hahahah😀😀kama ndo hivo basi luis fonsi na mwenzie psy youtube zao zingekuwa banned kabisa maana ngoma imetoka tu 24 hrs 100M+ sembuse huyo mwenye ki laki nane views.
Mtamileeee hahahahhaha ngurumo zimepasua yutyubuHahaha! Ngurumo za radi zimepasua yutyubu
hahahahahah dahNANI ALIMSHAURI WIMBO UITWE MVUMO WA RADI?
tuanzie hapo kwanza!
yani hakiii tuanzie hapo!
huyu alinikata maini sana hahahaha no wonder ikastaki yutyubunihahahahahah dah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NANI ALIMSHAURI WIMBO UITWE MVUMO WA RADI?
tuanzie hapo kwanza!
yani hakiii tuanzie hapo!
Nyimbo ya anaconda ya nicki minaji ilipata views mil 19 kwa masaa 24...sikuwahi kusikia views zikihesabiwa..
Nyimbo ya seduce me ya alikiba ilipata views mil 1 within 24 hrs sikusikia mambo ya kuhesabu views iweje hizi ngurumo ndo ziwe hivi???
One view one device hata uangalie mara 100 inahwsabika mojaUtetezi hovyo kabisaa...
Alafu hii style ya kuview sijaielewa kabisa
Yan unakuta mtu kwa siku anaview mara 100.
Wanampotosha msanii wao ajione anakubalika sana kumbe ni kikundi kidogo sana cha watu kinaview.
Tunaua mziki wetu wenyewe.
Ila nyimbo ni ya kawaida ila round hii kakosa promo kwa domo na dada wa ig
KWEEEELI!you made my day i can't stop laughing hahahahh
KWELI KABISA!hahahahahah dah
WIMBO WA KIZAZI KIPYA![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]