Kidato cha sita 2013 wanatakiwa kuripoti JKT 24/06/2013

Sasa siku hizi kuna PRIVATE SCHOOLS na Wanaochagua
BRITISH or AMERICAN SYSTEM of EDUCATION na ni WaTANZANIA halafu; Wanaingia CHUO KIKUU ina Maana kwasababu waliotumia AMERICAN SYSTEM hakuna hizo DIVISION --- wanaweza kukwepa bila JKT MATATIZO?

Sasa, Wengine wanaopata DIV IV au 0; Ina Maana hawahitaji kusota kwenda JKT? Unajua ENZI ZILE kuna watu walikuwa wanapata DIV I 'O' LEVEL lakini 'A' LEVEL anafeli lakini haina maana ni Wajinga... sasa hivi ni Ma-ENGINEER...

Kwahiyo hapo JKT inabagua???
kwa kifupi hiyo system inaitwa IGCSE kwa british na American sijui jina lake specific lakini kimsingi haiwezekani mzazi alipe around 10mil Laureate international school au 27,000 USD per year..kwa IST then aje kusomesha mwanae UDSM, au SUA au Mzumbe kwa kifupi hao wanaosoma hizo schools huwa hawasomagi tanzania mkuu...over..!!! so hamna kubagua wala nin ni tofauti tu ya maisha...kwa mfano zaidi tembelea website zao ucheki tuition fee..halfu compare na tuition fee za vyuo vya tanzania...!!!!
 
Mkuu akhsante kwa taarifa.

Vp kuhusu watoto wa kiislam!
Maadili yao yatazingatiwa, ama ndo ule ule mfumo kristo kuhakikisha kuwa unawekwa utaratibu wa kuwavua hijabu zao.
Kama mwanafunzi hataki nini effect yake?

Ukipigwa ban ntafurahi sana, akili zako hazikutoshi kufikiri
 
kwa kifupi hiyo system inaitwa IGCSE kwa british na American sijui jina lake specific lakini kimsingi haiwezekani mzazi alipe around 10mil Laureate international school au 27,000 USD per year..kwa IST then aje kusomesha mwanae UDSM, au SUA au Mzumbe kwa kifupi hao wanaosoma hizo schools huwa hawasomagi tanzania mkuu...over..!!! so hamna kubagua wala nin ni tofauti tu ya maisha...kwa mfano zaidi tembelea website zao ucheki tuition fee..halfu compare na tuition fee za vyuo vya tanzania...!!!!

Hapana Nina Maana Dar kuna PRIVATE SCHOOL zinafuate EiTHER BRITISH au AMERICAN EDUcATION SYSTEMs...
Sasa wanaomaliza kwa AMERICAN EDUCATION SYSTEM walioko DAR ina Maana hawataenda JKT? kwasababu DIV 1 II au III iko kwa BRITISH EDUcATION SYSTEM...

Umenielewa????
 
nimekuelewa vizuri sana sasa..hii JKT si ni kwa ajili ya kuwaandaa kabla ya chuo? mara nyingi vyuo vya tanzania? sasa hao wa system ulizozitaja nafikiri hawahusiki..maana wao vyuo vyao ni mbele..na hamna requirements za JKT huko waendako, na ni almost hamna wanaosoma hizo shule then wasomee tanzania tena...!!
 
Mkuu akhsante kwa taarifa.

Vp kuhusu watoto wa kiislam!
Maadili yao yatazingatiwa, ama ndo ule ule mfumo kristo kuhakikisha kuwa unawekwa utaratibu wa kuwavua hijabu zao.
Kama mwanafunzi hataki nini effect yake?

Serikali haina dini ww. acha majungu, huo mfumo kristo upo wapi?statement kama hizi ndo zinahamasisha na kuchochea vurugu zisizo na msingi wala tija kwa ustawi wa nchi yetu.:kev:
 
Wengine wana I PCM ila majina yao hayamo mwingine ana III CBG jina lake halimo,ina maana wanaenda kwa awamu au wanachambua baadhi?
 
