Kichuguu si Mlima CAG: Chuki Dhidi ya Magufuli imewatoa ufahamu sasa?

Kichuguu si Mlima CAG: Chuki Dhidi ya Magufuli imewatoa ufahamu sasa?

Hata kama kusoma hujui hata mchoro uoni?au Uzee?kwanza unamtetea mtu ambaye kwa kwinya chake amemwambia huyo aliemteua kwamba hata mwaka 1 akikaa anaweza kumuondoa?Je katiba iko ivo?Yeye anasema hakuna duniani aliyepewa mamlaka ya kuteua na asipewe ya kutengua?Kama umemsikiliza vizur bila ushabiki,utagundua kuna mahali kuna shida!
Mahaba yanapofusha. Sio mara moja watu wanakuja na hoja convoluted za utetezi na hazipiti siku 7 mtetewa anakuja na kuzivuruga.

Huu uzi ni matunda ya kutaka kuwa mbele ya utetezi, na ume age accordingly. Kwamba Assad asipogoma kubaki ofisini na asipoenda mahakamani ni justification ya uhalali wa termination yake ni wehu wa kuishiwa hoja
 
Aha, sasa hili linaweza kuwa hoja; miye simjui huyo Kichere zaidi ya wakati alipoondolewa TRA... wengi waliona kama demotion fulani hivi.
Mzee hivi kilaza ni sifa ya mtu wa aina gani? kwa sifa za elimu ya Kichere iliyotolewa na Rais, Degree ya Sheria, Master ya Accounts bado mtu huyu ni kilaza? lakini leo Assad akikabidhi ofisi ametuambia kazi za CAG na Nakuu:

"Kazi ya CAG ni kusaini ripoti lakini ripoti unachukua wajibu wa kazi ya watu wengi sana, ambao waliifanya maeneo mbalimbali hapa Tanzania, kwa hiyo nukta yangu ni kuwatazama vizuri sana watu hawa"

Yaani mtu mwenye elimu ya Kichere haweze kuifanya kazi hii.
 
Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua.

Kilichowazi ni kuwa pindi akishateuliwa na kuapishwa CAG hawezi kuondolewa kirahisi hadi muda wake wa miaka mitano upite au yatokee yale yaliyoanishwa kwenye Katiba kuweza kumuondoa. Ina maana Rais hawezi kuamka na kumtumbua au kumuondoa ofisini kiholela - ndio maana Ndugai pamoja na majaribu yote hakuweza kumuondoa.

Sasa kipindi cha miaka mitano kikiisha CAG anaweza (eligible) kuteuliwa tena; lakini hawezi kulazimisha kuteuliwa tena kwa vile tu alikuwa CAG miaka mitano iliyopita. Huku ni kutokusoma na kuelewa kwa usahihi Katiba na sheria.
Swali ambalo linaweza kuulizwa na labda la muhimu kisheria ni hili:

Kwa vile CAG inadaiwa hajafikisha miaka 60 ya kustaafu kwa lazima na kwa vile hajateuliwa kushika tena nafasi hiyo je bado anaendelea kuwa mtumishi wa umma au la? Kama ni ndiyo basi ni wazi atapangiwa kazi nyingine hadi atakapofikisha miaka 60 ya kustaafu (Ubalozi??). Lakini kama siyo, ni wazi atalipwa mastahili yake yote kwa muda wote aliokuwa CAG na kurudi uraiani.

Tusitengeneze mlima toka kichuguu.
Hebu mwanakijiji soma haya maoni ya Shivji halafu upitie na katiba na sheria ya ukaguzi.
tapatalk_1572962569767.jpeg
 
MKuu huyu jama alishakengeuka tokea alipo mpotosha Phd. Mihogo. na haika kinachomsumbua ni chuki tu zidi ya Uislam na mahaba yake zidi ya ukatoliki.
Ulichokizungumza kiko vise versa. Nyie mnamtetea huyo Assad wengi ni kwa ajili ya dini hake. Hamna jipya
 
Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua.

Kilichowazi ni kuwa pindi akishateuliwa na kuapishwa CAG hawezi kuondolewa kirahisi hadi muda wake wa miaka mitano upite au yatokee yale yaliyoanishwa kwenye Katiba kuweza kumuondoa. Ina maana Rais hawezi kuamka na kumtumbua au kumuondoa ofisini kiholela - ndio maana Ndugai pamoja na majaribu yote hakuweza kumuondoa.

Sasa kipindi cha miaka mitano kikiisha CAG anaweza (eligible) kuteuliwa tena; lakini hawezi kulazimisha kuteuliwa tena kwa vile tu alikuwa CAG miaka mitano iliyopita. Huku ni kutokusoma na kuelewa kwa usahihi Katiba na sheria.
Swali ambalo linaweza kuulizwa na labda la muhimu kisheria ni hili:

Kwa vile CAG inadaiwa hajafikisha miaka 60 ya kustaafu kwa lazima na kwa vile hajateuliwa kushika tena nafasi hiyo je bado anaendelea kuwa mtumishi wa umma au la? Kama ni ndiyo basi ni wazi atapangiwa kazi nyingine hadi atakapofikisha miaka 60 ya kustaafu (Ubalozi??). Lakini kama siyo, ni wazi atalipwa mastahili yake yote kwa muda wote aliokuwa CAG na kurudi uraiani.

Tusitengeneze mlima toka kichuguu.
sababu ni hii wala usitufanye sisi wapuuzi tusiojua kitu kisa Lowasa alihamia CDM na kugombe akaachwa slaa
yule bwana asad ni mwislamu. raisi ni mkatoriki hapo kuna udini tayari kaondolewa kwa udini
2. alikagua na kuibua ile 1.5 trilion nongwa ikaanzia pale kwakuwa raisi anajiita malaika mtakatifu wakati alijenga HOTELI CHATO akiwa mtumishi wa umma?
Kichere alikuwa nae TANROAD/UJENZI wanajuana na mipango itapangika.
hatakagua yale mabuungutu yanayotapanywa jukwaani kila uchao
hatakagua manunuzi ya mindege yasiyofuata sheria ya manunuzi . yaani unamwita mnunuzi chumbani unampa specication tutajuaje kwamba hupewi commisiion? 10%je?
hata kama hatuishi USA lakini nasi tuna akili
kwani katiba imeandikwa kwamba raisi lazima amalize vipindi viwili? yeye mbona mpaka ANADUKUA WENZAKE KISA KUMALIZIA KIPINDI CHA PILI AMBACHO WALA HAKUNA ALIYEMPIGA
rejea manneno ya musiba
 
Mkagauzi ambaye baada ya kuapishwa anaagizwa na aliyemteua aheshimu "maagizo" ya mihimili.
Wakati unajua wazi kuwa kwa mujibu wa Katiba Mkaguzi (CAG) hafungwi na maagizo ya mtu wala idara yoyote nchini!.
Halafu mtu unatoka hapo unaandika limakala reeefu kusifu utendaji wa serikali hii, hivi wewe mzee Mwanakijiji umekuwa kipofu au umeamua tu kujitoa ufahamu?
 
..tatizo ni Prof.Assad kusema kuwa Jpm aliuza nyumba za serikali kifisadi.

..soma hapa chini mjadala wetu wa mwaka 2014.

Tutaomba kwa Mungu aliye hai kadri ya imani zetu aiondoe nchi yetu toka mkononi mwa shetani huyu kwa njia atakayoona inafaa.
Mungu amesikia sala yangu niliomba Nov 2019, Asante Mungu
 
Back
Top Bottom