zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
si kila aliye uwanjani anaijua off side mkuu mbona unauliza maswali ujabu.Watanzania sijui tukoje hujajibu swali unaanza kuingiza mambo ya akili kubwa, ndio nina akili kubwa wala hujakosea ndomana nauliza ulikuwepo uwanjani? Kama uliangalia kwa luninga kama sisi basi huna uhakika na unachosema maana video inayoonesha goli haikupi % kusema kuwa ile ni offside labda kama ufate mapenzi ya moyo wako tu
si kila aliye uwanjani yuko upande wa kuona off side. yaani unauliza maswali ya darasa la 3b sijui hata nikujibu nini