OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #21
Weka takwimu kakaKwanza mtoa post huna takwimu sahihi juu ya kichuya ni wapi kaifunga yanga mechi nne mfululizo?
Kichuya ni mume wwenu tu
Aliwafunga mechi zote msimu uliopita,akapiga penati kule Zenji,akapiga penati ngao ya jamii,akapiga bao kali mechi ya juzi
Tena ni mara 5