kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Mjinga wewe.. mtu kajaza taifa huoni kama kafanya maajabu...
Huyo matumla siku ile ya mechi Mimi mwenyewe nilianza kumuona Hana analolijua zaidi ya wivu...
Yaani unashangaa mtu kujaza Diamond Jubilee ila hushangai mwakinyo kujaza taifa...
Hili taifa limejaa Ng'ombe zisizokuwa na akili .. Mijitu imejaa wivu.
Pvmbavu
Kama kumrekebisha angeenda kwenye uongozi wa Mwakinyo Jr kama Legendary na kutoa nasaha zake, sio kuwa NEGATIVE kwenye Media kubwa kama Azam.
Matumla ana WIVU ilo liko wazi na namshauli kwenye maswala mazito ya Kitaifa next time awe POSITIVE sio kutomboka tomboka hovyo hovyo, Nilikuwa namheshimu ila sasa naomuona wa ajabu.
Huo ndio ulikuwa mwanzo wa kumchukia huyu dogo.Mwakinyo alimdiss hadi MAYWEATHER kuwa hajuwi ngumi anapigana ki bishoo tu.Itakuwa Matumla
Nani kakwambia kulikuwa Hakuna kiingilioHivi kujaza uwanja bila kiingilio we unaona maajabu? Unajua Diamond Jubilee ilijazwa kwa kiingilio cha sh ngapi?
Unataka ushahidi gani mkuu? Hayo maneno mwakinyo kayatoa katika kipindi cha michezo cha clouds fm,Mkuu bila ushahidi hizi ni porojo tu kama za Haji Manara Au Bi Hindu.
Umeonana.....Huo ndio ulikuwa mwanzo wa kumchukia huyu dogo.
Alim diss sana ila cha ajabu nilichokiona na yeye anaiga baadhi ya staili za Floyd Mayweather.
Shwaini[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Kubwa alilofanya Matumla kubeba ngada na juishia jela Addis Ababa Ethiopia..
Mwakinyo Bado Sana kwa matumlaView attachment 1279799
Wale wabishi bishi mnaomtetea tetea huyo aliyeibuka kama uyoga afanye kama hii kitu
Dogo sifa zimemzidi,saizi mapambano yake atayapeleka Tanga kwaoMwakinyo Bado Sana kwa matumla
Waswahili wa Tanga walikuwa na msemo 'MDIGO NI MZIGO' ila sina uhakika kama bado msemo huu unatumika.Nimepata bahati ya kusikiliza hayo mahojiano yake, nilichojifunza kwenye hayo mahojiano ni kuwa huyu dogo anadanganywa na watu waliomzunguka au anajidanganya mwenyewe kuwa yeye ni mkubwa kuliko snake boy, yani mpaka anai condition azam akicheza pambano lake snake boy asiitwe, mara snake boy kaja kuganga njaa, yani huyu kasahau mwaka jana tu alikosa nauli ya kwenda Uingereza kwenye lile pambano lililompa umaarufu mpaka leo anajulikana, waliokaribu nae wamuambie asijisahau hivyo, bado ana umri mdogo sana na ana safari ndefu ya kwenda, snake boy angekuwa kipindi hiki ambacho kuna evolution ya technology and social media pengine angekuwa maarufu mara elfu moja ya umaarufu alionao huyu dogo, ni mshauri tu kuwa kwa umri wake bado ana safari ndefu sana ya kutembea na hivyo anahitaji sapoti na ushauri wa wadau wote, anaowapenda na ata asiowapenda.
Mkuu GENTAMYCINE huyu atakuwa kizazi cha kiduku.Mkuu, kukamilisha Uzi wako weka na Rekodi za Rashid Matumla Snake Boy
kumbe we ni mwoga hivyo, basi tutamwandalia pambano na Twahara Kiduku na atamlambisha sakafu mapema tu.' Akiniua ' na Mkanizika Familia yangu utaitunza Wewe Mkuu? Acha ' Ubwege Nazi ' sawa?