Kidata karibu tena TRA! Uungwana ni vitendo, usijaribu kuwa Kifutu

Kidata karibu tena TRA! Uungwana ni vitendo, usijaribu kuwa Kifutu

08DD9B4E-5F73-4D87-9D6B-F8E94C63D51E.jpeg



Sheria inataka mamlaka ya mapato kuzuia mali pale wanapobaini mfanyabiashara alikuwa na mikakati ya makusudi kudanganya kodi (kuna tests zake kabla ya kuchukua hatua hizo, usually it’s the last resort which requires supporting evidence).

Tatizo la msingi watanzania awajazoea kulipa kodi wala awafuati sheria za kodi hapo ndio kwenye shida (na ukisikiliza watoa elimu huko mitaani unaona kabisa huyo afisa nae uelewa wake wa taxation ni shida).

Kwa wafanyabiashara sheria inapochukua mkondo wake kwa makosa ya uhasibu wa kikodi utasikia malalamiko, wakati wao awafuati maelezo.

TRA ilikuwa inaelekea kwenye right direction challenge kubwa ilibaki wafanyabiashara kukubali the new norm, na kubadili tabia za wafanyakazi wachache waliokuwa wanatumia sheria vibaya katika nafasi zao kuonea wengine.

Kiongozi anatakiwa kuwa na malengo yake ya kuisogeza nchi mbele hasa hizi zetu maskini na katika harakati hizo it’s impossible to please everyone.
 
We ni mpuuzi tu. Hujui lolote labda huyo MHEDE awe shemeji yako.
Mkuu nadhani nimemaanisha uzidishe umakini na matumizi ya akili. Naona utakua umezidisha kitu cha tofauti na hivyo.

Anyway, you win. Maana me huwa sipambanii kombe kwenye keyboard
 
Uliaminishwa kuwa wamevuruga ila ukweli Late JMP hakupenda watumishi smart. Yy aliwapenda wale ambao ukitukana wanaitikia tu. Rejea ASSAD, NDULU, KAPILIMBA, DAU NK
Ndulu alistaafu kwa mujibu wa sheria ubaya uko wapi? Dau ana usmart gani? Kapilimba ana usmart gani?

Hapo angalau Assad.
 
Wapumbavu babaako na mamaako ZWAZWA wewe. BOYA pia Babaako na Mamaako. TRA kumejaa wahuni, majizi na waporaji ndiyo sababu wafanyabiashara wanafunga biashara zao au kuhamia nchi jirani kutokana na majuha kama wewe hapo TRA.
Wewe ni kati ya wanaJF wapumbavu zaidi. Soma vizuri hapo nimekuambia JPM hakuwa anawapenda watu ambao wapo smart kusimamia sheria. Acha chuki za kipuuzi MHEDE tunamjua na tumefanya nae kazi hamna kitu zaidi ya kutishia mameneja wa mikoa wafikie lengo bila kuweka strategy za uhakika. Amefanya biashara nyingi zifungwe. KARIBU TRA HQ BOYA WEWE.
 
View attachment 1743605


Sheria inataka mamlaka ya mapato kuzuia mali pale wanapobaini mfanyabiashara alikuwa na mikakati ya wazi kudanganya kodi (kuna tests zake kabla ya kuchukua hatua hizo, usually it’s the last resort).

Tatizo la msingi watanzania awajazoea kulipa kodi wala awafuati sheria za kodi hapo ndio kwenye shida.

Sheria inapochukua mkondo, wake kwa makosa ya uhasibu wa kikodi utasikia malalamiko, wakati wafanyabiashara awafuati.

TRA ilikuwa inaelekea kwenye right direction challenge kubwa ilibaki wafanyabiashara kukubali the new norm, na kubadili tabia za wafanyakazi wachache waliokuwa wanatumia sheria vibaya katika nafasi zao.

Kiongozi anatakiwa kuwa na malengo yake ya kuisogeza nchi mbele hasa hizi zetu maskini na katika harakati hizo it’s impossible to please everyone.
TRUST ME hiyo sheria ni ya kijamaa, ukiitumia tu bila busara na ubinadamu na akili kubwa na ya kipekee utabaki na wafanyabiashara wachache sana na wengi watakuwa wafanyabiashara wadogo na wa kati wachache.

USHIKE SHIKE HOVYO MALI ZA WAFANYABIASHARA? NCHI IPI INACHEZA HUO MCHEZO KIRAHISI HALAFU KWA MSIMU MMOJA( YAANI UNASHIKA MALI ZA WAFANYABIASHARA ALMOST 20% YA WAFANYABIASHARA WOTE)

Sheria zipo ila ni lazima uwe na busara na ujue ni wapi ukomalie sheria na wapi mkae chini mzungumze ili marekebisho yafanyike na serikali ipate haki yake na mfanya biashara aendelee kuwepo.
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa Giza.Huyu Alfayo alikuwa rafiki na mshikaji wa JPM toka wapo wizara ya ardhi.Huyu jamaa alikuwa anampigia kampeni sana JPM kuwa lazima awe Rais.Labda nikwambie ni majungu tu yalitengenezwa ili kuwachonganisha.Nakumbuka huyu jamaa hata aliporudishwa kutoka Canada bado walikuwa wanawasiliana na JPM.Na akimpigia simu JPM wanaongea kishikaji na kucheka sana.
Kweli wewe unajua mambo mengi kwa maneno yako hayo tu nimeamini. Aliyemwangusha huyu Kidata ni nyumba ndogo ya kichaga. Nafikiri atakuwa amejifunza!!
 
