Kidato cha sita 2013 wanatakiwa kuripoti JKT 24/06/2013

Ha ha ha ha.. Kuna watu hawaendi hata kwa fimbo... Mtoto wa marian, feza boys, marygoreth, st marys, shaaban robert etc umpeleke JKT.. Hii ni zaidi ya siasa

Kuna watoto kibao wako busy na big brother the chase majumbani kwao na wengine wameanza short course na tempo kwenye kampuni za baba zao uwaambie wakasote JKT.. Nani atakubali?
Bila shaka watakaokataa kwenda JKT hata chuo kikuu wakisahau,maana wamesema kuwa watakaokaidi hatua kali za kisheria zitachukuliwa.Ach hao wa ST school wakatae ili nafasi za vyuo kwa watoto wa wakulima ziongezeke,hata hiyo itakuwa siku ngapi na vyuo ndo vinakaribia?
 
Mkuu akhsante kwa taarifa.

Vp kuhusu watoto wa kiislam!
Maadili yao yatazingatiwa, ama ndo ule ule mfumo kristo kuhakikisha kuwa unawekwa utaratibu wa kuwavua hijabu zao.
Kama mwanafunzi hataki nini effect yake?

du,sipati picha.yaani hijabu na kwata,sijui bhana ngoja tuone wataamua
 
Hivi msichana wa kiislam mwenye sifa anatakiwa aende na hijab yake?
Au anatakiwa aivue?
Hapa swala la kiimani limewekwa vp?
Au ndo yale yale kutafuta janja za kuharibu matukufu ya uislam na waislam kwa ujumla.
Zamani shuleni wanafunzi wa kiislam hawakuruhusiwa kuvaa hijab! Wazee wetu wakalipigia kelele kwa nguvu zote mpaka hoja ikakubalika, sasa hivi mfumo kristo unataka kuturudisha tulikotoka.
Mimi naiona kwa mbali kuwa wanataka kuhakikisha mabint wa kiislam, amabao tayari wameshafaulu (div 1 - 111) wasipate nafasi za chuoni kwa vile hawatakubali wavue hijab eti kujiunga na jeshi.
Yaani wachague
1. wavue hijab, wajiunge na jeshi wapate vyuo au
2. wabaki na hijab zao halafu wakose vyuo.
Tukisema huu ni Mfumo kristo, utasikia haoo washaanza.
 
You can govern an educated mind
you cannot enslave an educated mind.Flash back to Kenyas pre university National Youth service scheme for form six graduands early 80 s. Strangely enough their
first act of defiance at university when they fell out with the govt. Was to mount a guard of honour in National youth service uniform
for student leader who dutyfully inspected the same seconds before paramilitary armed to teeth violently pounced on the "honourable" proccedings. JKT stunt is a waste of tax payers money.
 
Ushaur wa bure kwa hao vjana watakaoelekea huko!FANYEN mazoez ili miil yenu iwe tayar kwa mchakamchaka km kucheza mpira,kukimbia asubuhi na jion n.k,Hatutapenda kusikia mnarud kwe masanduku/jeneza
 
Hivi msichana wa kiislam mwenye sifa anatakiwa aende na hijab yake?
Au anatakiwa aivue?
Hapa swala la kiimani limewekwa vp?
Au ndo yale yale kutafuta janja za kuharibu matukufu ya uislam na waislam kwa ujumla.
Zamani shuleni wanafunzi wa kiislam hawakuruhusiwa kuvaa hijab! Wazee wetu wakalipigia kelele kwa nguvu zote mpaka hoja ikakubalika, sasa hivi mfumo kristo unataka kuturudisha tulikotoka.
Mimi naiona kwa mbali kuwa wanataka kuhakikisha mabint wa kiislam, amabao tayari wameshafaulu (div 1 - 111) wasipate nafasi za chuoni kwa vile hawatakubali wavue hijab eti kujiunga na jeshi.
Yaani wachague
1. wavue hijab, wajiunge na jeshi wapate vyuo au
2. wabaki na hijab zao halafu wakose vyuo.
Tukisema huu ni Mfumo kristo, utasikia haoo washaanza.

Jamani haya mambo ya dini mpaka jeshini? Wewe hujiulizi zamani ilikuwaje? Au JKT imeanza leo. Hao akina mama wasomi wa Kiislamu ambao unawaona serikalini na hata sekta binafsi walipitia jeshini na jiulize hayo mambo ya hijab yalikuwa vipi. Na si hijab tu, kule kila mtu na bukta na fulana!!
 
Nakushangaa Wakristo na JKT vinahusiana nini?
 
Mbona ubaguzi sasa whta about division III and IV..!?

Mkuu PERFECT; Nikiangalia naona hii ina element ya mambo ya Bodi ya Mkopo. Div I&II na div III science ndio priority ya kupata mkopo.
Hapa naona wanaenda kupigwa msasa wasiendeshe migomo chuoni la sivyo mkopo unafyekwa
 
Jamani haya mambo ya dini mpaka jeshini? Wewe hujiulizi zamani ilikuwaje? Au JKT imeanza leo. Hao akina mama wasomi wa Kiislamu ambao unawaona serikalini na hata sekta binafsi walipitia jeshini na jiulize hayo mambo ya hijab yalikuwa vipi. Na si hijab tu, kule kila mtu na bukta na fulana!!
Huyo ana lake jambo hana lolote.Jitu zima linajitoa fahamu.
 
Ni miezi 6 tu mkuu...ila wale wa mwanzo ilisikika kwamba wengi walikufa kwenye yale mafunzo...ingawa JKT hawakuja kukanusha.

Ni miez 3 tu kwani wale walioenda batch ya kwanza nadhan wanatakiwa wamalize this June na nahic washamaliza
 
Hivi msichana wa kiislam mwenye sifa anatakiwa aende na hijab yake?
Au anatakiwa aivue?
Hapa swala la kiimani limewekwa vp?
Au ndo yale yale kutafuta janja za kuharibu matukufu ya uislam na waislam kwa ujumla.
Zamani shuleni wanafunzi wa kiislam hawakuruhusiwa kuvaa hijab! Wazee wetu wakalipigia kelele kwa nguvu zote mpaka hoja ikakubalika, sasa hivi mfumo kristo unataka kuturudisha tulikotoka.
Mimi naiona kwa mbali kuwa wanataka kuhakikisha mabint wa kiislam, amabao tayari wameshafaulu (div 1 - 111) wasipate nafasi za chuoni kwa vile hawatakubali wavue hijab eti kujiunga na jeshi.
Yaani wachague
1. wavue hijab, wajiunge na jeshi wapate vyuo au
2. wabaki na hijab zao halafu wakose vyuo.
Tukisema huu ni Mfumo kristo, utasikia haoo washaanza.

Mshaanza kulalamika kila kitu kulalama haya basi tutawaachia kila kitu mpange mnavyotaka. Huo mfumo kristo umeuona wapi. Nenda kaombewe pepo wa ubaguzi akutoke
 
Wadogo zetu sijui watafanyaje na janga jipya la ukimwi ambalo hawa ccm wanataka kutulazimishia. Ee Mungu utuepushe na laana ya ccm
 
Wengine watajitahidi kupata division 4 kwenda chini chini ili wasiende JKT.

Pia michepuo ya sayansi itakuwa haina soko tena.
 
Muislam hatakiwi hata nywele mmoja isionekane,
nieleweke hapa kuwa kuvua hijab hata dakika katika uislam haikubaliki.
Labda wawaruhusu waislam wasichana wavae hijab lakini kama ni kinyume na hapo, mtakuja kuniambia mtiti wetu.
Kwa hili ni uvunjifu wa imani za waislam kwa makusudi.
 
Nafurahi kuwa Taifa letu linazaliwa upya,ushupavu wetu ulioyeyuka kitambo sasa unarejea tena,uzalendo wa kulijenga Taifa umepata sura chanya,VIVA TANZANIA,I will be there to stay for you!:yell:
 
Mkuu akhsante kwa taarifa.

Vp kuhusu watoto wa kiislam!
Maadili yao yatazingatiwa, ama ndo ule ule mfumo kristo kuhakikisha kuwa unawekwa utaratibu wa kuwavua hijabu zao.
Kama mwanafunzi hataki nini effect yake?

Je, kwenye Quran mtoto wa kike anaruhusiwa kwenda jeshini? na kama sio ni kwa nini wewe unahalalisha waende na hijab zao?
 
Back
Top Bottom