"Kicheko" Msimu umeanza

"Kicheko" Msimu umeanza

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,753
Eeehh ndio msimu umeanza, ni msimu wa tamasha la muziki lililoanza kwa muda mrefu, lengo sio kuzungumzia msimu ila "Kicheko"

al maarufu Kicheko mtata mwamba ikifika kipindi hiki cha msimu ndio JD yake inafanya kazi, tangu asajiliwe ni kama sio kama ni amepotea kabisa kwenye ulimwengu wa aliokuwepo labda arudi Ze Comedy, kwa wanaofatilia msimu huko mikoani ndio sehemu zake za kujidai hasa kwenye PA za mtaani, baada ya msimu sijui huwa anaenda wapi,

hivi leo huyu mtu alietukusanya kusikiliza kipindi cha Genge na kuvikwa vyeo lukuki uswazi leo hii kashuka nakuwa sehemu inayomfaa ni kwenye PA za mtaani..? (shangazo)
 
Mnaweka code za nn wakat dunia
Imekua kijiji

Watu n waoga yani mtu uko nyuma
Ya keyboard Bado unaogopa[emoji3][emoji3][emoji3]
hakuna code hapo jiongeze tu, wewe humjui Kicheko
 
aanze na wewe kwanza

kabisa, yaani jamaa sijui anafanya nini pale, ndio maana unashauriwa sio kila kazi yenye mshahara mkubwa ni ya kuikimbilia, pia angalia kama inakujenga au inakubomoa
Alienda Mawingu kwa mbwembwe sana na escort ya bajaji /bodaboda kama zote[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom