mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,753
Eeehh ndio msimu umeanza, ni msimu wa tamasha la muziki lililoanza kwa muda mrefu, lengo sio kuzungumzia msimu ila "Kicheko"
al maarufu Kicheko mtata mwamba ikifika kipindi hiki cha msimu ndio JD yake inafanya kazi, tangu asajiliwe ni kama sio kama ni amepotea kabisa kwenye ulimwengu wa aliokuwepo labda arudi Ze Comedy, kwa wanaofatilia msimu huko mikoani ndio sehemu zake za kujidai hasa kwenye PA za mtaani, baada ya msimu sijui huwa anaenda wapi,
hivi leo huyu mtu alietukusanya kusikiliza kipindi cha Genge na kuvikwa vyeo lukuki uswazi leo hii kashuka nakuwa sehemu inayomfaa ni kwenye PA za mtaani..? (shangazo)