Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Youtube ndo walioandika hiyo notice.Hii umeiandika wewe au ume copy na ku paste? Tuanzie hapo kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Youtube ndo walioandika hiyo notice.Hii umeiandika wewe au ume copy na ku paste? Tuanzie hapo kwanza.
Mbona hapo inaonekana wewe ndio umeandika! Onyesha hiyo source basiYoutube ndo walioandika hiyo notice.
Mkuu kama unanilipa darasa la saba uwezo wangu umeishia hapo, mengine malizia wewe, unaonekana mjanja mjanja wa maneno ila una ufahamu wa unachoshabikia kwenye uzi huu.Mbona hapo inaonekana wewe ndio umeandika! Onyesha hiyo source basi
How video views are counted - YouTube HelpMbona hapo inaonekana wewe ndio umeandika! Onyesha hiyo source basi
Peleka ujinga wako huko yaan unatuona mafalaaaaa yaan kampuni km youtube wawe na ujinga wa kiufundi wa view laki nane .Hivi sometime kuficha ujinga ni kukaa kimya.iyo ya nick minaj iliyokuwa na view milion 19 unaweza kuta ilitakiwa iwe na view milion 40 wakati huo
sometimes matatizo ya kiufundi km hya huwa yanatokea tujitahidi kuwa positive
Peleka ujinga wako huko yaan unatuona mafalaaaaa yaan kampuni km youtube wawe na ujinga wa kiufundi wa view laki nane .Hivi sometime kuficha ujinga ni kukaa kimya.