Kidini wakatoliki haturuhusiwi kuunga mkono uongo, unafiki na unyangasaji hata wa serikali. Dhambi yake ni sawa sawa tu na kuunga mkono utoaji mimba, mashoga na adhabu ya kifo . Wakatoliki sio tu hatutakiwi kuunga mkono tunatakiwa kukemea hadharani!
Sasa makuamu wetu Mpango na katibu Nchimbi kama kwenye kwenye nafsi zao wanaamini kuna watu wanatekwa kisiasa, uchaguzi unaibiwa na kuna upotevu wa haki na hawasemi lolote na badala yake wanaunga mkono hizo jitihada na hayo maovu wanatakiwa waende kutubu kabla ya pasaka na badala ya kuunga mkono wanatakiwa kukemea.
Kama hawatafanya hivyo kisheria za kikatoliki hawatakiwi kupewa sakramenti ya mbwana.
Wengine ambao sio wakatoliki sijui
Sakramenti ya mbwana samata auKidini wakatoliki haturuhusiwi kuunga mkono uongo, unafiki na unyangasaji hata wa serikali. Dhambi yake ni sawa sawa tu na kuunga mkono utoaji mimba, mashoga na adhabu ya kifo . Wakatoliki sio tu hatutakiwi kuunga mkono tunatakiwa kukemea hadharani!
Sasa makuamu wetu Mpango na katibu Nchimbi kama kwenye kwenye nafsi zao wanaamini kuna watu wanatekwa kisiasa, uchaguzi unaibiwa na kuna upotevu wa haki na hawasemi lolote na badala yake wanaunga mkono hizo jitihada na hayo maovu wanatakiwa waende kutubu kabla ya pasaka na badala ya kuunga mkono wanatakiwa kukemea.
Kama hawatafanya hivyo kisheria za kikatoliki hawatakiwi kupewa sakramenti ya mbwana.
Wengine ambao sio wakatoliki sijui
Hii sio Nchi ya kidini?Kidini wakatoliki haturuhusiwi kuunga mkono uongo, unafiki na unyangasaji hata wa serikali. Dhambi yake ni sawa sawa tu na kuunga mkono utoaji mimba, mashoga na adhabu ya kifo . Wakatoliki sio tu hatutakiwi kuunga mkono tunatakiwa kukemea hadharani!
Sasa makuamu wetu Mpango na katibu Nchimbi kama kwenye kwenye nafsi zao wanaamini kuna watu wanatekwa kisiasa, uchaguzi unaibiwa na kuna upotevu wa haki na hawasemi lolote na badala yake wanaunga mkono hizo jitihada na hayo maovu wanatakiwa waende kutubu kabla ya pasaka na badala ya kuunga mkono wanatakiwa kukemea.
Kama hawatafanya hivyo kisheria za kikatoliki hawatakiwi kupewa sakramenti ya mbwana.
Wengine ambao sio wakatoliki sijui
Mmm mkatoliki alikuwa Nyerere aliyekemea wanasisiem katika kampeni;hawakutaka A.Mrema asukumwe akiwa garini na wapenzi wake.Akawambia mtu akitaka kusukumwa kama maiti mwacheni na wakaacha..Inahitaji Roho ya Mungu kujikana mwenyeweKidini wakatoliki haturuhusiwi kuunga mkono uongo, unafiki na unyangasaji hata wa serikali. Dhambi yake ni sawa sawa tu na kuunga mkono utoaji mimba, mashoga na adhabu ya kifo . Wakatoliki sio tu hatutakiwi kuunga mkono tunatakiwa kukemea hadharani!