Kichwa kipya cha treni ya umeme chawasili

Kichwa kipya cha treni ya umeme chawasili

Yani na huu uhaba wa umeme bado tunaongezewa kitu kipya tuendelee kugawana umeme huu huu mdogo!

Kweli huu ni ujamaa
 
Behewa za SGR zikishuka PORT OF DAR ES SALAAM...Angalia utofauti
sgr.jpg
 
Naona kimechongoka kama Artemis II. Hata hiyo rangi yake nimeipenda sana.
 
Back
Top Bottom