Kidata karibu tena TRA! Uungwana ni vitendo, usijaribu kuwa Kifutu

Kidata karibu tena TRA! Uungwana ni vitendo, usijaribu kuwa Kifutu

Ni kosa la alfayo au Ni kosa la waliomwajiri?
Nimeona mashambulizi kumhusu alfayo.
He mama anapotoshwa na Vice/cabinet yake?
Mama anachagua mwenyewe au Kuna mtu nyuma yake?
 
Binafsi nimesikitika sana mhede kutolewa u kamishna anyway tumuachie mama anajua anafanya nini. Ila mhede ni bonge la mtenda kazi daah[emoji24][emoji24][emoji24]
Ametenda nini ?
 
Wewe ni kati ya wanaJF wapumbavu zaidi. Soma vizuri hapo nimekuambia JPM hakuwa anawapenda watu ambao wapo smart kusimamia sheria. Acha chuki za kipuuzi MHEDE tunamjua na tumefanya nae kazi hamna kitu zaidi ya kutishia mameneja wa mikoa wafikie lengo bila kuweka strategy za uhakika. Amefanya biashara nyingi zifungwe. KARIBU TRA HQ BOYA WEWE.
Hakuna haja ya kutukana , hii hoja inahitaja mjadala wa amani ili tusaidie nchi hii , tuvumilie kujadiliana kwa hoja
 
Hakuwa hivyo. Alifanya wafanyabiashara wengi wahame nchi au wafunge biashara zao. Sio mwelewa kwa wafanyabiashara mi kwangu naona sawa kabisa. Nakuhakikishia baishara nyingi zitarudi kama zamani na TAX BASE itakua. Mnapochangia lazima muwe mnaangalia impact yake kiuchumi hasa kwako ww mwananchi wa kawaida. Makusanyo mengi uliyokuwa unaambiwa ni madeni ya nyuma lkn currently TAX PAYERS wamepungua yaweza kuwa hata 30% nchi nzima.

Tax Administration Act, ndo mchawi wa wafanyabiashara mkitaka kodi za nyuma zisitafutwe basi TAA ifanyiwe amendement otherwise maofisa wa TRA wataendelea waburuza.
 
Ni kosa la alfayo au Ni kosa la waliomwajiri?
Nimeona mashambulizi kumhusu alfayo.
He mama anapotoshwa na Vice/cabinet yake?
Mama anachagua mwenyewe au Kuna mtu nyuma yake?
Acha uchonganishi, usiyemtaka kaja.Mama keshakuambieni yeye ndiyo rais wa JMT, UNA SWALI??????
 
Tunachokitaka sio habari ya mwizi sijui mzalendo,Mzalendo anaenyanyasa wafanyabiashara bora na yeye apate korona amfuate mwenzake,
Kuna watu nchi hii walifika mahali walijiona kama mali yao,sijui wasukuma sijui wanyamwezi sijui nyantuzu sijui wala sangara hovyo sana,huyu mwendazake aliendekeza Sana ukabila.
Acha chuki zako za kikabila wewe, wasukuma hutaweza kupambana nao wanakuzidi kwa kila kitu, wana madini(almasi, dhahabu n.k), ni wafugaji wanaoifanya tanzania kuwa nchi ya pili afrika kwa wingi wa mifugo, ni wakulima wa mazao ya biashara na chakula, ni kabila kubwa Tanzania na kizazi kikubwa kuliko kabila lolote Tanzania. Utashindana nao wewe mla ndizi na chipsi.

Kaa kushoto. Wewe kunywa maziwa mpaka uende dukani, usipokuwa na pesa hunywi maziwa, msukuma anakamua mifugo na kunywa maziwa papo kwa papo
 
Nimeshtushwa na VP Mpango, akiwa kanisani katoa apeech kama rais kamili wa nchi.
Hii ni hatari sana

Huyu jamani wahusika wamuweke chini wamuelekeze namna anavyotakiwa kubehave na kuongea kama VP. Hii ni muhimu mno mno. Hivi anavyoenda atawachanganya sana watu, hasa mawaziri na watumishi wengine. Hawatajua wafate yepi, maana kwa sasa nchi ina maRais wawili. Akae kwenye nafasi yake ya uVP.
 
Huyu si ndiye alikuwa Balozi wetu Canada kisha akarudishwa kwa tuhuma za wizi na ufisadi mkubwa pale TRA?