...hii nchi haiana dini kabisa na kila aliyechaguliwa atafuata taratibu zilizopo zisizo fuata upande wa dini yoyoyte
 
Hivi msichana wa kiislam mwenye sifa anatakiwa aende na hijab yake?
Au anatakiwa aivue?
Hapa swala la kiimani limewekwa vp?
Au ndo yale yale kutafuta janja za kuharibu matukufu ya uislam na waislam kwa ujumla.
Zamani shuleni wanafunzi wa kiislam hawakuruhusiwa kuvaa hijab! Wazee wetu wakalipigia kelele kwa nguvu zote mpaka hoja ikakubalika, sasa hivi mfumo kristo unataka kuturudisha tulikotoka.
Mimi naiona kwa mbali kuwa wanataka kuhakikisha mabint wa kiislam, amabao tayari wameshafaulu (div 1 - 111) wasipate nafasi za chuoni kwa vile hawatakubali wavue hijab eti kujiunga na jeshi.
Yaani wachague
1. wavue hijab, wajiunge na jeshi wapate vyuo au
2. wabaki na hijab zao halafu wakose vyuo.
Tukisema huu ni Mfumo kristo, utasikia haoo washaanza.

Nimeona picha sasa hivi za askari wa kike wa Misri na Syria ambazo ni nchi za kiislamu zaidi kuliko Tanzania na hao askari wamevaa kombati na kofia kama kawaida tuu. Jee wao ndio hawaujui uislamu? Tusipende kila kitu kujifanya sie ndio tunazijua sana dini kuliko kule zilikotokea.
Jeshini hakuna hijab,watazivaa wakishatoka huko
 
Wengine wana I PCM ila majina yao hayamo mwingine ana III CBG jina lake halimo,ina maana wanaenda kwa awamu au wanachambua baadhi?
mimi nna 3 ya pcb lakn jina langu sijaliona, hata siwaelewi hawa watu,,
 
Hapo mi sijaelewa kabisa nataka niwapigie simu niwaulize,wasije wakawa wamenisahau af badae wakanzingua kuingia chuo maana hawa watu hawaeleweki kabisa
 
Hivi msichana wa kiislam mwenye sifa anatakiwa aende na hijab yake?
Au anatakiwa aivue?
Hapa swala la kiimani limewekwa vp?
Au ndo yale yale kutafuta janja za kuharibu matukufu ya uislam na waislam kwa ujumla.
Zamani shuleni wanafunzi wa kiislam hawakuruhusiwa kuvaa hijab! Wazee wetu wakalipigia kelele kwa nguvu zote mpaka hoja ikakubalika, sasa hivi mfumo kristo unataka kuturudisha tulikotoka.
Mimi naiona kwa mbali kuwa wanataka kuhakikisha mabint wa kiislam, amabao tayari wameshafaulu (div 1 - 111) wasipate nafasi za chuoni kwa vile hawatakubali wavue hijab eti kujiunga na jeshi.
Yaani wachague
1. wavue hijab, wajiunge na jeshi wapate vyuo au
2. wabaki na hijab zao halafu wakose vyuo.
Tukisema huu ni Mfumo kristo, utasikia haoo washaanza.
huna uislaam wowote Msheeeeenzzx tu wewe hupo hapa kuchafua hali ya hewa.....ww umeona uislam ni kuvaa kitambaa kichwani tuuuu
na toka lini umepewa mamlaka ya kuwasemea hao waislam.....mbululaaa mkuubwaa weweeeeeeeee
 
Hivi msichana wa kiislam mwenye sifa anatakiwa aende na hijab yake?
Au anatakiwa aivue?
Hapa swala la kiimani limewekwa vp?
Au ndo yale yale kutafuta janja za kuharibu matukufu ya uislam na waislam kwa ujumla.
Zamani shuleni wanafunzi wa kiislam hawakuruhusiwa kuvaa hijab! Wazee wetu wakalipigia kelele kwa nguvu zote mpaka hoja ikakubalika, sasa hivi mfumo kristo unataka kuturudisha tulikotoka.
Mimi naiona kwa mbali kuwa wanataka kuhakikisha mabint wa kiislam, amabao tayari wameshafaulu (div 1 - 111) wasipate nafasi za chuoni kwa vile hawatakubali wavue hijab eti kujiunga na jeshi.
Yaani wachague
1. wavue hijab, wajiunge na jeshi wapate vyuo au
2. wabaki na hijab zao halafu wakose vyuo.
Tukisema huu ni Mfumo kristo, utasikia haoo washaanza.
....DUH! Kweli kosa mali upate akili!!
 
tena wangebadili hadi kwny ajira bila kuwa na cheti cha jkt hata uwe na digrii yk no ajira serikalini wala kuwa mwasiasa
 
Fundisha hao vijana wawe wazalendo wa kweli wenye kuipenda nchi yao.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kwa sisi wasabato tunalazimishwa kufanyakazi mpaka siku ya sabato jamani,tunaomba hili liangaliwe kwa macho matatu....!
 
Back
Top Bottom