Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu akhsante kwa taarifa.
Vp kuhusu watoto wa kiislam!
Maadili yao yatazingatiwa, ama ndo ule ule mfumo kristo kuhakikisha kuwa unawekwa utaratibu wa kuwavua hijabu zao.
Kama mwanafunzi hataki nini effect yake?
mwanamke wa kiislam ambaye alikuwa science na alikuwa ana div. 1,
atatakiwa avae hijab yake? Ama hijab haitakiwi?
Hivi msichana wa kiislam mwenye sifa anatakiwa aende na hijab yake?
Au anatakiwa aivue?
Hapa swala la kiimani limewekwa vp?
Au ndo yale yale kutafuta janja za kuharibu matukufu ya uislam na waislam kwa ujumla.
Zamani shuleni wanafunzi wa kiislam hawakuruhusiwa kuvaa hijab! Wazee wetu wakalipigia kelele kwa nguvu zote mpaka hoja ikakubalika, sasa hivi mfumo kristo unataka kuturudisha tulikotoka.
Mimi naiona kwa mbali kuwa wanataka kuhakikisha mabint wa kiislam, amabao tayari wameshafaulu (div 1 - 111) wasipate nafasi za chuoni kwa vile hawatakubali wavue hijab eti kujiunga na jeshi.
Yaani wachague
1. wavue hijab, wajiunge na jeshi wapate vyuo au
2. wabaki na hijab zao halafu wakose vyuo.
Tukisema huu ni Mfumo kristo, utasikia haoo washaanza.
Muislam hatakiwi hata nywele mmoja isionekane,
nieleweke hapa kuwa kuvua hijab hata dakika katika uislam haikubaliki.
Labda wawaruhusu waislam wasichana wavae hijab lakini kama ni kinyume na hapo, mtakuja kuniambia mtiti wetu.
Kwa hili ni uvunjifu wa imani za waislam kwa makusudi.
Ukipigwa ban ntafurahi sana, akili zako hazikutoshi kufikiri
Kwa sisi wasabato tunalazimishwa kufanyakazi mpaka siku ya sabato jamani,tunaomba hili liangaliwe kwa macho matatu....!
jina langu mbona halipo na nina zigezo vyote vya kwenda JKTNaomba nikujibu kuwa suala la kwenda JKT mpaka sasa ni suala la kisiasa ambalo bado serikali yenyewe haijielewi inafanya nini.Kwa takwimu ni kwamba matokeo ya kidato cha sita kwa mchepuo wa arts division 3 ni nyingi sana.na suala la kujiunga JKT serikali itatumia mamilioni ya pesa kwa chakula,maji,umeme na afya.ndio maana JKT imekuwa selective kwa division 1 na 2 na 3 kwa sayansi ili kupunguza government expenditures...hope umenipata.ila suala la kujiuliza ni kwmba ni hatua gani zitachukuliwa kwa wale ambao hataenda hususa ni watoto wa vigogo st.kunani...isije kuwa watoto wa masikini ndo wakajenge madaraja na kuchimba mitaro huku watoto wa vigogo wakifanya tempo kwenye kampuni za baba zao na kuangalia big brother huku wakisubiri kuingia vyuoni.me naona kuwe na certificate itakayotolewa jeshini ambayo mwanafunzi ataitumia kusajiliwa kwenye chuo atakachodahiliwa kwa iyo kama huna hicho cheti hutaweza kusajiliwa kwenye chuo chochote...