Mkuu nadhani tatizo lilikuja juu ya zile ndege zilizonunuliwa Canada!!! Kuna shida ilitokea kule ndio mwendazake akakurupuka kumrudisha bila heshima na kumvua ubalozi!! Ukweli ulipokuja julikana kimya kimya wakampeleka **** RAS huko Kusini.
 
Huyu Second chance amepata mara ngapi?

Alikuwa Katibu mkuu Wizara ya Ardhi, JPM akamteua kuwa Kamishina wa TRA, akalegea wapi sijui akampeleka Ikulu bado akalegeza wapi sijui akampa Ubalozi nchini Canada huko sijui aliharibu nini sijui akavuliwa mpaka na Ubalozi wenyewe..!! Ila Mama sijui kama atatuvusha naanza kuwa na Mashakha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hapa ndio naamini hawa watu wanalogaga kupata hizi nafasi! Haiingii akilini
 
Nilichosikia mimi Mkuu ni kwamba jamaa alichota pesa nyingi sana wakati yuko TRA inadaiwa na Ikulu pia akajenga apartments kali sana Dar. Sikuwahi kusikia ndege zilizonunuliwa Canada zilikuwa na matatizo labda kama matatizo husika yalifichwa. Nachokumbuka ni ndege kukamatwa kule 2017 na Serikali ikaficha na Lissu akaiweka hadharani hiyo habari iliyosababisha shambulizi lake.
Mkuu nadhani tatizo lilikuja juu ya zile ndege zilizonunuliwa Canada!!! Kuna shida ilitokea kule ndio mwendazake akakurupuka kumrudisha bila heshima na kumvua ubalozi!! Ukweli ulipokuja julikana kimya kimya wakampeleka **** RAS huko Kusini.
 
Huyu Second chance amepata mara ngapi?

Alikuwa Katibu mkuu Wizara ya Ardhi, JPM akamteua kuwa Kamishina wa TRA, akalegea wapi sijui akampeleka Ikulu bado akalegeza wapi sijui akampa Ubalozi nchini Canada huko sijui aliharibu nini sijui akavuliwa mpaka na Ubalozi wenyewe..!! Ila Mama sijui kama atatuvusha naanza kuwa na Mashakha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mwendo huu, hata imo nimeanza kuwa na mashaka.
 
Kama alitumbuliwa Nov 2018 kwanini miaka miwili na ushee baadaye apewe madaraka makubwa mengine? Tanzania ina watu 60 million kwanini hawa majizi na mafisadi waendelee kuwepo madarakani.
Hii inashangaza mno, why the same faces always sie wengine hatuna akili au anachofanya huyo jamaa ni phenomenal sana?
 
Alphayo Kidata Rais Samia Suluhu amekurudishia heshima yako iliyoondolewa kwa sababu ambazo hazikuelezwa , tunafahamu kwamba ulitukanwa sana hadi ukavuliwa ubalozi , yaliyopita si ndwele tugange yajayo .

Nakuomba sana mkuu , tafadhali sana Mzee wangu fanya kazi yako kwa haki huku ukizingatia sheria za nchi , si kila mtu aweza kubahatika kupata second chance , kwa leo ni hayo tu , lakini kesho nitakupigia simu kwa ile namba yangu inayoishia 72 ili nikueleze ambayo siwezi kuandika hapa .

Kila la heri .

View attachment 1743565
Hapa kwa Alphayo Kidata TUMEPIGWA. Nahisi hii nafasi kuna watu wamemchomekea Rais Samia. Alphayo Kidata Ni mchafu
 
Alphayo Kidata Rais Samia Suluhu amekurudishia heshima yako iliyoondolewa kwa sababu ambazo hazikuelezwa , tunafahamu kwamba ulitukanwa sana hadi ukavuliwa ubalozi , yaliyopita si ndwele tugange yajayo .

Nakuomba sana mkuu , tafadhali sana Mzee wangu fanya kazi yako kwa haki huku ukizingatia sheria za nchi , si kila mtu aweza kubahatika kupata second chance , kwa leo ni hayo tu , lakini kesho nitakupigia simu kwa ile namba yangu inayoishia 72 ili nikueleze ambayo siwezi kuandika hapa .

Kila la heri .

View attachment 1743565
Kufa kufaana...kama ipo ipo tuu..kikubwa maombi sio ndumba kama HK
 
Back
Top Bottom