Kichwa cha uume kimevimba kama ngumi ya mtoto mchanga

Kichwa cha uume kimevimba kama ngumi ya mtoto mchanga

Siuende hospitali jamani, hayo mambo ya mizizi utajikuta unaongeza tatizo maradufu,hebu achana na hizo Imani nenda hospitali Kwanza unaweza kukuta ni tatizo la kawaida tu na linatatulika kitaalam wewe unataka dawa asili.
Binti asante kwaushauri wako ila hujui ulichoongea
 
Acheni kufunga vilemba mtakufa kenge ninyi........unashindana na mwandu
 
Mbona ni sawa tu kuwa kama ngumi ya mtoto
Inatakiwa ufurahie banaa.
 
Back
Top Bottom