Kidata karibu tena TRA! Uungwana ni vitendo, usijaribu kuwa Kifutu

Kidata karibu tena TRA! Uungwana ni vitendo, usijaribu kuwa Kifutu

Kidata ni Fraud,

1. Akiwa KM-Ardhi miaka 2013-15 alihusika moja kwa moja na ku-inflate bei za viwanja vya mradi wa Dege Village Kigamboni. Kwa hiyo naye ni mnufaika

2. Akiwa TRA alikutwa ameingiziwa fedha ndefu na wafanyabiashara to the tune of Tsh 3.0 Billion

3. Kuna wakati alikwenda likizo kwao na magari mawili ya TRA, moja likiwa limembeba mkewe na jingine yeye mwenyewe. Moja ya gari likapata ajali na kutengenezwa kwa gharama/bima ya TRA

4. Anaishi Mbweni kwenye hekalu ambalo hawezi ku-account vyanzo vya fedha alizotumia kujenga.
 
Huyu alikuwa na makandokando kibao kila alipopelekwa,hata pale wizara ya ardhi alifanya vitu sio wakati akiwa na tibaijuka!!

Leo anarudi sehemu nyeti namna hii kisa ukaribu wake na Fulani? Kiukweli huku uteuzi unatia mashaka makubwa kama tutasonga au tutapiga "rivasi"
 
Acha chuki zako za kikabila wewe, wasukuma hutaweza kupambana nao wanakuzidi kwa kila kitu, wana madini(almasi, dhahabu n.k), ni wafugaji wanaoifanya tanzania kuwa nchi ya pili afrika kwa wingi wa mifugo, ni wakulima wa mazao ya biashara na chakula, ni kabila kubwa Tanzania na kizazi kikubwa kuliko kabila lolote Tanzania. Utashindana nao wewe mla ndizi na chipsi.Kaa kushoto. Wewe kunywa maziwa mpaka uende dukani, usipokuwa na pesa hunywi maziwa, msukuma anakamua mifugo na kunywa maziwa papo kwa papo
Hoja zako ni laini sana,sina chuki na msukuma,nina chuki na ukabila,Magufuli alikuwa mkabila,najua hili linawakera lakini ndio ukweli,alitumia ubabe kukawa hakuna anaehoji ukabila na ubinafsi wake.Hii habari ya sijui wasukuma wanang'ombe sijui madini hatuna kazi nayo
 
Humpendi na tena sio kwa kuwa hapendiki Bali Siasa zako zimeharibu mpaka akili na utashi wako. Unapinga hata mambo ya msingi. Jiwe alikuwa na malengo na nia njema sana. Shida yako kubwa Ni ujinga wa uvyama. Muda utaongea sana.
Yepi
 
Ni suala la muda tu, maana ni kitu cha kushangaza kidogo kwamba mamlaka ile ile ilitengua uteuzi na mamlaka hiyo hiyo yamrudisha mtu yuleyule...

Ni ama mamlaka ya mwanzo ilipotoshwa au mamlaka ya sasa imepotoshwa au kinyume chake...
 
Ni suala la muda tu, maana ni kitu cha kushangaza kidogo kwamba mamlaka ile ile ilitengua uteuzi na mamalaka hiyo hiyo yamrudisha mtu yuleyule...

Ni ama mamlaka ya mwanzo ilipotoshwa au mamlaka ya sasa imepotoshwa au kinyume chake...
Hakuna mamlaka iliyopotoshwa!! Mamlaka inaamini amejirekebisha!!
 
Mwambie ukaguzi wa hesabu wa miaka 5 nyuma unaua biashara.Penalty na riba ni msumari wa mwisho katika biashara yoyote.Last year ulifanyika ukaguzi kuanzia 2015 hadi 2019

Auditor hakuwakilisha mahesabu ya 2014/2015 msalawake ni (225,000 x 12) x 4= 10,800,000/

SDL = 57,000,000/
PAE. = 43,000,000/
Manunuzi yasiokuwa na receipts 276,000,000
Others 35,000,000
Total 400 million

Kampuni imefungwa ajira 18 zinepotea
Tax base inazidi kupungua

Huu ndio ujuha wa Bwana yuleee.
Nashauri makosa yakikutwa haya mambo ya penalty na riba yaondolewe yataondoa rushwa na kuongeza uwazi katika ulipaji wa kodi.
 
Ni suala la muda tu, maana ni kitu cha kushangaza kidogo kwamba mamlaka ile ile ilitengua uteuzi na mamalaka hiyo hiyo yamrudisha mtu yuleyule...

Ni ama mamlaka ya mwanzo ilipotoshwa au mamlaka ya sasa imepotoshwa au kinyume chake...
Akiwa bosi wa TRA, makamu wa Rais wa sasa alikuwa waziri wa Fedha....

Hapa Rais atakuwa kapewa ushauri na makamu wake...

Tuwe na subira tuone...
 
Dotto James hakutakiwa tu kutoka wizara ya fedha, hakupaswa kuwa katibu popote pale.
Sikulitegemea hili.

Sijaona alipofeli kamishna Dr. Mhede.
Angeshauriwa tu kuhandle zile malalamiko za walipakodi maana zilikua nyingi sana. Naona hizo ndo alikua hazisikii, otherwise alikua kamishna mzuri.

Kwa hiyo kushindwa ku handle malalamiko ya walipa kodi iko sawa? Unataka ashindwe nn ndo ujue hatoshi?
 
Kwa hiyo kushindwa ku handle malalamiko ya walipa kodi iko sawa? Unataka ashindwe nn ndo ujue hatoshi?
Kushindwa ni inability. Yule uwezo anao ndio maana nimesema angeshauriwa.

Na pengine hakuyazingatia kwasababu ya tabia yakudumu ya walipokodi, kulalamika. Sisemi kutokuyazingatia ni jambo jema, ila pia walipakodi hawajawahi kuacha kulalamika. Na kila wanapokamatwa kwenye makosa, kisingizio chao ni kutokujua utaratibu/sheria. Hawajawahi kujua kabisa.
 
Back
Top Bottom