Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀Haamini kuona hakuna sms hata moja ya.majibu kutoka kwa mbowe na number si yake
Sasa hiyo si ndo ID code yake ya Telegram?, Shida wanatumia mitandao hii bila kui study kwanza ,Kibatala: Unafahamu hiyo namba hapo
Shahidi: naona Meseji Kwenda Kwa Mbowe tu
Kibatala: Kwani Meseji hiyo Uliyotuma hiyo Meseji Kwenda Kwa Mbowe, Je ni Namba ipi ya simu
Shahidi: Nilitumia Mtandao wa Telegram
Kibatala: Mtandao Wa Telegram Unapotumia unahitaji Mtandao
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Namba Uliyotumia Mtandao huo wa Telegram ni namba ipi
Shahidi anaangua kichekoo ghafla hapa.....
Kibatala: Shahidi Usicheke, Ndiyo Maana nilikwambia The Truth Shall set you Free.. Mwambie Mheshimiwa Jaji namba yako ipo au haipo
Shahidi: Haipo
Kibatala: Soma Katika Extraction Report hapo Wanasema Namba gani hiyo
Shahidi: 1130138344 DENIS OWNER
Kibatala: Namba hiyo Unaifahamu au huifahamu
Shahidi Siifahamu
Je, ni ugumu wa maswali?
Je, amekumbuka jambo?
Je, anatamani aseme jambo lakini anasita?
Je, ameona jambo la kumfurahisha nyarakani?
Karibuni great thinkers!
Ni kazi sana kukalili mda, tarehe, kila kilichotokea hata miaka mitano nyuma,, lazima u float kama si mjanja,,Asee mahakamani kumbe soo sehemu ya mchezo mchezo
Haijui vizuri telegram, so alishangaa na kutoamini kutoiona namba yake mwenyewe,Ni kama alifika mahali akasema 'Dah! Bladi Faken'
Kimsingi kuna kakitu kaujinga amejistukia
Anajishtuki jinsi anavyobanwa na alivyokoseaKibatala: Unafahamu hiyo namba hapo
Shahidi: naona Meseji Kwenda Kwa Mbowe tu
Kibatala: Kwani Meseji hiyo Uliyotuma hiyo Meseji Kwenda Kwa Mbowe, Je ni Namba ipi ya simu
Shahidi: Nilitumia Mtandao wa Telegram
Kibatala: Mtandao Wa Telegram Unapotumia unahitaji Mtandao
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Namba Uliyotumia Mtandao huo wa Telegram ni namba ipi
Shahidi anaangua kichekoo ghafla hapa.....
Kibatala: Shahidi Usicheke, Ndiyo Maana nilikwambia The Truth Shall set you Free.. Mwambie Mheshimiwa Jaji namba yako ipo au haipo
Shahidi: Haipo
Kibatala: Soma Katika Extraction Report hapo Wanasema Namba gani hiyo
Shahidi: 1130138344 DENIS OWNER
Kibatala: Namba hiyo Unaifahamu au huifahamu
Shahidi Siifahamu
Je, ni ugumu wa maswali?
Je, amekumbuka jambo?
Je, anatamani aseme jambo lakini anasita?
Je, ameona jambo la kumfurahisha nyarakani?
Karibuni great thinkers!
Shahidi yuko fresh,anasikitika tuu kuona homeboy wake anaenda kufungwaKibatala: Unafahamu hiyo namba hapo
Shahidi: naona Meseji Kwenda Kwa Mbowe tu
Kibatala: Kwani Meseji hiyo Uliyotuma hiyo Meseji Kwenda Kwa Mbowe, Je ni Namba ipi ya simu
Shahidi: Nilitumia Mtandao wa Telegram
Kibatala: Mtandao Wa Telegram Unapotumia unahitaji Mtandao
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Namba Uliyotumia Mtandao huo wa Telegram ni namba ipi
Shahidi anaangua kichekoo ghafla hapa.....
Kibatala: Shahidi Usicheke, Ndiyo Maana nilikwambia The Truth Shall set you Free.. Mwambie Mheshimiwa Jaji namba yako ipo au haipo
Shahidi: Haipo
Kibatala: Soma Katika Extraction Report hapo Wanasema Namba gani hiyo
Shahidi: 1130138344 DENIS OWNER
Kibatala: Namba hiyo Unaifahamu au huifahamu
Shahidi Siifahamu
Je, ni ugumu wa maswali?
Je, amekumbuka jambo?
Je, anatamani aseme jambo lakini anasita?
Je, ameona jambo la kumfurahisha nyarakani?
Karibuni great thinkers!
Aliteswa sana alafu kakubali kuaibika. Anatokea mahabusu anajifanya anatokea hoteli.
