Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,322
- 6,998
Magufuli alikuwa ana kauli yake moja ambayo inasema ni kheri ufanye maamuzi na ukosee kuliko kutofanya kabisa uamuzi.
Na kupitia hii aliwatoa wengi sababu jambo linapaswa kufanyika halafu kiongozi anakaa kimya tu kwa kuogopa kuharibu, mwisho wa siku mambo hayaendi na haki inacheleweshwa mpaka kiongozi wa juu ndio aingilie kati.
Kidata nae alikumbwa na dhahama hiyo