Kichwani kwa Bondia Mwakinyo kupo sawa sawa? Amuombe Radhi upesi sana ' Legend ' Rashid Matumla kabla hajatuudhi zaidi

Kichwani kwa Bondia Mwakinyo kupo sawa sawa? Amuombe Radhi upesi sana ' Legend ' Rashid Matumla kabla hajatuudhi zaidi

Mjinga wewe.. mtu kajaza taifa huoni kama kafanya maajabu...


Huyo matumla siku ile ya mechi Mimi mwenyewe nilianza kumuona Hana analolijua zaidi ya wivu...


Yaani unashangaa mtu kujaza Diamond Jubilee ila hushangai mwakinyo kujaza taifa...



Hili taifa limejaa Ng'ombe zisizokuwa na akili .. Mijitu imejaa wivu.


Pvmbavu

Hivi kujaza uwanja bila kiingilio we unaona maajabu? Unajua Diamond Jubilee ilijazwa kwa kiingilio cha sh ngapi?
 
IMG-20191202-WA0001.jpg
 
Mkuu hiyo ID yako mm ndo huwa inanikumbushaga mbaali kweli kweli,hilo neno wengi wtt wadogo wanaweza wasielewe,
Kama kumrekebisha angeenda kwenye uongozi wa Mwakinyo Jr kama Legendary na kutoa nasaha zake, sio kuwa NEGATIVE kwenye Media kubwa kama Azam.

Matumla ana WIVU ilo liko wazi na namshauli kwenye maswala mazito ya Kitaifa next time awe POSITIVE sio kutomboka tomboka hovyo hovyo, Nilikuwa namheshimu ila sasa naomuona wa ajabu.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Mwakinyo alimdiss hadi MAYWEATHER kuwa hajuwi ngumi anapigana ki bishoo tu.Itakuwa Matumla
Huo ndio ulikuwa mwanzo wa kumchukia huyu dogo.

Alim diss sana ila cha ajabu nilichokiona na yeye anaiga baadhi ya staili za Floyd Mayweather.
 
Mkuu bila ushahidi hizi ni porojo tu kama za Haji Manara Au Bi Hindu.
Unataka ushahidi gani mkuu? Hayo maneno mwakinyo kayatoa katika kipindi cha michezo cha clouds fm,
Kiufupi kakosea sana, kwa umri wake ana vitu vingi vya kujifunza inashangaza management yake wanaona sawa kwa anayosema
 
Naunga mkono hoja. uyo dogo kashajiona kamaliza wakati ngumi zenyewe hajui kinachompaisha ni promo tu.Matumla lazima aongee uhalisia ili mwakinyo na kambi yake wajirekebishe sasa yeye alitaka asifiwe tu, kwa lipi hasa wakati hata pambano lenyewe nidhahiri uenyeji ndo ulimbeba.Kukoselewa ni sehemu ya maisha ili urekebishe haijalishi umekoselewa kistaraabu au kwakejeli.
 
Naona umefunga mlango wa PM nilitaka huu ujumbe nikutumie PM

asee bwana mdogo,siku nakutana na wewe uso kwa uso "shingo yako mali yangu"

ipo siku 1 isiyo na jina wala tarehe,nakuona tu unatukana tukana watu,sio mbaya "ipo siku"
 
Nimepata bahati ya kusikiliza hayo mahojiano yake, nilichojifunza kwenye hayo mahojiano ni kuwa huyu dogo anadanganywa na watu waliomzunguka au anajidanganya mwenyewe kuwa yeye ni mkubwa kuliko snake boy, yani mpaka anai condition azam akicheza pambano lake snake boy asiitwe, mara snake boy kaja kuganga njaa, yani huyu kasahau mwaka jana tu alikosa nauli ya kwenda Uingereza kwenye lile pambano lililompa umaarufu mpaka leo anajulikana, waliokaribu nae wamuambie asijisahau hivyo, bado ana umri mdogo sana na ana safari ndefu ya kwenda, snake boy angekuwa kipindi hiki ambacho kuna evolution ya technology and social media pengine angekuwa maarufu mara elfu moja ya umaarufu alionao huyu dogo, ni mshauri tu kuwa kwa umri wake bado ana safari ndefu sana ya kutembea na hivyo anahitaji sapoti na ushauri wa wadau wote, anaowapenda na ata asiowapenda.
Waswahili wa Tanga walikuwa na msemo 'MDIGO NI MZIGO' ila sina uhakika kama bado msemo huu unatumika.
 
Kutokupenda kukosolewa ni hulka ya wabongo hata Matumla angekosolewa kipindi yupo kwenye peak lazima angefuka moshi tu.
 
' Akiniua ' na Mkanizika Familia yangu utaitunza Wewe Mkuu? Acha ' Ubwege Nazi ' sawa?
kumbe we ni mwoga hivyo, basi tutamwandalia pambano na Twahara Kiduku na atamlambisha sakafu mapema tu.
 
Haka kabwana mwakinyo kanabahati sasa hivi kuna mwamko wa michezo, huyu hata kwa mbwana matumla asingegusa no OVERRATED BOXER
 
Back
Top Bottom