kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,117
Kama kumrekebisha angeenda kwenye uongozi wa Mwakinyo Jr kama Legendary na kutoa nasaha zake, sio kuwa NEGATIVE kwenye Media kubwa kama Azam.Bahati mbaya sana hajui kukosolewa kama alivyofanya Matumla ni namna tu ya kumsaidia ajirekebishe wapi ajipange vipi kama kijana. Mwakinyo amelewa sifa mapema wakati bado ana safari ndefu,kwa shombo anazoendelea nazo,ataishia Lushoto tu hapo hapo. Nimesikia vile vile akiponda Azam kwamba hatafanya nao kazi,ujinga wa kiwango cha juu. Bila kukosolewa huwezi kuwa mzuri ktk fani uliyopo. Asione akina Diamond wanapiga mpunga mrefu mpaka sasa,wamevumilia na kurekebishwa sana. Wala hakuna anaojibishana nao kwa jeuri hivyo
Matumla ana WIVU ilo liko wazi na namshauli kwenye maswala mazito ya Kitaifa next time awe POSITIVE sio kutomboka tomboka hovyo hovyo, Nilikuwa namheshimu ila sasa naomuona wa ajabu.