Kick ya mwaka: Harmonize feki + Wolper feki, tazama video na picha

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Duh Hii Ndiyo Kik Ya Mwaka: Harmonize Feki Aaamua Kutoka na Wolper Feki Ili Wafanane na Harmonize Halisi,Tazama Pichaz Hapa..!

wolper-na-hamonie.png

Msanii chipukizi wa Bongo Fleva anayefanana sana kwa sura na msanii kutoka WCB, Harmonize kiasi cha kubatizwa jina la ‘Pacha wa Harmonize’, Harmorapa, leo ametinga kwenye Ofisi za Global Publishers, Bamaga- Mwenge jijini Dar ambapo mbali na mambo mengine, amefungukia uhusiano wake wa kimapenzi na ‘Wolper’.

Harmorapa amesema kuwa kutokana na kufanana sana na Harmonize, aliamua kutafuta msichana anayefanana sana na mpenzi wa Harmonize, mwanadada Jacqueline Wolper ambaye naye kwa jinsi anavyofanana naye, ukikutana nao unaweza kudhani umekutana na Harmonize na Wolper ‘orijino’.

“Prodyuza wangu, Khalfan ndiye aliyenikutanisha na mwanadada huyu ambaye watu wanamuita Wolper kutokana na jinsi alivyofanana naye, alinikutanisha kwa lengo la kufanya naye kazi akiwa kama video queen, akatokea kuwa rafiki yangu sana na mara kwa mara nakuwa naye sehemu mbalimbali.

“Kiukweli uhusiano wetu ni wa kikazi tu tofauti na Harmonize na Wolper ambao ni wapenzi kweli.”
 
Acha uongo aisee huyo harmorapa kamshirikisha huyo binti wimbo mmoja sasa sijui unaongea nini.
 
Kuusaka ustar
Hata kidongo
Kitonga n rahis kupanda

Kuliko kuutafta ustar
 
Duh Hii Ndiyo Kik Ya Mwaka: Harmonize Feki Aaamua Kutoka na Wolper Feki Ili Wafanane na Harmonize Halisi,Tazama Pichaz Hapa..!

View attachment 460743

Msanii chipukizi wa Bongo Fleva anayefanana sana kwa sura na msanii kutoka WCB, Harmonize kiasi cha kubatizwa jina la ‘Pacha wa Harmonize’, Harmorapa, leo ametinga kwenye Ofisi za Global Publishers, Bamaga- Mwenge jijini Dar ambapo mbali na mambo mengine, amefungukia uhusiano wake wa kimapenzi na ‘Wolper’.

Harmorapa amesema kuwa kutokana na kufanana sana na Harmonize, aliamua kutafuta msichana anayefanana sana na mpenzi wa Harmonize, mwanadada Jacqueline Wolper ambaye naye kwa jinsi anavyofanana naye, ukikutana nao unaweza kudhani umekutana na Harmonize na Wolper ‘orijino’.

“Prodyuza wangu, Khalfan ndiye aliyenikutanisha na mwanadada huyu ambaye watu wanamuita Wolper kutokana na jinsi alivyofanana naye, alinikutanisha kwa lengo la kufanya naye kazi akiwa kama video queen, akatokea kuwa rafiki yangu sana na mara kwa mara nakuwa naye sehemu mbalimbali.

“Kiukweli uhusiano wetu ni wa kikazi tu tofauti na Harmonize na Wolper ambao ni wapenzi kweli.”
Yaani anavyotia huruma wala hafananii kuwa supastaa lol
 
Hawa global bana kwa iyo chanzo wamepatia FNL cha habari na picha
 
Back
Top Bottom