Tena Bora angekuwa mahabusu ya kijeshi angekula vizuri na Kulala vizuri hata bia angekuwa anakula tu mpaka sigara. Lakini msenge alivyo boya Yuko mahabusu ya kiraia ananyea ndoo
[/QUO Unamaanisha mahabusu ya polisi ni ya kiraia!!!?
yataisha kesho au keshokutwa urio ndomwenye sourceAnatamani hayo mahojiano yaishe tu maana hata yeye amechoka.
Kwa lipi labda angekuwa Bado yupo dunianiJIPENI MATUMAINITU MBOWE KASHAZAMISHWA
Hivi nyie maroboti Bado mpo nilid Hani mlibaki CHROHO INAKUUMA KUONA GAIDI ANAANGAMIA KWA UJINGA WAKE ALIOTAKA KUFANYA?
🤦🏿♂️Huyu jamaa atakuwa aliteswa akakubali kuwa upande wa uonevu kimwili, lakini dhamira yake bado ni thabiti na hicho kicheko ni kejeli kwa waliomtuma kwamba wale wajinga waliomtesa hapo kuna jambo walikosea hawakuliweka sawa mapema.
Shahidi gani hataki kukiri mbowe gaidi kila akiulizwa anakataa, yani mashahidi wote wa jamhuri wamemtetea mbowe nawenzake alivyokuja ulio tugajua anakuja kuthibitisha nae kapita mule muleKibatala: Unafahamu hiyo namba hapo
Shahidi: naona Meseji Kwenda Kwa Mbowe tu
Kibatala: Kwani Meseji hiyo Uliyotuma hiyo Meseji Kwenda Kwa Mbowe, Je ni Namba ipi ya simu
Shahidi: Nilitumia Mtandao wa Telegram
Kibatala: Mtandao Wa Telegram Unapotumia unahitaji Mtandao
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Namba Uliyotumia Mtandao huo wa Telegram ni namba ipi
Shahidi anaangua kichekoo ghafla hapa.....
Kibatala: Shahidi Usicheke, Ndiyo Maana nilikwambia The Truth Shall set you Free.. Mwambie Mheshimiwa Jaji namba yako ipo au haipo
Shahidi: Haipo
Kibatala: Soma Katika Extraction Report hapo Wanasema Namba gani hiyo
Shahidi: 1130138344 DENIS OWNER
Kibatala: Namba hiyo Unaifahamu au huifahamu
Shahidi Siifahamu
Je, ni ugumu wa maswali?
Je, amekumbuka jambo?
Je, anatamani aseme jambo lakini anasita?
Je, ameona jambo la kumfurahisha nyarakani?
Karibuni great thinkers!
unaweza kujiunga telegram bila kuwa na namba ya simu?Sasa hiyo si ndo ID code yake ya Telegram?, Shida wanatumia mitandao hii bila kui study kwanza ,
Telegram unaweza kuitumia bila mtandao wako, provided tu ukazeengee WI-FI ya sehemu yeyote
AmeumbukaKibatala: Unafahamu hiyo namba hapo
Shahidi: naona Meseji Kwenda Kwa Mbowe tu
Kibatala: Kwani Meseji hiyo Uliyotuma hiyo Meseji Kwenda Kwa Mbowe, Je ni Namba ipi ya simu
Shahidi: Nilitumia Mtandao wa Telegram
Kibatala: Mtandao Wa Telegram Unapotumia unahitaji Mtandao
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Namba Uliyotumia Mtandao huo wa Telegram ni namba ipi
Shahidi anaangua kichekoo ghafla hapa.....
Kibatala: Shahidi Usicheke, Ndiyo Maana nilikwambia The Truth Shall set you Free.. Mwambie Mheshimiwa Jaji namba yako ipo au haipo
Shahidi: Haipo
Kibatala: Soma Katika Extraction Report hapo Wanasema Namba gani hiyo
Shahidi: 1130138344 DENIS OWNER
Kibatala: Namba hiyo Unaifahamu au huifahamu
Shahidi Siifahamu
Je, ni ugumu wa maswali?
Je, amekumbuka jambo?
Je, anatamani aseme jambo lakini anasita?
Je, ameona jambo la kumfurahisha nyarakani?
Karibuni great thinkers!
[emoji28][emoji28][emoji28] hivi nayeye walimnyooshaHuyu jamaa atakuwa aliteswa akakubali kuwa upande wa uonevu kimwili, lakini dhamira yake bado ni thabiti na hicho kicheko ni kejeli kwa waliomtuma kwamba wale wajinga waliomtesa hapo kuna jambo walikosea hawakuliweka sawa mapema.