Wapumbavu babaako na mamaako ZWAZWA wewe. BOYA pia Babaako na Mamaako. TRA kumejaa wahuni, majizi na waporaji ndiyo sababu wafanyabiashara wanafunga biashara zao au kuhamia nchi jirani kutokana na majuha kama wewe hapo TRA.
Mkuu wetu ndio huyo MHEDE sasa.
 
Kwa hiyo Mhede anakuwa nani nchini?

Namkubali Sana Bro huyu kwa Uchapakazi na uaminifu. Sio mwizimwizi kama wengi wenye matuhuma.
Tunachokitaka sio habari ya mwizi sijui mzalendo,Mzalendo anaenyanyasa wafanyabiashara bora na yeye apate korona amfuate mwenzake,
Kuna watu nchi hii walifika mahali walijiona kama mali yao,sijui wasukuma sijui wanyamwezi sijui nyantuzu sijui wala sangara hovyo sana,huyu mwendazake aliendekeza Sana ukabila.
 
Mama anaburuzwa tu Mkuu sidhani kama alihusika kwenye huo uteuzi wa nafasi hizi zaidi ya kutia saini tu. Asipokuwa makini watampitishia madudu ya kutisha sana ili amwage wino.
mtaongea mengi lakini ukweli ni kwamba mama yuko makini, safari hii lazima mkae, mlitegemea mtelemko.

Mama ana sera zile zile za kijamaa, waambieni wazungu kuwa huo ndio msimamo wa nchi, hata wafanyaje, Bwana Yesu alifanya kazi kwa miaka 3 na Injili ilienea hadi leo watu wamekombolewa.

Martin Luther King alifanya uanaharakati kwa miaka si zaidi ya 13 lakini hadi mwaka jana 2020 rais wa kwanza mwanamke mweusi alipatikana na pia rais mweusi Barack Obama alishatawala USA.

Kwa Tanzania Magufuli kahudumu miaka 5.3 lakini uzalendo aliopanda utaushuhudia kuanzia leo na kuendelea. Wazungu watasubiri sana ualendo upo tayari
 
Philip Mpango ndo anamjua vizuri huyu mtu

Ama Mama kapewa ushauri sahihi au kapotoshwa
Kuna mtu ambaye hastahili hata kuwa mtendaji wa kata lakini leo amepewa unaibu km kwenye wizara nyeti na inayoshughulika na brain types za bill gates, nimepoteza imani na mama rasmi. Inaelekea alichomekewa majina ya watu asiyowafahamu au alisoma tu cv akavutiwa kama alivyosema mwenyewe namna alivyompata kmk
 
View attachment 1743605


Sheria inataka mamlaka ya mapato kuzuia mali pale wanapobaini mfanyabiashara alikuwa na mikakati ya makusudi kudanganya kodi (kuna tests zake kabla ya kuchukua hatua hizo, usually it’s the last resort which requires supporting evidence).

Tatizo la msingi watanzania awajazoea kulipa kodi wala awafuati sheria za kodi hapo ndio kwenye shida (na ukisikiliza watoa elimu huko mitaani unaona kabisa huyo afisa nae uelewa wake wa taxation ni shida).

Kwa wafanyabiashara sheria inapochukua mkondo wake kwa makosa ya uhasibu wa kikodi utasikia malalamiko, wakati wao awafuati maelezo.

TRA ilikuwa inaelekea kwenye right direction challenge kubwa ilibaki wafanyabiashara kukubali the new norm, na kubadili tabia za wafanyakazi wachache waliokuwa wanatumia sheria vibaya katika nafasi zao kuonea wengine.

Kiongozi anatakiwa kuwa na malengo yake ya kuisogeza nchi mbele hasa hizi zetu maskini na katika harakati hizo it’s impossible to please everyone.
Ni kweli mkuu pia watz wajue VAT siyo pesa ya mfanyabiashara hivyo kutoiwakilisha TRA ni wizi kama wizi mwingine kwa kuwa umemkata mteja wako ili uwakilishe TRA lakini hufanyi hivyo then wewe unaitumia kwa faida yako.

Sheria iko wazi na kosa hilo ni predicate offence ya money laundering lakini nyumbu wanaperekeshwa tu bila kujua labda hizo sheria zifutwe la sivyo nina uhakika kama wafanyabiashara wataendelea kuiba/kutowakilisha VAT bado sheria itafuata mkondo wake.

Labda wairudishe hiyo sheria bungeni ifutwe la sivyo ukiwaruhusu wafanyabiashara kutokuwakirisha VAT TRA basi mapato yatapungua sana watakuwa wanapiga hizo VAT kama walivyokuwa wanafanya awali.
 
