Kichwani kwa Bondia Mwakinyo kupo sawa sawa? Amuombe Radhi upesi sana ' Legend ' Rashid Matumla kabla hajatuudhi zaidi

Tabia ya Mwakinyo ya kutotaka kukosolewa ameiiga kutoka hicho chama ambacho nacho hakitaki kukosolewa wala kupingwa.
Mbona unakwenda off point? Kama huna cha kuchangia ni bora usome michango ya wengine.
Maoni yangu ni kwamba huyu kijana bado ana safari ndefu na yeye au washauri wake wanapaswa kumueleza hivyo.
Ana miaka 25 na akitumia vizuri muda wake anaweza kufika mbali sana ila kama atakuwa na 'attit..ude' kuwa yeye ndiye bora na hasikii ushauri wa waliomzidi kwa umri na uzoefu basi safari yake inaweza kuishia njiani kabla hajafika mbali.
Ushauri wangu ni kuwa kwanza atafute 'stable house' inayofahamika kimataifa na pili apate meneja wa meneja wa kimataifa na afuate ushauri wao.
 
Tanzania hakuna Mabondia, kuna watu wanaoigiza ubondia.

Mabondia wengi wa Tanzania hawana afya ya kutosha, wana magonjwa , Minyoo haswa safura, njaa na wengine viribatumbo.

Hata wakipewa chakula stahiki hawataweza kula.

Kabla ya kwenda kupigana ulaya wanapaswa wafundishwe kula, kuexercise na kutumia dawa za minyoo

Wengi ni wa Mkuranga ndugu zake Faiza Foxy
 
Matumla ni icon
Kama we unafatilia ngumi utajua anamanisha nn.....
Huyo mwakinyo ye Nani asikosolewe
Ukikosolewa si unajirekebisha

Ova
 
Matumla ni icon
Kama we unafatilia ngumi utajua anamanisha nn.....
Huyo mwakinyo ye Nani asikosolewe
Ukikosolewa si unajirekebisha

Ova

Ni sawa na upate pesa kidogo na kuona maskini hawezi kukushauri na wakati maskini ndio wengi wao wanamichongo ambayo ukiifanyia kazi unatoboa zaidi ndio mwakinyo sasa
 
Weka mapambano aliyocheza ili tukuelewe
 
Huyu kijana keshalewa sifa. Hataki kukosolewa.

Ni ' Mpuuzi ' sana Mkuu na hata Mimi simkubali na kwa huu ' Upuuzi ' wake asipomuomba Radhi Rashid Matumla ' Snake Boy ' ategemee ' Kuanguka / Kuporomoka ' mazima kabisa Kimchezo. Bondia wangu kwa sasa na kwa Kizazi hiki ni Twaha Kiduku pekee na kidogo Dulla Mbabe.
 
Ni Mpuz sana
Hana adabu
Matumla ni icon tz kwenye boxing
Amewa inspire watu wengi Kuingia kwenye ngumi.... Hata siku moja huwez mskia cheka, dullah mbabe au twaha au mbelwa wakimbeza matumla
Lazima wanampa heshima yake
Huyu ashaanza jiona ni floyd na yuko kwenye rank zake

Ova
 
Matumla ni icon
Kama we unafatilia ngumi utajua anamanisha nn.....
Huyo mwakinyo ye Nani asikosolewe
Ukikosolewa si unajirekebisha

Ova
Kweli namjua sana Matumla a.k.a Snake Boy enzi hizo tunaenda kungalia mapambano yake kwenye kideo.
Basi wekeni rekodi zake hapa ili dogo Mwakinyo ajifunze kitu, haitoshi kusema Matumla alikuwa bora kuliko yeye bila kuweka rekodi mezani.
 
Mambo matatu muhimu kwenye Uzi wako yasiyoweza kubishaniwa:-
1.Mwakinyo anatumika kisiasa na chama fulani.
2.Mwakinyo hakushinda ila alishindishwa, na huu ni utamaduni wa chama kinachomtumia.
3.Mwakinyo amelewa sifa na kudhani yuko juu ya kila mtu na hakuna kama yeye nchini.
 

Nashukuru kwa Kunielewa.
 
Mnamwongelea bondia yupi? Huyuhuyu ambaye alidundwa juzikati pale shamba la bibi na kupewa ushindi wa mezani km serikali za mitaa? Huyu ambaye haujui hata wimbo wake wa Taifa? My God nisamehe kwa hili tusi nililomezea kwa gongo mchachuo hapa...
Yaani Genta na Ukuu wake anaongelea bondia wa "Serikali za mitaa". Genta wewe ni maarufu kuliko Mwakinyo kaa pembeni kula Chibuku yako.
 
Yule Wabongo 25+ age wanamchapa yule.....hata nawe unaweza..

Sina hiyo Afya ya Kupigana na Bondia Mwakinyo ila kama umenichoka GENTAMYCINE na hutaki niendelee tena Kuishi duniani na unataka nife kama siyo kufariki kabisa basi niandalie nae huo mpambano ili nikiaga zangu dunia kwa ' Vitasa ' vyake vya uhakika Roho yako ifurahi na iridhike pia.
 
Matumla ashachukua mkanda wa WBU na UBO wa dunia na mikanda kadhaa ya afrika
Matumla ni icon kwenye boxing tz
Sasa hyu mwakinyo kama wakina mobeto wanamfanya kuwa jeuri na kujiona star
Kwa kutotaka ushauri atapotea mapema

Ova
Kweli namjua sana Matumla a.k.a Snake Boy enzi hizo tunaenda kungalia mapambano yake kwenye kideo.
Basi wekeni rekodi zake hapa ili dogo Mwakinyo ajifunze kitu, haitoshi kusema Matumla alikuwa bora kuliko yeye bila kuweka rekodi mezani.
 
Yaka

Huku mitaani kwenye chandimu na mabonanza, makombe ya kuku na mbuzi kuna mafundi kuliko akina Samatta au Kouly Baly au Van Dijk.
Hao niliowataja wanatolewa ulimi nje na hata George Weah mchezaji wa dunia enzi hizo miaka ya 1990 mwanzoni alipigiwa mpira mwingi sana pale Taifa na watu ambao hajilikani wanatoka ligi ya matopeni ya Tanzania bara.

Lakini hao wabongo wa matopeni chandimu hawana mafanikio kabisa, hiyo ina maana hawawezi kuwafundisha namna ya kushinda mapambano ya mechi za professionals hao professional nilio wataja. Kama wanazo basi wangezitumia zingewatoa na wao wakafanikiwa.
 
Haya bhana😀....nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…