Tanzania Railways Corp
JF-Expert Member
- Mar 23, 2018
- 251
- 595
Hii hali ya mvua huko kwenu ikoje?Kichwa kipya cha treni ya umeme chawasiliView attachment 2801157
Picha iko wapi?Kichwa kipya cha treni ya umeme chawasiliView attachment 2801157
Kwa umeme huo labda kichwa cha dushe.Picha ya hiko kichwa ipo wapi
Hongereni kuleta hivyo vichwa vipya vya Treni kama ulivyo kiri hapa.Kichwa kipya cha treni ya umeme chawasiliView attachment 2801157
Na wameajiri mtu wa habari na mawasilianoPicha ya hiko kichwa ipo wapi
Inahusiana nini na hii mada?
Kichwa which where and how[emoji2957]Kichwa kipya kimeingia
Hata wewe unaweza kumpa pongezi, ni Kikwete.Hongereni kuleta hivyo vichwa vipya vya Treni kama ulivyo kiri hapa.
Treni ya Umeme inahitaji Umeme wa Uhakika, ni vyema mkajipanga kwenye hilo hasa wakati huu ambapo kumekuwa na tatizo kubwa la Upungufu wa nishati hiyo.
Nikiri wazi, nilibahatika kupanda treni lenu wakati mkifanya majaribio kipande cha DSM - Morogoro.
Ni moja ya mradi mzuri sana, tumpe pongezi aliyetoa wazo la kuanzisha mradi huo.
Hofu yangu, na wengine wengi humu ni suala la Upungufu wa huo umeme wa kuendesha mitambo hiyo.
Vinginevyo mje na mpango mbadala wa kutumia Majenereta walau kuwa na uhakika wa nishati.
Ingawa najua litakuwa na cost implications.
Kila la kheri
Sawa mkuuKichwa kipya cha treni ya umeme chawasiliView attachment 2801157