Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kuna kitu nakijua kuhusu huyu mtuMkuu umeongea kama mkuu wa majeshi alivyomwambia mama Samia kwenye msiba wa Magufuli.
Kuna kitu nakijua kuhusu huyu mtu
Kipi mkuuKuna kitu nakijua kuhusu huyu mtu
Jiwe ulikuwa ukimgomea mambo yake anakung'oaHuyu si ndiye alikuwa Balozi wetu Canada kisha akarudishwa kwa tuhuma za wizi na ufisadi mkubwa pale TRA?
Ni yeye, huyo ni NYAHUNIHuyu si ndiye alikuwa Balozi wetu Canada kisha akarudishwa kwa tuhuma za wizi na ufisadi mkubwa pale TRA?
Naona wafanyabiashara wakirudi tena.Alphayo Kidata Rais Samia Suluhu amekurudishia heshima yako iliyoondolewa kwa sababu ambazo hazikuelezwa , tunafahamu kwamba ulitukanwa sana hadi ukavuliwa ubalozi , yaliyopita si ndwele tugange yajayo .
Nakuomba sana mkuu , tafadhali sana Mzee wangu fanya kazi yako kwa haki huku ukizingatia sheria za nchi , si kila mtu aweza kubahatika kupata second chance , kwa leo ni hayo tu , lakini kesho nitakupigia simu kwa ile namba yangu inayoishia 72 ili nikueleze ambayo siwezi kuandika hapa .
Kila la heri .
View attachment 1743565
Ilinipita hiyo, mkuu wa jeshi alimwambiaje bosi wake?!Mkuu umeongea kama mkuu wa majeshi alivyomwambia mama Samia kwenye msiba wa Magufuli.
Sijawahi kumwamini JiweRais Magufuli atengua uteuzi wa Balozi Alphayo Kidata, amwondolea hadhi ya Ubalozi!
Rais John Magufuli ametengua uteuzi na kumrejesha nchini aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada, Alphayo Kidata pia ameondolewa hadhi ya Ubalozi MY TAKE: Ndugu Kidata ni mzaliwa wa wilaya ya Bunda, mkoani Mara, A-Level kasoma HGE Songea Boys High School pamoja na Mheshimiwa Kangi...www.jamiiforums.com
Bora umewaza kama mimi aisee tena kwa kutafakari sana.. mi naanza kukosa imani na Mama.Hivi Mama anamaamuzi kweli, au anaburuzwa tu,Mama... grow balls, wasije kukuharibia..
Jiwe alichafua wengine ili ang'are yeye tuBora umewaza kama mimi aisee tena kwa kutafakari sana.. mi naanza kukosa imani na Mama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunasubiri may mosi tuBora umewaza kama mimi aisee tena kwa kutafakari sana.. mi naanza kukosa imani na Mama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa ngumu kufanya kazi na Jiwe kama we ni mzembe, mla rushwa na Fisadi! Abadani katika watu ambao walipata shida wenye sifa hizo.Jiwe alichafua wengine ili ang'are yeye tu
Mtaishia kuona May Moshi mweusi tu.πππSisi tunasubiri may mosi tu