?
clouds kitengo cha IT na rockstar sauzi' walileta mchezo wa ghost views youtube wakawastukia na robot lao ikabid wazitrack na kuisimamisha ili kuhakiki haya yote ni kutokan na ngoma kuwa mbovu kuliko...alisikika jamaa mmoja anayesemakan ni timu mond.ndo ukweli ili youtube waweze ku count real views, lazima wachambue viewer mmoja mmoja, sasa kama trafick ni kubwa ndo hali hiyo inatokea .Wanaojua watakubaliana nami.Ila mwisho wa siku watarudisha views wote halali na kuondoa maroboti, spams .
bado mkuu.. subiri kidogo zitaanza tena kushuka mpaka 700k...wanachuja.. nyingi ni fake mkuu...😛😛😛Zishagonga 1million sasa
Limit ni mara ngapi ??
Hahahaha Nyimbo ya Am the One ya DJ khaled imehit BILLION 1 VIEWS hawajalalamika uje useme ya laki youtube izidiwe.. Toeni uduwazi hapando ukweli ili youtube waweze ku count real views, lazima wachambue viewer mmoja mmoja, sasa kama trafick ni kubwa ndo hali hiyo inatokea .Wanaojua watakubaliana nami.Ila mwisho wa siku watarudisha views wote halali na kuondoa maroboti, spams .
you made my day i can't stop laughing hahahahhNANI ALIMSHAURI WIMBO UITWE MVUMO WA RADI?
tuanzie hapo kwanza!
yani hakiii tuanzie hapo!