Kichuguu si Mlima CAG: Chuki Dhidi ya Magufuli imewatoa ufahamu sasa?

Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua.

Kilichowazi ni kuwa pindi akishateuliwa na kuapishwa CAG hawezi kuondolewa kirahisi hadi muda wake wa miaka mitano upite au yatokee yale yaliyoanishwa kwenye Katiba kuweza kumuondoa. Ina maana Rais hawezi kuamka na kumtumbua au kumuondoa ofisini kiholela - ndio maana Ndugai pamoja na majaribu yote hakuweza kumuondoa.

Sasa kipindi cha miaka mitano kikiisha CAG anaweza (eligible) kuteuliwa tena; lakini hawezi kulazimisha kuteuliwa tena kwa vile tu alikuwa CAG miaka mitano iliyopita. Huku ni kutokusoma na kuelewa kwa usahihi Katiba na sheria.
Swali ambalo linaweza kuulizwa na labda la muhimu kisheria ni hili: Kwa vile CAG inadaiwa hajafikisha miaka 60 ya kustaafu kwa lazima na kwa vile hajateuliwa kushika tena nafasi hiyo je bado anaendelea kuwa mtumishi wa umma au la? Kama ni ndiyo basi ni wazi atapangiwa kazi nyingine hadi atakapofikisha miaka 60 ya kustaafu (Ubalozi??). Lakini kama siyo, ni wazi atalipwa mastahili yake yote kwa muda wote aliokuwa CAG na kurudi uraiani.
Tusitengeneze mlima toka kichuguu.
Umeongea Kwa Mahaba na unazi bila kuanishia hivyo vifungu vya Sheria
Pathetic at its best
 
Tatizo kubwa hapa ni HADHI na UADILIFU wa mteuliwa.
Mteuliwa hana hadhi mbele ya taaluma ya uhasibu na ukaguzi. Sio mtu huru kwenye maamuzi yake kama miiko ya ikaguzi inavyodai.
Uadilifu kwa watu waliofanya nae kazi unatia shaka sana.
Hiyo nafasi inataka mtu haswaa.
Kwa mara yanza nchi itapokea taarifa zinazoelemea upande 1 wa mihimili.
 
Achana na huyo ahmak
Huyo CAG kachaguliwa na chadema? Bilabkutaja chadema hamuoni raha. Huyo aliyepita kachaguliwa na raisi wa CCM na huyu ni hiyo hiyo CCM sasa chadema inaingiaje?
 
Kuna story moja ya Little Red Riding Hood, mtoto alikuwa analia wolf wolf.

Analia uongo.

Watu wakija kumfukuza wolf anacheka.

Siku moja ikatokea kweli kuna wolf, kalia wolf wolf.

Watu wakasema huyu kawaida yake kulia wolf uongo.

Wapinzani wanaosema Magufuli kavunja katiba wanalia wolf, ama kwa kutojua katiba, ama kwa kuongooa ili kuendeleza siasa zao.

Hili ni jambo baya sana.

Kwa sababu, hatuna ukame wa visa vya Magufuli kuvunja katiba.

Mfano, marufuku za mikutano ya kisiasa ni kuvunja katiba.

Sasa, mtu ambaye kashavunja katiba for real, kwa nini wanamtungia uongo kwamba kavunja katiba?

Kinachotokea sasa, wanampa Magufuli msemo kwamba hawa wapinzani kazi yao kupinga tu.

Granted, inaonekana Magufuli kamtoa CAG kwa sababu Assad ana msimamo. Lakini kumtoa Assad kwa sababu Assad ana msimamo si kuvunja katiba.

Jambo kama ATCL, shirika ambalo rais kaliendesha kisiasa sana, kukingiwa kifua lisiwe audited, linaonesha kwamba serikali haina imani na CAG, inaogooa anaweza kufichua madudu.

Kwa hiyo, nataka nieleweke kwamba simtetei Magufuli kwa kusema amemuondoa Assad kwa nia nzuri.

Lakini, mambo ya nia kuthibitisha ni vigumu sana.

