Hatua sahihi zilizopaswa kuchukuliwa (nyuma ya pazia).
1. Kiongozi angeitwa mapema na wakuu wake baada ya fununu kwa kumsikiliza ili kupata ukweli na maoni yake (kama mkuu wa kaya)
2. kumuita mhanga kumuhoji na kupata ukweli na maoni yake pia.
3. Viongozi kuandaa mpango mkakati wa kulimaliza kiustaarabu Kwa maridhiano ya pande zote mbili (kisiri).
4. (Kwa kunusa) kuandaa plan B ya kumbeba "kiongozi" Kwa kutoa "mawaidha kinzani" Kwa raia kupitia vyombo vya habari.
5."Mhanga aliyejirekodi (kama alivyojitokeza) asingeleta "taharuki" katika jamii kivile.
(kumbukeni kwenye hili ana watu nyuma yake,bado wale wa haki za binadamu wanasikilizia waingieje ili kupata kiki)
"KAMA VIONGOZI TENGENEZENI KANUNI ZENU ZA NDANI (Siri) ZA KUJILINDA KWA KUTORUHUSU KILA ALIYE NJE KUVAMIA OFISI NA KUIVUNJA"
Siku za mbeleni itawaletea shida kwani mmeshafungulia mlango...
"Fungulia mbwa"
USHAURI.
1. Haraka iwezekanavyo,TAASISI "msafisheni" kiongozi wenu kupitia muhusika aliyemchafua (mpango mkakati).
2. Mpandisheni cheo "kiongozi" ngazi moja juu ili "kulinda bland" yake binafsi na Taasisi Kwa ujumla Huku uraiani.
Ahsanteni Kwa kunisikiliza,
MBARIKIWE !