Hivi msichana wa kiislam mwenye sifa anatakiwa aende na hijab yake?
Au anatakiwa aivue?
Hapa swala la kiimani limewekwa vp?
Au ndo yale yale kutafuta janja za kuharibu matukufu ya uislam na waislam kwa ujumla.
Zamani shuleni wanafunzi wa kiislam hawakuruhusiwa kuvaa hijab! Wazee wetu wakalipigia kelele kwa nguvu zote mpaka hoja ikakubalika, sasa hivi mfumo kristo unataka kuturudisha tulikotoka.
Mimi naiona kwa mbali kuwa wanataka kuhakikisha mabint wa kiislam, amabao tayari wameshafaulu (div 1 - 111) wasipate nafasi za chuoni kwa vile hawatakubali wavue hijab eti kujiunga na jeshi.
Yaani wachague
1. wavue hijab, wajiunge na jeshi wapate vyuo au
2. wabaki na hijab zao halafu wakose vyuo.
Tukisema huu ni Mfumo kristo, utasikia haoo washaanza.