Tunachoweza kuthibitisha ni kwamba, Magufuli hajavunja sheria kuto renew mkataba wa CAG Assad. Hakuna sehemu anapolazimishwa ku renew mkataba.
Wewe si Jana ulidai jamaa kavunja katiba kumtoa CAG?? , kuweni na msimamo bas mnatuchanganya
 
Tatizo kubwa hapa ni HADHI na UADILIFU wa mteuliwa.
Mteuliwa hana hadhi mbele ya taaluma ya uhasibu na ukaguzi. Sio mtu huru kwenye maamuzi yake kama miiko ya ikaguzi inavyodai.
Uadilifu kwa watu waliofanya nae kazi unatia shaka sana.
Hiyo nafasi inataka mtu haswaa.
Kwa mara yanza nchi itapokea taarifa zinazoelemea upande 1 wa mihimili.
Rais hawezi kutushawishi kuwa anachukua rushwa kwa kuuacha kumuongezea muda mtu aliyeibua ufisadi wa Ths 2.4 Bilioni na kutuletea mtu ambaye alitudhihirishia mwenyewe kuwa ni dhaifu katika kusimamia TRA.

Kwa vile Magufuri ni msahaulifu, naweka clip yake mwenyewe akimuongelea Charles Kicheere wakati akimvua cheo cha CG-TRA;
 
Attachments

  • VID-20191104-WA0001.mp4
    713.5 KB
Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua.

Kilichowazi ni kuwa pindi akishateuliwa na kuapishwa CAG hawezi kuondolewa kirahisi hadi muda wake wa miaka mitano upite au yatokee yale yaliyoanishwa kwenye Katiba kuweza kumuondoa. Ina maana Rais hawezi kuamka na kumtumbua au kumuondoa ofisini kiholela - ndio maana Ndugai pamoja na majaribu yote hakuweza kumuondoa.

Sasa kipindi cha miaka mitano kikiisha CAG anaweza (eligible) kuteuliwa tena; lakini hawezi kulazimisha kuteuliwa tena kwa vile tu alikuwa CAG miaka mitano iliyopita. Huku ni kutokusoma na kuelewa kwa usahihi Katiba na sheria.
Swali ambalo linaweza kuulizwa na labda la muhimu kisheria ni hili: Kwa vile CAG inadaiwa hajafikisha miaka 60 ya kustaafu kwa lazima na kwa vile hajateuliwa kushika tena nafasi hiyo je bado anaendelea kuwa mtumishi wa umma au la? Kama ni ndiyo basi ni wazi atapangiwa kazi nyingine hadi atakapofikisha miaka 60 ya kustaafu (Ubalozi??). Lakini kama siyo, ni wazi atalipwa mastahili yake yote kwa muda wote aliokuwa CAG na kurudi uraiani.
Tusitengeneze mlima toka kichuguu.
Haya, tumekusikia!
 
Hii awamu ikipita wanafiki utawashangaa watakavoikandia. Watakuja namsemo mpya wa kuitukuza awamu ya SITA usipime! Wasomi wakiwa wanafiki nchi iko mashakani.
Haitakuwa leo wala 2025 hatoki, uchaguzi unaokuja watu wake sasa wanakimbia ofisi. CAG hakutakiwa tangu mwanzo kwa sababu msema kweli, katka kipindi hiki msema kweli hastahili kuishi.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Aisee... Bavicha mna hoja za kipumbavu!
Mbona mkisikia MtuPori kuondolewa kichaa kinapanda? Ataondoka tuu, kwanza mwenyewe kasema kasukumiziwa
 
Wewe si Jana ulidai jamaa kavunja katiba kumtoa CAG?? , kuweni na msimamo bas mnatuchanganya
Wapi nilidai jamaa kavunja katiba kumtoa CAG?

Mimi nimekuwa nikiwaeleza watu kwamba hakuna katiba ilipovunjwa katika hili.

Kwa nini unanilisha maneno?

Ni kwa sababu ya ujinga au ushenzi?

Unaweza kuweka nukuu nilipodai jamaa kavunja katiba kumtoa CAG?

Unajua kusoma kwa ufahamu?
 
