Kichekesho: Uongozi wa Ali Kiba kupitia Clouds wasema ''Mvumo wa radi' kubuma youtube ni kutokana na traffic kubwa

hahahaha imenibidi niingiwe na huruma kabisa hahahahah
Huu utetezi umetolewa na kikundi cha futuhi?
Basi waseme ni kwanini viewers walikuwa wanapungua? hahahahah
hahahaha Alikiba alitaka kuleta ujanja wa kununua views...hahaha
mi na wewe wote mangwini!
HII MVUMO WA RADI kweli wimbo wa muziki wa kizazi kipya unauita mvumo wa radi?
LIKE SERIOUSLY?
 
KWEEEELI!
tuna pa kuanzia!
WIMBO WA BONGO FLAVOR,!
uitwe MVUMO WA RADI!?
hahahaha yani jina la wimbo kama tangazo la mganga wa jadi kutoka sumba wanga hahahaha
 
mi na wewe wote mangwini!
HII MVUMO WA RADI kweli wimbo wa muziki wa kizazi kipya unauita mvumo wa radi?
LIKE SERIOUSLY?
Hapo ndio huwa naamini kuwa management ya Kiba ni ya hovyo kabisa...hamna kitu hahahah majina ya kiganga..
 
ndo ukweli ili youtube waweze ku count real views, lazima wachambue viewer mmoja mmoja, sasa kama trafick ni kubwa ndo hali hiyo inatokea .Wanaojua watakubaliana nami.Ila mwisho wa siku watarudisha views wote halali na kuondoa maroboti, spams .
Duu natamaninkuelewa. Hasa haponkwenye Data Trafick. Eti nini??
 
Huo wimbo baada ya kuuona kwa mara ya kwanza nkabaki kuduwaa.

Ndugu yangu ali k sijui amepatwa na nini.
Ali k huyu sio yule wa wakati ule ambaye ukisikiliza wimbo wake nafsi inapata faraja. Siku hizi promo anayopewa ni kubwa kuliko hata ubora wa nyimbo.
 
Nyimbo ya anaconda ya nicki minaji ilipata views mil 19 kwa masaa 24...sikuwahi kusikia views zikihesabiwa..

Nyimbo ya seduce me ya alikiba ilipata views mil 1 within 24 hrs sikusikia mambo ya kuhesabu views iweje hizi ngurumo ndo ziwe hivi???
Kuna mahali nimesoma eiti trafick kubwa. Yani kunawatu wanapenda kudanganya sana. Technology ilipofikia, sidhani kama Youtube wa na technology ya kijinga kiasi hicho.
 
Duu natamaninkuelewa. Hasa haponkwenye Data Trafick. Eti nini??
Ni sawa na kupewa milioni moja ikiwa kwenye mfumo wa shilingi moja moja kisha ukague kila shilingi mpaka umalize, nadhani utakuwa umeelewa sasa.All in all lazima kuna kitu kimepelekea hilo aidha mwenye acount ame fake views au amenunua like ile wanaita sub for sub.Youtube wanataka real views.who will keep watching your content.
 
ndo ukweli ili youtube waweze ku count real views, lazima wachambue viewer mmoja mmoja, sasa kama trafick ni kubwa ndo hali hiyo inatokea .Wanaojua watakubaliana nami.Ila mwisho wa siku watarudisha views wote halali na kuondoa maroboti, spams .
acha kudanganya watu fala wewe. uteam unaleta hadi kwny ishu za kitaaluma?!!!
 
mi na wewe wote mangwini!
HII MVUMO WA RADI kweli wimbo wa muziki wa kizazi kipya unauita mvumo wa radi?
LIKE SERIOUSLY?

Nadhani alikosea kuanzia kwenye jina, hilo jina ukilisikia kwa mara ya kwanza unaweza kudhania ni Bongo Movie vile, mawazo moja kwa moja yanaenda kwa mzee Magari

Kwa nini asingeuita Radi angalau
 
ndo ukweli ili youtube waweze ku count real views, lazima wachambue viewer mmoja mmoja, sasa kama trafick ni kubwa ndo hali hiyo inatokea .Wanaojua watakubaliana nami.Ila mwisho wa siku watarudisha views wote halali na kuondoa maroboti, spams .
Kha! We jamaa una umri gani na umeishia la ngapi? Hebu tuanzie hapo ili twwnde sawa.
 
Kha! We jamaa una umri gani na umeishia la ngapi? Hebu tuanzie hapo ili twwnde sawa.
How video views are counted

JANUARY 30, 2018

We’re rolling out an update to improve system accuracy and validation of views across YouTube. You may see view fluctuations on your channel from January 29, 2018, as more or fewer views may be marked as invalid than before.

YouTube video views reflect how many times a video has been watched and can be an important measure of a video's overall popularity.

We want to make sure that videos are being viewed by actual humans and not computer programs. During the first couple of hours after a video has been published, we'll only show views that our systems believe to be valid. This might not yet show all legitimate views at that time.

After quality views are counted, view count updates more frequently. The process of including all quality views can take some time depending on a video's popularity and viewership. Afterward, the view count updates more frequently, but keep in mind that we're constantly validating views, so view count can always be adjusted.

Frozen view count

On some videos, the view count might seem frozen or not show all the views that you expect. Video views are algorithmically validated to maintain fair and positive experiences for content creators, advertisers, and users. To verify that views are real and accurate, YouTube may temporarily slow down, freeze, or adjust the view count, as well as discard low-quality playbacks.

Check views with YouTube Analytics

If you're looking at a video you uploaded, you can monitor your views more closely using YouTube Analytics. However, keep in mind that the Realtime report only shows estimates of potential view activity and might not match the number you see on the watch page.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…