Dibo10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,311
- 1,594
Huyu mzee anasikitisha kwakweliJiwe kapoteza heshima yako kabisa humu jukwaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mzee anasikitisha kwakweliJiwe kapoteza heshima yako kabisa humu jukwaani
Mahaba yanapofusha. Sio mara moja watu wanakuja na hoja convoluted za utetezi na hazipiti siku 7 mtetewa anakuja na kuzivuruga.Hata kama kusoma hujui hata mchoro uoni?au Uzee?kwanza unamtetea mtu ambaye kwa kwinya chake amemwambia huyo aliemteua kwamba hata mwaka 1 akikaa anaweza kumuondoa?Je katiba iko ivo?Yeye anasema hakuna duniani aliyepewa mamlaka ya kuteua na asipewe ya kutengua?Kama umemsikiliza vizur bila ushabiki,utagundua kuna mahali kuna shida!
Mzee hivi kilaza ni sifa ya mtu wa aina gani? kwa sifa za elimu ya Kichere iliyotolewa na Rais, Degree ya Sheria, Master ya Accounts bado mtu huyu ni kilaza? lakini leo Assad akikabidhi ofisi ametuambia kazi za CAG na Nakuu:Aha, sasa hili linaweza kuwa hoja; miye simjui huyo Kichere zaidi ya wakati alipoondolewa TRA... wengi waliona kama demotion fulani hivi.
Hebu mwanakijiji soma haya maoni ya Shivji halafu upitie na katiba na sheria ya ukaguzi.Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua.
Kilichowazi ni kuwa pindi akishateuliwa na kuapishwa CAG hawezi kuondolewa kirahisi hadi muda wake wa miaka mitano upite au yatokee yale yaliyoanishwa kwenye Katiba kuweza kumuondoa. Ina maana Rais hawezi kuamka na kumtumbua au kumuondoa ofisini kiholela - ndio maana Ndugai pamoja na majaribu yote hakuweza kumuondoa.
Sasa kipindi cha miaka mitano kikiisha CAG anaweza (eligible) kuteuliwa tena; lakini hawezi kulazimisha kuteuliwa tena kwa vile tu alikuwa CAG miaka mitano iliyopita. Huku ni kutokusoma na kuelewa kwa usahihi Katiba na sheria.
Swali ambalo linaweza kuulizwa na labda la muhimu kisheria ni hili:
Kwa vile CAG inadaiwa hajafikisha miaka 60 ya kustaafu kwa lazima na kwa vile hajateuliwa kushika tena nafasi hiyo je bado anaendelea kuwa mtumishi wa umma au la? Kama ni ndiyo basi ni wazi atapangiwa kazi nyingine hadi atakapofikisha miaka 60 ya kustaafu (Ubalozi??). Lakini kama siyo, ni wazi atalipwa mastahili yake yote kwa muda wote aliokuwa CAG na kurudi uraiani.
Tusitengeneze mlima toka kichuguu.
Ulichokizungumza kiko vise versa. Nyie mnamtetea huyo Assad wengi ni kwa ajili ya dini hake. Hamna jipyaMKuu huyu jama alishakengeuka tokea alipo mpotosha Phd. Mihogo. na haika kinachomsumbua ni chuki tu zidi ya Uislam na mahaba yake zidi ya ukatoliki.
Kwamba wewe hukuona kama hiyo ilikuwa demotion?Aha, sasa hili linaweza kuwa hoja; miye simjui huyo Kichere zaidi ya wakati alipoondolewa TRA... wengi waliona kama demotion fulani hivi.
Unataka ajitowe ufahamu Mara ngapi? Huyu mwanakujiji na Padre Slaa lao ni moja kwa sasa praise and worship singers kwenye sinagogi LA Chattel.Usijitoe ufahamu! Unalijua hili kwa mapana na marefu
sababu ni hii wala usitufanye sisi wapuuzi tusiojua kitu kisa Lowasa alihamia CDM na kugombe akaachwa slaaWatu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua.
Kilichowazi ni kuwa pindi akishateuliwa na kuapishwa CAG hawezi kuondolewa kirahisi hadi muda wake wa miaka mitano upite au yatokee yale yaliyoanishwa kwenye Katiba kuweza kumuondoa. Ina maana Rais hawezi kuamka na kumtumbua au kumuondoa ofisini kiholela - ndio maana Ndugai pamoja na majaribu yote hakuweza kumuondoa.
Sasa kipindi cha miaka mitano kikiisha CAG anaweza (eligible) kuteuliwa tena; lakini hawezi kulazimisha kuteuliwa tena kwa vile tu alikuwa CAG miaka mitano iliyopita. Huku ni kutokusoma na kuelewa kwa usahihi Katiba na sheria.
Swali ambalo linaweza kuulizwa na labda la muhimu kisheria ni hili:
Kwa vile CAG inadaiwa hajafikisha miaka 60 ya kustaafu kwa lazima na kwa vile hajateuliwa kushika tena nafasi hiyo je bado anaendelea kuwa mtumishi wa umma au la? Kama ni ndiyo basi ni wazi atapangiwa kazi nyingine hadi atakapofikisha miaka 60 ya kustaafu (Ubalozi??). Lakini kama siyo, ni wazi atalipwa mastahili yake yote kwa muda wote aliokuwa CAG na kurudi uraiani.
Tusitengeneze mlima toka kichuguu.
Ndio maana ya kutoa maoni tu; miye siyo mahakama hata Shivji si mahakama. Mfasiri wa sheria ni Mahakama. Sisi wengine tunatoa maoni yetu kama wengine wanavyotoa ya kwao.
Hapana sijui; sababu za kutokuongezewa muda zimetolewa kwenye taarifa kwa vyombo vya habari. Kuna jingine?
Mbona nimeandika kwa Kiswahili?
Ulichokizungumza kiko vise versa. Nyie mnamtetea huyo Assad wengi ni kwa ajili ya dini hake. Hamna jipya
Hatimaye maombi yamekubaliwaTutaomba kwa Mungu aliye hai kadri ya imani zetu aiondoe nchi yetu toka mkononi mwa shetani huyu kwa njia atakayoona inafaa.
Mungu amesikia sala yangu niliomba Nov 2019, Asante MunguTutaomba kwa Mungu aliye hai kadri ya imani zetu aiondoe nchi yetu toka mkononi mwa shetani huyu kwa njia atakayoona inafaa.