Mzee Mwanakijiji acha kupotosha ili mradi tu uweze kutetea uovu!! Katiba ya Jamhuri ya Muungano inasema:-Kwenye masuala ya sheria, neno SHALL ni shuruti, na kinyume chake ni MAY!

Kwahiyo kwa mujibu wa Katiba CAG atalazimika kuacha ofisi akifikisha miaka 60, au umri wowote utakaotajwa na Bunge.

Umri uliotajwa na Bunge unapatikana kwenye Public Audit Act ya mwaka ambayo sio tu imetaja umri bali pia tenure in the office na nani atamteua CAG.

Ibara ya 4(1) Inasema:-Shuruti ya neno SHALL unaiona tena hapo inatumika unless kama unataka kutuambia mbali na Rais, kuna mamlaka nyingine inayoweza kumteua CAG.

Tenure in the office inasema: Hapo tena Public Audit inasema SHALL BE ELIGIBLE for renewal.

Sio hivyo, hapo juu Katiba imesema Kwamba atatakiwa kuachia ofisi akifikisha 60 au umri wowote utakaotajwa na sheria ya Bunge ambao ni:-
(2) Unless the question of removal becomes the subject of investigation in terms of Article 144(3) of the Constitution, the Controller and Auditor-General shall vacate office-
(a) upon attaining the age of sixty five years;

Kumbe Bunge lilipitisha sheria ya kumfanya auhudumu hadi miaka 65 isipokuwa tu kama atatolewa madarakani kwa makosa yanayohitaji investigation.

Tukija kwa Mussa Assad, huyu amezaliwa Oktoba 6, 1961. Kwa maana nyingine, anamaliza miaka 5 akiwa na miaka 58. tenure in the office inataka mkataba wa CAG uwe renewed provided hajafikisha miaka 65 (Katiba + Audit Act)

Assad atafikisha 65 mwaka 2026... kwa maana nyingine, hata akiongozewa miaka mingine 5 kama ambavyo Katiba inatamka, atamaliza miaka hiyo Novemba 2024, na atakuwa hajafikisha miaka 65 ambayo NDO LAZIMA AACHIE OFISI.

Haya wewe unaesema kwamba Rais halazimiki kumteua tena hebu tuwekee hapa vifungu!!

Aidha unadai eti SERIOUS? Yaani kwa uelewa wako neno ELIGIBLE tafsiri yake ni ANAWEZA?!

Narudia, kwenye sheria maneno yanayotumika kwa muktadha huu ni >>> mathalni "The President May" or "The President Shall".

Hiyo "anaweza" ambayo sio shuruti unayoisema wewe ni MAY na sio SHALL.

Mzee Mwanakijiji mbona unajibu hoja nyepesi. Tunaomba ufafanuzi wako kwa maswali toka kwenye hii post..

Anza na Katiba (sheria mama) inasemaje kuhusu CAG kuachia ofisi kabla ya umri.

Mjadala mzuri,
 
Huyu jamaa ana sifa zote za kuwa rais wa Tanzania.
1. Mweledi
2. Muadilifu
3. Mnyenyekevu
4. Mchapa kazi
5. Jasiri
6. Mthubutu
7. Hayumbishwi
8. Elimu yake haina shaka yoyote
Huyu ndiye Mussa Assad
Kama ni mwanachama wa CCM Tumuombe naye achukue fomu kama atakavyo chukua Membe 2020 ili kuleta ushindani ndani ya chama hicho kinacho buruzwa buruzwa utadhani mzoga wakati kina watu (baadhi) timamu na wanajitambua.
 
Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua.

Kilichowazi ni kuwa pindi akishateuliwa na kuapishwa CAG hawezi kuondolewa kirahisi hadi muda wake wa miaka mitano upite au yatokee yale yaliyoanishwa kwenye Katiba kuweza kumuondoa. Ina maana Rais hawezi kuamka na kumtumbua au kumuondoa ofisini kiholela - ndio maana Ndugai pamoja na majaribu yote hakuweza kumuondoa.

