Kicheko cha Shahidi wa 12 wa Jamhuri Luteni Denis Urio Mahakamani kina maana gani?

Yes, lakini mtu asiyejua anaweza kuanza ubishi kwamba “hii siyo message ya fulani” kwa sababu tu number inayoambatana na hiyo message siyo number ya huyo mtu inayofahamika (i.e., iliyoko kwenye simu)!
Tatizo mwenye akaunti haitambui namba yake
 
Umeandika nini?
Boss mnaowatetea na mnaopambana nao hawapo umu jamii forum acheni kutuchosha umu na text zenu za kiboya..nendeni mahakamani uko mkateteane umu mnatuchosha,njaa yako hakuna anaeijua..tafuta maisha kwanza mkuu siasa zitakuumiza kichwa tu,hao akina mbowe wapo vizuri kimaisha tofauti na mnaolialia umu
 
Nipe maana ya “umu“,“uku“. Shule ulikuwa unasomea ujinga. Nani amekuambia hana maisha?. Muda mwingine ficha ukilaza wako. Unahisi wote waliomo humu wana njaa kama yako?.

Humu JF kuna tred nyingi. Unayoona imekuzidi kimo,pita kushoto,endelea na size yako
 
Sasa si mpeleke kelele zenu mahakamani uko ukamtoe mwenzenu kama mpo vizuri kimaisha..kelele za nin umu kama panya kabanwa na mlango bna
 
JF Ina majukwaa karibia kumi. Kila jukwaa Lina themes. Jukwaa hili Ni kwaajili ya siasa. Hivyo mtu mwenye maoni ya siasa anaruhusiwa kuyatoa hapa. Kama hufurahishwi na maoni ya siasa nenda majukwaa mengine, lakini usiingilie Uhuru was watu kutoa maoni. Kama hupendi siasa nenda kwenye jukwaa la kazi na biashara au michezo nk.
 
Jibu la hoja yako liko hapa "
Shahidi anaangua kichekoo ghafla hapa.....

Kibatala:
Shahidi Usicheke, Ndiyo Maana nilikwambia The Truth Shall set you Free.. Mwambie Mheshimiwa Jaji namba yako ipo au haipo"
Tafsiri yake ni kuwa aliambiwa asidanganye, yeye akaamua kudanganya , sasa akawa amekamatika
 
JIPENI MATUMAINITU MBOWE KASHAZAMISHWA
Na bado mashahidi wengine moto moto zaidi ya 12. Huyu mmoja kawatoa jasho ile mbaya, yaani cross examination ya wiki nzima na wakatoka tupu. Atakapojitokeza Moses Linjenje wanayesadiki ni marehemu, hiyo cross examination yake yaweza kuchukua mwezi mzima. Watamuuliza maisha ya huko mbinguni yakoje etc etc. Halafu eti wanataka speedy trial!
 
Indeed, a lot of irrelevant questions get asked kwa nia ya kujaribu kumtoa shahidi kwenye reli. Unakuta eti shahidi anaulizwa, kwa mfano, kwanini hukumuambia judge kuhusu kitu fulani (ambacho muongozaji mwenyewe hakumuuliza). Wajibu wa shahidi ni kujibu anachoulizwa. Testifying in court isn’t a freestyle talk. Ni risky kujaribu kuongelea jambo ambalo hujaulizwa!
Utamwambiaje jaji hayo wakati huwezi kuyathibisha. Kwa ujinga wenu unadhani kibatala alikuwa hajui anachofanya. Au nyie mnaona ni irrelevant.

Urio alikuwa anaulizwa swali anajibu halafu anaulizwa kwanini hukumwambia jaji, Hana jibu.

Kumbuka tu ndugu yale ambayo upande wa mashtaka hawataki yajulikane ndiyo hayo kibatala alikuwa anayaweka hadharani.
 
Ni licho observe mimi pamoja kua ni professional lawyer ila kibatali ana kipaji cha hiyo kazi, akiendelea kum Cross examine masaa mengine matatu, information ya shahid yote anaenda ku distorted, na ku dicredit shahid mbele ya mahakama kwamba sio mtu wa kumchukulia serious muongo na msaulifu, msaliti
Na hicho ndicho kilichobainika... Ina maana kwa shahidi huyu ambaye ndio chanzo cha kesi hii kesi imekufa kifo cha kawaida na kina Kingai na timu yake wanapaswa kushtakiwa (ila sijui kama inawezekana!!)
 
Utamwambiaje jaji hayo wakati huwezi kuyathibisha. Kwa ujinga wenu unadhani kibatala alikuwa hajui anachofanya. Au nyie mnaona ni irrelevant.

Urio alikuwa anaulizwa swali anajibu halafu anaulizwa kwanini hukumwambia jaji, Hana jibu.

Kumbuka tu ndugu yale ambayo upande wa mashtaka hawataki yajulikane ndiyo hayo kibatala alikuwa anayaweka hadharani.

Sio lazima uchangie hata pale unapokuwa huna knowledge ya kuchangia meaningfully. Nimeshasema testifying in court isn’t a freestyle talk. Maswali unayoulizwa wakati wa examination-in-chief ndiyo unayojibu.

Ukiulizwa wakati wa cross-examination kwanini hukumuambia judge kuhusu kitu ambacho hukuwa umeulizwa wakati wa examination-in-chief, jibu lake ni rahisi: “Sikuulizwa kuhusu hicho kitu”. That’s it!
 
Hukuulizwa kwasababu hayakufevi ktk ushahidi wako. Acha kujifanya una akili. Wakili wa serikali ataulizaje maswali ambayo hayampi favor.

Unasema ulifika sokoni kariakoo wakati hata hujui kariakoo iko mtaa gani, au soko Lina rangi gani. Acha ujinga, huwezi bishana na anachofanya kibatala, utaonekana mpumbavu flani ivi.
 
It doesn’t matter. Hiyo haibadilishi ukweli kwamba shahidi hakuulizwa. Sina sababu ya kujifanya chochote. Kama hujui testifying in court inafinyikaje, nyamaza.

Kama unaamini kwamba Kibatala ndiyo the best lawyer wako, endelea na hiyo imani; hakuna anayekuzuia!
 
basi acha nikuamini ww Ni the best zaidi ya kibatala. Na kibatala hajui anachokifanya.

Na jopo lote la utetezi hawajui wanachofanya.

Kwaheri!
 
Hiyo ya kulinganisha watu ni hulka yako wewe, na hakuna aliyekuambia Kibatala hajui anachokifanya. Kama defense lawyer, moja ya objectives zake ni kuwatoa kwenye reli mashahidi wa upande wa mashitaka, bila kujali anafanya hivyo kwa hoja za maana au kwa gotchas!
 
Sio lazima uchangie hata pale unapokuwa huna knowledge ya kuchangia meaningfully. Nimeshasema testifying in court isn’t a freestyle talk. Maswali unayoulizwa wakati wa examination-in-chief ndiyo unayojibu.

Ukiulizwa wakati wa cross-examination kwanini hukumuambia judge kuhusu kitu ambacho hukuwa umeulizwa wakati wa examination-in-chief, jibu lake ni rahisi: “Sikuulizwa kuhusu hicho kitu”. That’s it!
Basi sasa umeulizwa mwambie Jaji
 
Back
Top Bottom