Kichekesho: Uongozi wa Ali Kiba kupitia Clouds wasema ''Mvumo wa radi' kubuma youtube ni kutokana na traffic kubwa

Kichekesho: Uongozi wa Ali Kiba kupitia Clouds wasema ''Mvumo wa radi' kubuma youtube ni kutokana na traffic kubwa

Game ya Kiba ilishajifia kitambo tu. Sema ni haters wa Diamond wanataka ionekane jamaa bado yupo. Ila Kiba ni level zile zile za Barakah Da Prince.
 
iyo ya nick minaj iliyokuwa na view milion 19 unaweza kuta ilitakiwa iwe na view milion 40 wakati huo

sometimes matatizo ya kiufundi km hya huwa yanatokea tujitahidi kuwa positive
Peleka ujinga wako huko yaan unatuona mafalaaaaa yaan kampuni km youtube wawe na ujinga wa kiufundi wa view laki nane .Hivi sometime kuficha ujinga ni kukaa kimya.
 
Sijaicheki bado hii ngoma ya king ila nadhani inatisha maana nimeona mimoshi moshi na rangi rangi ukweli bushmen pale katisha
 
Back
Top Bottom