EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Unajua kofia anayevaa komandoo? Halafu huyo ni privateIli bidi komandoo urio aliee auView attachment 2102591
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua kofia anayevaa komandoo? Halafu huyo ni privateIli bidi komandoo urio aliee auView attachment 2102591
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]"The lights are on but nobody at home"
said to mean that although someone seems to be normal or satisfactory, they are in fact very stupid or useless
[emoji1756][emoji1756] achaga madhau tukikukamata!!!!?Ukimfatilia vizuri huyo Urio utagundua dishi limecheza.
Umenikumbusha pepa la Chemistry advance tulipewa possible fake karibia chumba kizima hatukusoma tulijishughulisha kukariri nondo ili kuteleza kwenye pepa hatimaye pepa likaja tofauti hakuna swali hata Moja la kwenye nondo lililotokaNilivokuwa sculi kuna wahuni walikuwa wanasema "Pepa likiwa gumu huwa wanapiga bao" "Wengine huishia kucheka vile ngoma inakuja tofauti kabisa na ulipo desa"
Nafikiri ni situation iliyomkuta ndugu Urio,, Askari mwenye nyota mbili begani
Wakili wa upande wako wakati wa kukuhoji ndio anatakiwa kuyapangua kupitia wewe cross examinatioaTatizo kubwa la mahakamani hutoi maelezo, unatakiwa kujibu maswali unayoulizwa.
Na maswali mengi huwa yanakuwa ya kijinga na ambayo Mara nyingi Ni irrelevant Ni ilimradi tu yawe in favor ya wahusika.
Mfano, ukiulizwa ulipo amka asubuhi ivaa nguo na ukatakiwa kujibu Ndio au hapana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aliambiwa atakuja kuulizwa swali hilo na hakutegemea kuwa ameulizwa na majibu hakuambiwa asemeje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ili bidi komandoo urio aliee auView attachment 2102591
Hata mie naona hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukimfatilia vizuri huyo Urio utagundua dishi limecheza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nenda kaandike Facebook kaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani huyu URIO kawa comedian?MALLYA: Kwenye ripoti yako umesema hapa kuna errors. Je kuna errors ngapi?
KOPLO HAFIDH: Hiyo hiyo moja.
MALLYA: moja inakua error au errors?
KOPLO: Inategemea.
MALLYA: Maana ya terrorist ni nini?
KOPLO: Ni ugaidi.
MALLYA: Na Terrorism maana yake nini?
KOPLO: Ni masuala ya utalii. (Mahakama inaangua kicheko)
MALLYA: Narudia tena. Terrorist umesema ni Ugaidi sio?
KOPLO: Ndio.
MALLYA: Na terrorism maana yake nini?
KOPLO: Ni masuala ya utalii.
Mahakama inaangua kicheko, hadi Jaji anashindwa kujizuia.!
Next time usiendekeza mjadala. Bambavuuu[emoji23][emoji23][emoji1787]Nimewahi kuchepuka wife alinipiga maswali nikayapangua ila akanishushia nondo moja ikanimaanishia kila nilichoongea ni urongo. Nikashusha pumzi nikasema 'Motherfvcker' na kicheko kikanitoka
Haiwezekani kuwa na akaunti telegram bila kuweka namba ya simu hivyo ni lazima namba ya simu ionekane kwenye kumbe yeyote unayotuma au kupokea.Sasa hiyo si ndo ID code yake ya Telegram?, Shida wanatumia mitandao hii bila kui study kwanza ,
Telegram unaweza kuitumia bila mtandao wako, provided tu ukazeengee WI-FI ya sehemu yeyote
Wanathibitisha hayo mawasiliano yaliyokuwepo (kama yalikuwepo) yalikuwa na lengo gani.Shahidi alikwisha timiza kazi yake.
Kibatala anaendeleza Porojo tu.
Ushahidi muhimu ni uthibitisho wa mawasiliano ya Mbowe na Luteni shupavu Urio.
Pia kuthibitishia mahakama kwamba yeye ndie aliyewaunganisha Makomandoo wale na Mbowe.
Kazi yake ameimaliza,tunasubiri shahidi wa 13.
Tulieni mahakama ichape kazi.
Sasa hiyo si ndo ID code yake ya Telegram?, Shida wanatumia mitandao hii bila kui study kwanza ,
Telegram unaweza kuitumia bila mtandao wako, provided tu ukazeengee WI-FI ya sehemu yeyote
Kwa kunini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa kina Urio ndio waliomfanya Mhe Samia aongee kwa KUDEMKA kupitia BBC kuwa Wana ushahidi kuwa Mbowe Ni gaidi.
Zao la Mwenge hili lazima liwe na uwezo mdogo wa kufikili.Shahidi alikwisha timiza kazi yake.
Kibatala anaendeleza Porojo tu.
Ushahidi muhimu ni uthibitisho wa mawasiliano ya Mbowe na Luteni shupavu Urio.
Pia kuthibitishia mahakama kwamba yeye ndie aliyewaunganisha Makomandoo wale na Mbowe.
Kazi yake ameimaliza,tunasubiri shahidi wa 13.
Tulieni mahakama ichape kazi.
Kagundua wahusika wa extraction report walifoji namba. Na aliwaambia kina Kingai kuwa lazima Kibatala atagundua... wakapuuzia.Huyu jamaa atakuwa aliteswa akakubali kuwa upande wa uonevu kimwili, lakini dhamira yake bado ni thabiti na hicho kicheko ni kejeli kwa waliomtuma kwamba wale wajinga waliomtesa hapo kuna jambo walikosea hawakuliweka sawa mapema.
Nadhani Urio si mpuuzi. Sema kauza utu na uhuru wake; hayuko huru tena.Na Hilo la tatu ndo lenyewe haswaa..ndo maana kibatala akamuuliza unajua msemo unasema the lights are on but nobody at home!?...
Huyu jamaa ameshakuwa mpuuzi..