Sasa kipindi cha miaka mitano kikiisha CAG anaweza (eligible) kuteuliwa tena; lakini hawezi kulazimisha kuteuliwa tena kwa vile tu alikuwa CAG miaka mitano iliyopita. Huku ni kutokusoma na kuelewa kwa usahihi Katiba na sheria.
Swali ambalo linaweza kuulizwa na labda la muhimu kisheria ni hili:

Kwa vile CAG inadaiwa hajafikisha miaka 60 ya kustaafu kwa lazima na kwa vile hajateuliwa kushika tena nafasi hiyo je bado anaendelea kuwa mtumishi wa umma au la? Kama ni ndiyo basi ni wazi atapangiwa kazi nyingine hadi atakapofikisha miaka 60 ya kustaafu (Ubalozi??). Lakini kama siyo, ni wazi atalipwa mastahili yake yote kwa muda wote aliokuwa CAG na kurudi uraiani.

Tusitengeneze mlima toka kichuguu.
Umenena sawa, hata 2020 CCM inaweza kuteua mtu mwingine ashike kijiti cha Uraisi!
 
Mkuu Mwana Kijiji

Nimesoma katiba, nikairudia tena kwa utulivu. Nimeona CAG anaweza kutoka madarakani kwa njia MBILI tu.

Mosi ; Kustaafu

Pili ; Kuondolewa ikiwa atashindwa kutimiza wajibu. (Hapa kumewekwa taratibu zake Ibara 144,(2-3).
Na moja ya taratibu hizo hii ya mkataba sijaiona.

Hii kanuni ya Renewable contract inaingia wapi kwenye hizo hapo juu?
 
Mbona mengine mnasemaga anamuenzi Julius, Tena sie tunaendekeza siasa? Alim demote mwenyewe just for curiosity watu wasihoji?! Mbona Kama kocha anatatizo na sio wachezaji au haya haya tuhusu basi tunawashauri man u tu
Prof Mussa Assad atakumbukwa na vizazi vijavyo kama Mtanzania pekee kwenye awamu ya 5 aliyebakia amesimama dhidi ya ya utawala dhalimu, usioheshimu misingi ya Katiba, utawala wa sheria na utawala bora.

Jina lake litaandikwa kwenye kitabu cha mashujaa kwa wino wa dhahabu kwa kuwa alikataa kutepeta dhidi ya utawala wa kidikteta wa Magufuri. Amekataa katakata kulamba soli ya viatu vya Magufuri kama wanavyolamba wengine mfano Jaji Mkuu, Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, DPP na AG.

Profesa Mussa Assad umewatendea haki Watanzania na umeonyesha thamani ya elimu yako kwa kuibua upotevu mkubwa wa fedha za walipa kodi wa nchi yetu zipatazo Tsh 2.4 Trilion kwa kipindi cha miaka 4 kutoka utawala unaojifanya anachukua rushwa.

Yanayoendelea tunayaona kwa kupitia mteule anayekuja kuchukua nafasi yako. Hata kipofu anajua Charles Kicheere amekuja kubariki mazingira ya "plunder with impunity" kwa kipindi Magufuri atakapokuwa madarakani.

Kupumzika Prof Mussa Assad, kazi yako ilikuwa ni ya kutukuka, tutakukumbuka hata Muumba akiwa amechukua roho yako.
 
Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua.

Kilichowazi ni kuwa pindi akishateuliwa na kuapishwa CAG hawezi kuondolewa kirahisi hadi muda wake wa miaka mitano upite au yatokee yale yaliyoanishwa kwenye Katiba kuweza kumuondoa. Ina maana Rais hawezi kuamka na kumtumbua au kumuondoa ofisini kiholela - ndio maana Ndugai pamoja na majaribu yote hakuweza kumuondoa.

Sasa kipindi cha miaka mitano kikiisha CAG anaweza (eligible) kuteuliwa tena; lakini hawezi kulazimisha kuteuliwa tena kwa vile tu alikuwa CAG miaka mitano iliyopita. Huku ni kutokusoma na kuelewa kwa usahihi Katiba na sheria.
Swali ambalo linaweza kuulizwa na labda la muhimu kisheria ni hili:

Kwa vile CAG inadaiwa hajafikisha miaka 60 ya kustaafu kwa lazima na kwa vile hajateuliwa kushika tena nafasi hiyo je bado anaendelea kuwa mtumishi wa umma au la? Kama ni ndiyo basi ni wazi atapangiwa kazi nyingine hadi atakapofikisha miaka 60 ya kustaafu (Ubalozi??). Lakini kama siyo, ni wazi atalipwa mastahili yake yote kwa muda wote aliokuwa CAG na kurudi uraiani.

