Kicheko wa Efm achukuliwa Clouds

Sizani kama kuna tatizo kwa kusimulia historia yake ya ukweli.na ni watu wachachesana wenye ujasiri huo wa kusema historia zao za kweli.sasa mkuu ulitaka aongope hakuwa mwizi au kibaka hali ya kuwa alikuwa mwizi na kibaka?
 
Kuiba kandambili za maustaadh msikitini ndio kujisifia alikuwa mwizi!!! Ye aseme Tu alikuwa kibaka wa uswahilini basi.
Sifa za kijinga, kwanza sehemu nyingine ukijulikana ulikuwa mhalifu upewi kazi.
 
Clouds kwa wengine ni edeni ..wanadhani huko ni maishani.... Wengine tulikua tunawaelewa kabla ya kwenda huko lkn saivi kwisha habari yao....
 
PALE MAWINGU NDO SEHEMU YA WATU WASIO NA ELIMU WANAPOJITAFUTIA JINA NA RIZIKI
 
KWANINI ASIHAMIE CLOUDS??
NIKUULIZE HIVI PALE EFM KUNA NINI CHA ZIADA???
 
wivu tu unawasumbua pale efm ni njaa tyuuu ipo
clouds ndo habar ya mujini
kiredio chenyew cha efm chasikika hapa dar tu kwingine hamna
halaf mnaringaaa
 
wivu tu unawasumbua pale efm ni njaa tyuuu ipo
clouds ndo habar ya mujini
kiredio chenyew cha efm chasikika hapa dar tu kwingine hamna
halaf mnaringaaa
SORRY WEWE NI MSEMAJI WA MAWINGU??
 
viva clouds viva
kazi kwenu viberenge
ant kuelewa mpoooo
 
D'wikend chatshow katika clouds Kicheko anatoa povu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…