Uliaminishwa kuwa wamevuruga ila ukweli Late JMP hakupenda watumishi smart. Yy aliwapenda wale ambao ukitukana wanaitikia tu. Rejea ASSAD, NDULU, KAPILIMBA, DAU NK
Acha chuki matunda ya mama Samia yametokana na Magu.Kifupi mmekwama kubalini yaishe, msiyemtaka yumo
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa Giza.Huyu Alfayo alikuwa rafiki na mshikaji wa JPM toka wapo wizara ya ardhi.Huyu jamaa alikuwa anampigia kampeni sana JPM kuwa lazima awe Rais.Labda nikwambie ni majungu tu yalitengenezwa ili kuwachonganisha.Nakumbuka huyu jamaa hata aliporudishwa kutoka Canada bado walikuwa wanawasiliana na JPM.Na akimpigia simu JPM wanaongea kishikaji na kucheka sana.
Mkuu mbona alimpa adhabu kubwa sana? Hadi kumfutia hadhi ya ubalozi?
 
Kuna mtu ambaye hastahili hata kuwa mtendaji wa kata lakini leo amepewa unaibu km kwenye wizara nyeti na inayoshughulika na brain types za bill gates, nimepoteza imani na mama rasmi. Inaelekea alichomekewa majina ya watu asiyowafahamu au alisoma tu cv akavutiwa kama alivyosema mwenyewe namna alivyompata kmk
Mama anajua anachofanya na yuko makini kuliko jana, usitegemee ujinga wenu mama aupe nafasi. Tena tunawaambia hiiiiiiiiiiiii chezea pengine
 
Mkuu mbona alimpa adhabu kubwa sana? Hadi kumfutia hadhi ya ubalozi?
kwani nini cha ajabu, Mama alikuwa msaidizi wa JIWE na mjue Jiwe LIKO KAZINI, ujamaa kwenda mbele, mali za nchi lazima zilindwe, mama tunamuombea sana tu
 
Ni kweli mkuu pia watz wajue VAT siyo pesa ya mfanyabiashara hivyo kutoiwakilisha TRA ni wizi kama wizi mwingine kwa kuwa umemkata mteja wako ili uwakilishe TRA lakini hufanyi hivyo then wewe unaitumia kwa faida yako. Sheria iko wazi na kosa hilo ni predicate offence ya money laundering lakini nyumbu wanaperekeshwa tu bila kujua labda hizo sheria zifutwe la sivyo nina uhakika kama wafanyabiashara wataendelea kuiba/kutowakilisha VAT bado sheria itafuata mkondo wake. Labda wairudishe hiyo sheria bungeni ifutwe la sivyo ukiwaruhusu wafanyabiashara kutokuwakirisha VAT TRA basi mapato yatapungua sana watakuwa wanapiga hizo VAT kama walivyokuwa wanafanya awali.
Walioshangilia kifo cha MEKO wajipange sawa sawa kodi kama kawaida, yaani ni sehemu ya maisha yako if you attempt to temper with it, surely you gonna suffer the consequences.Tii sheria za TRA bila shuruti
 
TRUST ME hiyo sheria ni ya kijamaa, ukiitumia tu bila busara na ubinadamu na akili kubwa na ya kipekee utabaki na wafanyabiashara wachache sana na wengi watakuwa wafanyabiashara wadogo na wa kati wachache.

USHIKE SHIKE HOVYO MALI ZA WAFANYABIASHARA? NCHI IPI INACHEZA HUO MCHEZO KIRAHISI HALAFU KWA MSIMU MMOJA( YAANI UNASHIKA MALI ZA WAFANYABIASHARA ALMOST 20% YA WAFANYABIASHARA WOTE)

Sheria zipo ila ni lazima uwe na busara na ujue ni wapi ukomalie sheria na wapi mkae chini mzungumze ili marekebisho yafanyike na serikali ipate haki yake na mfanya biashara aendelee kuwepo.
I agree with your point ndio maana nikasema tatizo la msingi ni wafanyakazi wachache wa TRA kutumia sheria vibaya, kunyanyasia watu.

Usually mfanyabiashara anapotuhumiwa kwa makosa makubwa ya kodi anapewa muda wa ku respond na kuna milolongo kadhaa kabla ya hatua kali kuchukuliwa; wanatakiwa wajiridhishe pasipo shaka kabla ya maamuzi kama hayo.

Na kama watachukua maamuzi ya aina hiyo kuna compensation luluki moja wapo ni loss of trade income mfanyabiashara akishinda kesi; ndio maana kwingine duniani vitu kama hivyo huwa ni last resort.

Sio sisi kwa kutumia case study ya yule jamaa wa Kariakoo that was all wrong kama ulifuatilia lile sakata TRA wamemuonea sana. Halafu misstatement sio serious offence wao wanatumia makosa kama hayo kutoa adhabu kubwa zinazotakiwa kutumika kwenye fraud/tax evasion solely.

Lakini sheria yenyewe aina tatizo na kama unadhani hiyo sheria ni draconian ebu tafuta za kwa mabeberu kwenye makosa hayo hayo sio kwamba wanakudai kodi tu na jela wanakutupa.
 
Back
Top Bottom