Tusitengeneze mlima toka kichuguu.
Kasome vizuri au muulize prof. Shivji
 
Uteuzi wa CAG mpya haukufuata sheria, Sheria inataka Kama CAG hatopewa mkataba mwingine wa miaka mitano basi sababu za kutofanya hivyo ziwe ni sababu za kwa mujibu wa ibara ya 144 inayozungumzia sababu na utaratibu wa kumuondoa CAG, kinyume cha hapo sheria imefafanua kuwa sharti CAG apewe mkataba mpya, Naweka sheria subsection 3 hapa inasema hivi:
Img-1572853035577.jpg

Kwa hiyo ni dhahiri ukisoma katiba. na sheria inayofafanua vipengele hivyo vya katiba kwa pamoja Uteuzi wa CAG mpya haukufuata sheria.

Jambo hili hata profesa Shivji kaliona na kalizungumzia hapa chini:

IMG-20191104-WA0051.jpg
 
  • Thanks
Reactions: prs
Kama ndio hivyo na Jiwe sio lazima amalize kipindi cha pili cha miaka mitano, sababu anazojustify yeye na wafuasi wake kumtoa CAG ndio hizo zitajustify kumtoa yeye naye asiendelee kipindi cha pili.
 
  • Thanks
Reactions: prs
Sawa ila asingemchagua kilaza wa kwenda kufanyia majaribio kodi zetu. Tumeshachoka kuona vijana wanasoma na kupata shahada ila ajira hakuna, na wapiga domo wasio na elimu ndio wanapewa kazi serikalini.
Unawadharau wapiga domo wakati lissu anaishi kwa kupiga domo
 
Kuna story moja ya Little Red Riding Hood, mtoto alikuwa analia wolf wolf.

Analia uongo.

Watu wakija kumfukuza wolf anacheka.

Siku moja ikatokea kweli kuna wolf, kalia wolf wolf.

Watu wakasema huyu kawaida yake kulia wolf uongo.

Wapinzani wanaosema Magufuli kavunja katiba wanalia wolf, ama kwa kutojua katiba, ama kwa kuongooa ili kuendeleza siasa zao.

Hili ni jambo baya sana.

Kwa sababu, hatuna ukame wa visa vya Magufuli kuvunja katiba.

Mfano, marufuku za mikutano ya kisiasa ni kuvunja katiba.

Sasa, mtu ambaye kashavunja katiba for real, kwa nini wanamtungia uongo kwamba kavunja katiba?

Kinachotokea sasa, wanampa Magufuli msemo kwamba hawa wapinzani kazi yao kupinga tu.

Granted, inaonekana Magufuli kamtoa CAG kwa sababu Assad ana msimamo. Lakini kumtoa Assad kwa sababu Assad ana msimamo si kuvunja katiba.

Jambo kama ATCL, shirika ambalo rais kaliendesha kisiasa sana, kukingiwa kifua lisiwe audited, linaonesha kwamba serikali haina imani na CAG, inaogooa anaweza kufichua madudu.

Kwa hiyo, nataka nieleweke kwamba simtetei Magufuli kwa kusema amemuondoa Assad kwa nia nzuri.

Lakini, mambo ya nia kuthibitisha ni vigumu sana.

Tunachoweza kuthibitisha ni kwamba, Magufuli hajavunja sheria kuto renew mkataba wa CAG Assad. Hakuna sehemu anapolazimishwa ku renew mkataba.

Kasome tena sheria, Prof Shivji ametaja hadi kufungu kilichokiukwa sasa wewe unaongeaje hivo bila kwanza kusoma katiba. Watanzania bwana ushabiki kwenye kila kitu sijui ni kwanini.
 
Back
Top Bottom