Punguza chuki bro. Kwann tunapenda watu washindwe mara zote. Hii roho ya kimasikini sijui mnaitoa wapi. Utawala uibe afu akuache hivihivi? Si mlikuwa anachukia ufisadi? KIDATA alikuwa smart sana akiwa CG TRA tatizo mna chuki sana. Alikuwa anakusanya mapato makubwa kuliko huyu MHEDE. We umeona MHEDE wa maana kisa KODI ZILE ZA HALMASHAURI kuhamishiwa TRA. ILA CHINI YA MHEDE BIASHARA NYINGI ZIMEFUNGWA KWA KUKOSA WELEDI NA HASA KULAZIMISHA MALENGO MAKUBWA KWENYE MIKOA HALI ILIYOPELEKEA WATUMISHI WA TRA kukosa hata muda wa kupumzika, madeni ya miaka 10 nyuma yalikuwa yanadaiwa na RIBA juu yake. Pamoja na ukusanyaji mapato lakini lazima uzingatie ustawi wa wafanyabiashara wenyewe.
Wengi hamjui yanayoendele ndani ya TAASISI hizi za SERIKALI. KULIKUWA HAKUNA UFANISI YAANI NI KUTAKA KUIRIDHISHA MAMLAKA MPAKA MTU ANATOKA NJE YA TAALUMA YAKE. NAKUHAKIKISHIA NOW UCHUMI UTAFLOW VIZURI SANA. HATA ZILE TENDA ZA KIPUMBAVU KUPEWA WALE CHEAP LABOR (JKT) ZITAKOMA NA FEDHA ZITAANZA KUONEKANA MTAANI.
WENGI HUMU JF NI MAKANJANJA NA ELIMU ZAO NI MBOVU WANAFATA MKUMBO TU.