Kidato cha sita 2013 wanatakiwa kuripoti JKT 24/06/2013

Mkuu akhsante kwa taarifa.

Vp kuhusu watoto wa kiislam!
Maadili yao yatazingatiwa, ama ndo ule ule mfumo kristo kuhakikisha kuwa unawekwa utaratibu wa kuwavua hijabu zao.
Kama mwanafunzi hataki nini effect yake?

Sijawah kuona afande ndani ya gwanda na hijabu juu, walinzi wa Gadafi walikuwa wanawake na walikuwa hawazingatii mambo ya dini, jeshi ni free generation na hawajui dini
 
mwanamke wa kiislam ambaye alikuwa science na alikuwa ana div. 1,
atatakiwa avae hijab yake? Ama hijab haitakiwi?

Ni mwendo wa gwanda, bukta na green vest. Kule hawajui dini ni nidhamu, mafunzo na kazi. Na wakitoka hawatakuwa na mawazo ya dini kama ww
 

Dini tumeletewa tu, fikiria mambo ya msingi na ya kimaendeleo
 

Mbona mkitaka VISA za marekani huwa mnavua na mnapigwa picha, mkitaka passport huwa mnavua na mnapigwa picha,
 
Ukipigwa ban ntafurahi sana, akili zako hazikutoshi kufikiri

Mkuu huyo jamaa mdini nofal akili zake zinamtosha yeye peke yake aisee..

Jeshi a Hijab wapi na wapi jaman!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa sisi wasabato tunalazimishwa kufanyakazi mpaka siku ya sabato jamani,tunaomba hili liangaliwe kwa macho matatu....!

Vita vikitokea Jumamosi utaacha kupigana eti kisa ni siku ya sabatho? Wayahud wenyewe wahasisi wa dini ya sabatho huwa wanakichapa na kulipuana mabomu na wapelestina hadi siku za sabatho, Je sembuse ww sabatho masalia ndo ujifanye unajua sana dini kuliko wahasisi?

Jeshini hakuna sabatho bali ni kuchimba mitaro na kuruka vichurura mpaka kieleweke, Jeshin kazi, dini kanisani.
 
Vyuoni watiangia mwezi wa kumi coz ni miezi 3...waache waende wakajifunze tunu za taifa ambazo ni uwajibikaji,uadilifu na uzalendo
 
Suala la dini jeshini linazingatiwa kwa mustakabali wa haki za binadamu na mujibu wa katiba ya nchi.Lakini ni vyema kufikiria kwanza tunu za taifa(uadilifu,uzalendo na uwajibikaji) na nidhamu jeshini kuliko kuweka kipaumbele cha dini ambacho mwisho wa siku utaishia kuona jeshini ni pagumu na utaona kama unaonewa.Ukiingia jeshini amri ni 2 tu ambazo ni nidhamu na utii ambazo utakuwa ukiziimba usiku na mchana mpaka unaondoka.kwa ufupi kuna macoplo na maluteni wengine kwao dini ni kitu cha ziada kwa iyo ukishafanyiwa usaili jeshini achana kwanza na suala la dini.fuata kile wanachosema utaona jeshini ni pazuri...Asante
 
Naomba nikujibu kuwa suala la kwenda JKT mpaka sasa ni suala la kisiasa ambalo bado serikali yenyewe haijielewi inafanya nini.Kwa takwimu ni kwamba matokeo ya kidato cha sita kwa mchepuo wa arts division 3 ni nyingi sana.na suala la kujiunga JKT serikali itatumia mamilioni ya pesa kwa chakula,maji,umeme na afya.ndio maana JKT imekuwa selective kwa division 1 na 2 na 3 kwa sayansi ili kupunguza government expenditures...hope umenipata.ila suala la kujiuliza ni kwmba ni hatua gani zitachukuliwa kwa wale ambao hataenda hususa ni watoto wa vigogo st.kunani...isije kuwa watoto wa masikini ndo wakajenge madaraja na kuchimba mitaro huku watoto wa vigogo wakifanya tempo kwenye kampuni za baba zao na kuangalia big brother huku wakisubiri kuingia vyuoni.me naona kuwe na certificate itakayotolewa jeshini ambayo mwanafunzi ataitumia kusajiliwa kwenye chuo atakachodahiliwa kwa iyo kama huna hicho cheti hutaweza kusajiliwa kwenye chuo chochote...
 
