Kidata karibu tena TRA! Uungwana ni vitendo, usijaribu kuwa Kifutu

Kidata karibu tena TRA! Uungwana ni vitendo, usijaribu kuwa Kifutu

Watu tunapenda kuujua ukweli /hebu dadavua black and white tuujue ukweli maana karudishwa
Jambo usilolijua ni kama usiku wa Giza.Huyu Alfayo alikuwa rafiki na mshikaji wa JPM toka wapo wizara ya ardhi.Huyu jamaa alikuwa anampigia kampeni sana JPM kuwa lazima awe Rais.Labda nikwambie ni majungu tu yalitengenezwa ili kuwachonganisha.Nakumbuka huyu jamaa hata aliporudishwa kutoka Canada bado walikuwa wanawasiliana na JPM.Na akimpigia simu JPM wanaongea kishikaji na kucheka sana.
 
Jiwe alichafua wengine ili ang'are yeye tu

Huyu sio Mr Yes Sir.....hata ukiambiwa piga hapo au fungia yule na ndiyo maana hazikuiva na jiwe.
Mama anaangalia know how sio know wHO.... na obviously VP atakuwa katoa ushauri mzuri.. !
 
Hili swali ulilo niuliza ni gumu sana kwangu kujibu mkuu wangu!!!
Kama alitumbuliwa Nov 2018 kwanini miaka miwili na ushee baadaye apewe madaraka makubwa mengine? Tanzania ina watu 60 million kwanini hawa majizi na mafisadi waendelee kuwepo madarakani.
 
Humpendi na tena sio kwa kuwa hapendiki Bali Siasa zako zimeharibu mpaka akili na utashi wako. Unapinga hata mambo ya msingi. Jiwe alikuwa na malengo na nia njema sana. Shida yako kubwa Ni ujinga wa uvyama. Muda utaongea sana.
Hao ni wale majizi na mishen tauni waliopigwa pini na jpm, Sasa hivi anaanza kujipendekeza kwa kidata.
 
Dotto James hakutakiwa tu kutoka wizara ya fedha, hakupaswa kuwa katibu popote pale.
Sikulitegemea hili.

Sijaona alipofeli kamishna Dr. Mhede.
Angeshauriwa tu kuhandle zile malalamiko za walipakodi maana zilikua nyingi sana. Naona hizo ndo alikua hazisikii, otherwise alikua kamishna mzuri.
Hauko NDANI hivyo hujui kitu... Mhede ni mtaalamu wa MAPISHI
 
Kama alitumbuliwa Nov 2018 kwanini miaka miwili na ushee baadaye apewe madaraka makubwa mengine? Tanzania ina watu 60 million kwanini hawa majizi na mafisadi waendelee kuwepo madarakani.
Punguza chuki bro. Kwann tunapenda watu washindwe mara zote. Hii roho ya kimasikini sijui mnaitoa wapi. Utawala wa JPM uibe afu akuache hivihivi? Si mlikuwa mansema anachukia ufisadi?

KIDATA alikuwa smart sana akiwa CG TRA tatizo mna chuki sana. Alikuwa anakusanya mapato makubwa kuliko huyu MHEDE. We umeona MHEDE wa maana kisa KODI ZILE ZA HALMASHAURI kuhamishiwa TRA.

ILA CHINI YA MHEDE BIASHARA NYINGI ZIMEFUNGWA KWA KUKOSA WELEDI NA HASA KULAZIMISHA MALENGO MAKUBWA KWENYE MIKOA HALI ILIYOPELEKEA WATUMISHI WA TRA kukosa hata muda wa kupumzika, madeni ya miaka 10 nyuma yalikuwa yanadaiwa na RIBA juu yake. Pamoja na ukusanyaji mapato lakini lazima uzingatie ustawi wa wafanyabiashara wenyewe.

Wengi hamjui yanayoendelea ndani ya TAASISI hizi za SERIKALI. KULIKUWA HAKUNA UFANISI YAANI NI KUTAKA KUIRIDHISHA MAMLAKA MPAKA MTU ANATOKA NJE YA TAALUMA YAKE.

NAKUHAKIKISHIA NOW UCHUMI UTAFLOW VIZURI SANA. HATA ZILE TENDA ZA KIPUMBAVU KUPEWA WALE CHEAP LABOR (JKT) ZITAKOMA NA FEDHA ZITAANZA KUONEKANA MTAANI.

WENGI HUMU JF NI MAKANJANJA NA ELIMU ZAO NI MBOVU WANAFATA MKUMBO TU.
 
Back
Top Bottom