Watanzania sijui tukoje hujajibu swali unaanza kuingiza mambo ya akili kubwa, ndio nina akili kubwa wala hujakosea ndomana nauliza ulikuwepo uwanjani? Kama uliangalia kwa luninga kama sisi basi huna uhakika na unachosema maana video inayoonesha goli haikupi % kusema kuwa ile ni offside labda kama ufate mapenzi ya moyo wako tu