Naomba nikujibu kuwa suala la kwenda JKT mpaka sasa ni suala la kisiasa ambalo bado serikali yenyewe haijielewi inafanya nini.Kwa takwimu ni kwamba matokeo ya kidato cha sita kwa mchepuo wa arts division 3 ni nyingi sana.na suala la kujiunga JKT serikali itatumia mamilioni ya pesa kwa chakula,maji,umeme na afya.ndio maana JKT imekuwa selective kwa division 1 na 2 na 3 kwa sayansi ili kupunguza government expenditures...hope umenipata.ila suala la kujiuliza ni kwmba ni hatua gani zitachukuliwa kwa wale ambao hataenda hususa ni watoto wa vigogo st.kunani...isije kuwa watoto wa masikini ndo wakajenge madaraja na kuchimba mitaro huku watoto wa vigogo wakifanya tempo kwenye kampuni za baba zao na kuangalia big brother huku wakisubiri kuingia vyuoni.me naona kuwe na certificate itakayotolewa jeshini ambayo mwanafunzi ataitumia kusajiliwa kwenye chuo atakachodahiliwa kwa iyo kama huna hicho cheti hutaweza kusajiliwa kwenye chuo chochote...
 
jina langu mbona halipo na nina zigezo vyote vya kwenda JKT
 
sasa huu mwaka kwa wale waislam wasahau kufunga.maaana no way out
 

Acha udini Kenge wewe!
 

Mgonjwa wa udini wewe!
 
Wakuu mi bado napata wasiwasi kwan kuna mdogo wangu anaenda huko lakini mpaka sasa hajafanya application kutokana na mambo fulan ya kimtandao, je atafanya mda gan na tarehe ya kuripoti ni 24,achana na huyu,je aliyeko mtwara vijijini, atapata taarifa mapema had afanikiwe katika hili? hata kwa kutowachukua arts wenye 3 is a sign of segregation,how could they feel? this is an indication that something is wrong somewhere!
 

wewe akili zako chache saaaana, umesha ambiwa serkal haina dini..... sasa unatoa wapi fikra potof za kidini hapa.... na unamawazo ya shari tu.... watu wenyewe hata kwenye kiganja hamjai tuki watafuna tunawamaliza tu sema hatu pendi ukorofi na kuvunja amani ya nchi.......
 


Hahaha,..Kazi kweli kweli,:Hata hujielewi wewe,.Dini zote zinajua na kuthamini umuhimu wa Jeshi ili kujilinda na maadui,Ila wewe unakumbuka HIJABU tu..Hiyo Hijabu kama huna ukakamavu na mbinu za kulinda na kuendeleza nchi yako unadhani utaikumbuka siku waonevu watakapokuvamia na kutaka kukunyang'anya haki yako?..MAUJINGA YALIYOKITHIRI SIJUI YATAKUTOKA LINI WEWE!!,Kwanza unadhalilisha Waislam na Uislam hapa,..nyambaf!!!!

Unatakiwa kutoa maoni yako namna ya ku 'maintain' hiyo hijabu kule Jeshini na sio kulaumu..Unataka Muislam alindwe na aendelezwe na nani??Unadhani Muislam hana Jukumu la kulinda na kujenga hii nchi?Majeshi ya Nchi kulikotoka Uislam wanaelewa JESHI lilivyo na hawana shida kuhusu Hijabu,.Sisi walowezi wa dini hizi ndo tunajifanya tunajua zaidi dini?
Na kwa taarifa yako Wamalawi nao wanataka kuleta shida TZ,Sijui utaendelea kushikilia hiyo Hijabu kukabiliana nao?

Ukiwa huna neno la kuzungumza usizungumze...
 
mmeanza ubaguzi wa kitaifa, futeni masuala ya jkt wekeni watu kujifunza jinsi ya kujikinga na majanga kama mabomu, moto, mafuriko, na silaa mbalimbali kwani inaonesha hamwezi kupeleka watu wote jeshini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…