Kidini wakatoliki haturuhusiwi kuunga mkono uongo, unafiki na unyangasaji hata wa serikali

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Kidini wakatoliki haturuhusiwi kuunga mkono uongo, unafiki na unyangasaji hata wa serikali. Dhambi yake ni sawa sawa tu na kuunga mkono utoaji mimba, mashoga na adhabu ya kifo . Wakatoliki sio tu hatutakiwi kuunga mkono tunatakiwa kukemea hadharani!

Sasa makuamu wetu Mpango na katibu Nchimbi kama kwenye kwenye nafsi zao wanaamini kuna watu wanatekwa kisiasa, uchaguzi unaibiwa na kuna upotevu wa haki na hawasemi lolote na badala yake wanaunga mkono hizo jitihada na hayo maovu wanatakiwa waende kutubu kabla ya pasaka na badala ya kuunga mkono wanatakiwa kukemea.

Kama hawatafanya hivyo kisheria za kikatoliki hawatakiwi kupewa sakramenti ya mbwana.

Wengine ambao sio wakatoliki sijui
 
Ni sote mkuu Sote tunaomwamini yesu yaani wa Kristo hatutakiwi kabisa kuisogelea Dhambi
 
Kidini wakatoliki haturuhusiwi kuunga mkono uongo, unafiki na unyangasaji hata wa serikali. Dhambi yake ni sawa sawa tu na kuunga mkono utoaji mimba, mashoga na adhabu ya kifo . Wakatoliki sio tu hatutakiwi kuunga mkono tunatakiwa kukemea hadharani!

Sasa makuamu wetu Mpango na katibu Nchimbi kama kwenye kwenye nafsi zao wanaamini kuna watu wanatekwa kisiasa, uchaguzi unaibiwa na kuna upotevu wa haki na hawasemi lolote na badala yake wanaunga mkono hizo jitihada na hayo maovu wanatakiwa waende kutubu kabla ya pasaka na badala ya kuunga mkono wanatakiwa kukemea.

Kama hawatafanya hivyo kisheria za kikatoliki hawatakiwi kupewa sakramenti ya mbwana.

Wengine ambao sio wakatoliki sijui

IMG_20250412_203342.jpg

IMG_20250412_182436.jpg
 
Nimekaa hapa nasubiri Waraka wa Maaskofu Katoliki wa Pasaka.

Najua this year hawataniangusha na watatuingiza barabarani kufanya maandamano ya amani.

Tunazidi kuwaombea wasituangushe Watanzania.
 
Kidini wakatoliki haturuhusiwi kuunga mkono uongo, unafiki na unyangasaji hata wa serikali. Dhambi yake ni sawa sawa tu na kuunga mkono utoaji mimba, mashoga na adhabu ya kifo . Wakatoliki sio tu hatutakiwi kuunga mkono tunatakiwa kukemea hadharani!

Sasa makuamu wetu Mpango na katibu Nchimbi kama kwenye kwenye nafsi zao wanaamini kuna watu wanatekwa kisiasa, uchaguzi unaibiwa na kuna upotevu wa haki na hawasemi lolote na badala yake wanaunga mkono hizo jitihada na hayo maovu wanatakiwa waende kutubu kabla ya pasaka na badala ya kuunga mkono wanatakiwa kukemea.

Kama hawatafanya hivyo kisheria za kikatoliki hawatakiwi kupewa sakramenti ya mbwana.

Wengine ambao sio wakatoliki sijui
Sakramenti ya mbwana samata au
 
Hii sio Nchi ya kidini?
 
Hii dhambi kwa yeyote mwenye imani hapaswi kuiunga mkono.
 
Kidini wakatoliki haturuhusiwi kuunga mkono uongo, unafiki na unyangasaji hata wa serikali. Dhambi yake ni sawa sawa tu na kuunga mkono utoaji mimba, mashoga na adhabu ya kifo . Wakatoliki sio tu hatutakiwi kuunga mkono tunatakiwa kukemea hadharani!

Sasa makuamu wetu Mpango na katibu Nchimbi kama kwenye kwenye nafsi zao wanaamini kuna watu wanatekwa kisiasa, uchaguzi unaibiwa na kuna upotevu wa haki na hawasemi lolote na badala yake wanaunga mkono hizo jitihada na hayo maovu wanatakiwa waende kutubu kabla ya pasaka na badala ya kuunga mkono wanatakiwa kukemea.

Kama hawatafanya hivyo kisheria za kikatoliki hawatakiwi kupewa sakramenti ya mbwana.

Wengine ambao sio wakatoliki sijui
Mmm mkatoliki alikuwa Nyerere aliyekemea wanasisiem katika kampeni;hawakutaka A.Mrema asukumwe akiwa garini na wapenzi wake.Akawambia mtu akitaka kusukumwa kama maiti mwacheni na wakaacha..Inahitaji Roho ya Mungu kujikana mwenyewe
 
serikali ya Tanzania Haina akili ,hivi kweli walitumia mawazo ya mufti WA Tanzania siku ya idd elfitr

Kweli,nakumbuka murilo alikuwepo siku hiyo
 
Back
Top Bottom