Kicheko cha Shahidi wa 12 wa Jamhuri Luteni Denis Urio Mahakamani kina maana gani?

Kicheko cha Shahidi wa 12 wa Jamhuri Luteni Denis Urio Mahakamani kina maana gani?

Shahidi ana vituko vingi👇😁😁😁
16435398680402.jpg
 
Asee mahakaman kumbe soo sehem ya mchezo mchezo
Tatizo kubwa la mahakamani hutoi maelezo, unatakiwa kujibu maswali unayoulizwa.

Na maswali mengi huwa yanakuwa ya kijinga na ambayo Mara nyingi Ni irrelevant Ni ilimradi tu yawe in favor ya wahusika.

Mfano, ukiulizwa ulipo amka asubuhi ivaa nguo na ukatakiwa kujibu Ndio au hapana
 
Kibatala: Unafahamu hiyo namba hapo

Shahidi: naona Meseji Kwemda Kwa Mbowe tu

Kibatala: kwa ni Meseji hiyo Uliyotuma hiyo Meseji Kwenda Kwa Mbowe, Je ni Namba ipi ya simu

Shahidi: Nilitumia Mtandao Wa Telegram

Kibatala: Mtandao Wa Telegram Unapotumia unahitaji Mtandao

Shahidi: Ndiyo

Kibatala: Namba Uliyotumia Mtandao huo wa Telegram ni namba ipi

Shahidi anaangua kichekoo ghafla hapa.....

Kibatala:
Shahidi Usicheke, Ndiyo Maana nilikwambia The Truth Shall set you Free.. Mwambie Mheshimiwa Jaji namba yako ipo au haipo

Shahidi: Haipo

Kibatala: Soma Katika Extraction Report hapo Wanasema Namba gani hiyo

Shahidi: 1130138344 DENIS OWNER

Kibatala: Namba hiyo Unaifahamu au huifahamu

Shahidi Siifahamu

Je, ni ugumu wa maswali?
Je, amekumbuka jambo?
Je, anatamani aseme jambo lakini anasita?
Je, ameona jambo la kumfurahisha nyarakani?

Karibuni great thinkers!
Ni licho observe mimi pamoja kua ni professional lawyer ila kibatali ana kipaji cha hiyo kazi, akiendelea kum Cross examine masaa mengine matatu, information ya shahid yote anaenda ku distorted, na ku dicredit shahid mbele ya mahakama kwamba sio mtu wa kumchukulia serious muongo na msaulifu, msaliti
 
Huyu jamaa atakuwa aliteswa akakubali kuwa upande wa uonevu kimwili, lakini dhamira yake bado ni thabiti na hicho kicheko ni kejeli kwa waliomtuma kwamba wale wajinga waliomtesa hapo kuna jambo walikosea hawakuliweka sawa mapema.
JIPENI MATUMAINITU MBOWE KASHAZAMISHWA
 
Na Hilo la tatu ndo lenyewe haswaa..ndo maana kibatala akamuuliza unajua msemo unasema the lights are on but nobody at home!?...
Huyu jamaa ameshakuwa mpuuzi..

Ila nafikiri anasababu kubwa inayomfanya afanye hivyo.
Familia Mkuu
F
 
Siasa zenu hizi bna zinawavuruga saana..nadhani siku mtu akijamba uko mahakamani mnaweza kuja kuandika uzi umu kwa nini flani kajamba..nadhani kuna wakili wa jamii forum na wa uko kwenu kwenu..mawakili wa jamii forum upande wa mtuhumiwa na serikali naona wote wanauliza maswahili yao uku ambapo hakuna mashaidi
 
MALLYA: Kwenye ripoti yako umesema hapa kuna errors. Je kuna errors ngapi?
KOPLO HAFIDH: Hiyo hiyo moja.
MALLYA: moja inakua error au errors?
KOPLO: Inategemea.
MALLYA: Maana ya terrorist ni nini?
KOPLO: Ni ugaidi.
MALLYA: Na Terrorism maana yake nini?
KOPLO: Ni masuala ya utalii. (Mahakama inaangua kicheko)
MALLYA: Narudia tena. Terrorist umesema ni Ugaidi sio?
KOPLO: Ndio.
MALLYA: Na terrorism maana yake nini?
KOPLO: Ni masuala ya utalii.
Mahakama inaangua kicheko, hadi Jaji anashindwa kujizuia.!
 
Kibatala: Unafahamu hiyo namba hapo

Shahidi: naona Meseji Kwemda Kwa Mbowe tu

Kibatala: kwa ni Meseji hiyo Uliyotuma hiyo Meseji Kwenda Kwa Mbowe, Je ni Namba ipi ya simu

Shahidi: Nilitumia Mtandao Wa Telegram

Kibatala: Mtandao Wa Telegram Unapotumia unahitaji Mtandao

Shahidi: Ndiyo

Kibatala: Namba Uliyotumia Mtandao huo wa Telegram ni namba ipi

Shahidi anaangua kichekoo ghafla hapa.....

Kibatala:
Shahidi Usicheke, Ndiyo Maana nilikwambia The Truth Shall set you Free.. Mwambie Mheshimiwa Jaji namba yako ipo au haipo

Shahidi: Haipo

Kibatala: Soma Katika Extraction Report hapo Wanasema Namba gani hiyo

Shahidi: 1130138344 DENIS OWNER

Kibatala: Namba hiyo Unaifahamu au huifahamu

Shahidi Siifahamu

Je, ni ugumu wa maswali?
Je, amekumbuka jambo?
Je, anatamani aseme jambo lakini anasita?
Je, ameona jambo la kumfurahisha nyarakani?

Karibuni great thinkers!
We ni great thinker? Swali la kuuliza hapo ni kwa nini anaikataa ile namba ya Dennis Owner.
 
Nilivokuwa sculi kuna wahuni walikuwa wanasema "Pepa likiwa gumu huwa wanapiga bao" "Wengine huishia kucheka vile ngoma inakuja tofauti kabisa na ulipo desa"

Nafikiri ni situation iliyomkuta ndugu Urio,, Askari mwenye nyota mbili begani
 
Back
Top Bottom