Kichuya kupaa Uarabuni

Kichuya kupaa Uarabuni

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
kichuya 2.jpg

Kiungo wa Klabu ya Simba, Shiza Ramadhan Kichuya anategemewa kuachana na timu hiyo, kisha kujiunga na Waarabu wa Misri muda wowote endapo tuu dau la kushiba litakapowekwa mezani.

Tetesi za taarifa kuhusu Kichuya kuondoka ndani ya Klabu hiyo bado zimekuwa uvunguni sana kwa madai kuwa Waarabu hawajafikia dau linalotakiwa ili kumtoa kiungo huyo machachari awapo uwanjani.

"Kichuya kuwavutia wamisri tunalifahamu, hata hizo tetesi za kuhusu kuondoka siwezi kuzithibitisha kwani dili halijafika mezani. Lakini pia hao Waarabu wakija na mzigo wa kutosha ambao Simba tunauhitaji tutawapatia Kichuya lakini mpaka sasa nachoweza kusema bado Kichuya ni mali ya Simba SC" ,alisema Msemaji wa Simba Haji Manara wakati akifanya mahojiano na ukurasa huu.

Pamoja na hayo, Manara amegoma kuweka wazi ni kiasi gani wanakihitaji kwa Kichuya na pia kukataa kuthibitisha ni timu ipi ya Misri ambayo imeshatangaza dau ndani ya klabu hiyo.

Kama uhamisho wa Kichuya ukikamilika kwenda Misri ni faida kubwa kwa Taifa kwa kuanza kuchezesha wachezaji wengi nje na kuleta soko lenye ushindani.

Chanzo: EATV
 
Hivi mnadhani kucheza uarabuni ni kazi nyepesi ehhh? Yakupasa uonyeshe kama unaweza kwanza kwenye ligi ndio uende huku. Sio kufunga bao la kona dhidi ya Yanga SC ndio ukajiona unajua.

Aombe ushauri kwa Msuva kwanza.
 
Msuva ni mwanariadha hawezi mshauri chochote mwanasoka kama Kichuya ..
 
Msuva ame prove ubora wake kwa misimu 2 bila chembe ya shaka....

Huyo kichuya amekatika upepo nusu msumu, Yaani amefanana kwa idadi ya mabao na raphael daud.
 
Kichuya ni mzuri na anajituma vyema uwanjani na suala la kufungana idadi ya magoli na R Daud si kipimo kuwa amekata upepo.. Mchango wa Msuva pale Yanga ilikuwa ni mbio na kwa hilo alifanikiwa vyema.
 
Hivi mnadhani kucheza uarabuni ni kazi nyepesi ehhh? Yakupasa uonyeshe kama unaweza kwanza kwenye ligi ndio uende huku. Sio kufunga bao la kona dhidi ya Yanga SC ndio ukajiona unajua.

Aombe ushauri kwa Msuva kwanza.
Bila kuhoji ww ni mshabiki wa yanga jutaidi..

python mobile
 
Kichuya ni mzuri na anajituma vyema uwanjani na suala la kufungana idadi ya magoli na R Daud si kipimo kuwa amekata upepo.. Mchango wa Msuva pale Yanga ilikuwa ni mbio na kwa hilo alifanikiwa vyema.[/Kati QUOTE]

Kati ya Idadi ya Magoli na Mbio wewe umeona Mbio tu. Rage hakukosea kwa kweli.
 
Kichuya ni mzuri na anajituma vyema uwanjani na suala la kufungana idadi ya magoli na R Daud si kipimo kuwa amekata upepo.. Mchango wa Msuva pale Yanga ilikuwa ni mbio na kwa hilo alifanikiwa vyema.
Kati ya Idadi ya "Magoli yake ya misimu 2 mfululizo" na "Mbio zake" wewe umeona Mbio tu. Rage hakukosea kwa kweli.
 
Kichuya ni kiungo na msuva na mshambuliaji unalinganisha magoli!
 
Hivi mnadhani kucheza uarabuni ni kazi nyepesi ehhh? Yakupasa uonyeshe kama unaweza kwanza kwenye ligi ndio uende huku. Sio kufunga bao la kona dhidi ya Yanga SC ndio ukajiona unajua.

Aombe ushauri kwa Msuva kwanza.
Wageni wa kuuza mchezaji utawajua tu,ushamba hauishi kwao, si mlikuwa hamtaki aondoke nyinyi Gongowazi bhana.
 
Huy dogo ana kipaji cha hali ya juu sana na ana potential kubwa mno. Kama amecheza msimu mmoja tu Simba ambayo ilikuwa haishiriki michuano ya kimataifa lkn tayari kaonekana, akicheza hata mechi 10 tu za Afrika anaweza kuuzwa mbali zaidi
 
Kwa kipi alicho nacho?
 
Msuva ame prove ubora wake kwa misimu 2 bila chembe ya shaka....

Huyo kichuya amekatika upepo nusu msumu, Yaani amefanana kwa idadi ya mabao na raphael daud.
We jamaa muongo sana! Raphael Daudi alikuwa na magoli 8 ya VPL wakati Kichuya alikuwa na 11, wakati mwingine uwe unaona AIBU kuleta ushabiki maandazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mnadhani kucheza uarabuni ni kazi nyepesi ehhh? Yakupasa uonyeshe kama unaweza kwanza kwenye ligi ndio uende huku. Sio kufunga bao la kona dhidi ya Yanga SC ndio ukajiona unajua.

Aombe ushauri kwa Msuva kwanza.
Lile bao lilikua classic Ndio maana unalifanyia rejea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichuya ni kiungo na msuva na mshambuliaji unalinganisha magoli!
Hakika wewe ni MBUMBUMBU.... Kichuya ni Kiungo.... Msuva ni mshambuliaji..... Winger amekuwa mshambuliaji... Kichuya si ni Winger tu kama Msuva.....
 
Back
Top Bottom